Je, Injili Ilitabiri Ujio wa Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake)?

Kutumia akili tu, na sio kukashfu anacho amini mwenzio
In Islam akili haitumiki, ukitumia akili kuuliza maswali wanakwambia una dhambi na usikute ukafukuzwa msikitini au madrasa. Wanataka watu wasiohoji vitu, yaani uwe zezeta tu na kukubali kila upuuzi unaoambiwa. We angalia mambo ya Muddy, ni dhahir kabisa kuwa jamaa alikuwa firahuni ila ukiwaambia waislam wasiojitambua wanakukashifu na kutaka kukusomea albadiri au kukuchoma kisu ili tu usiongee ukweli kwani hawataki kuusikia.

 
Unamsingizia allah wa watu maskini!
Hayo ni maneno ya YHWH na Muhammad ni nabii wa allah wala si wa YHWH.
Allah is a quraysh God nothing more nothing less
 
B
Majini nao ni viumbe wa Allah kama wanadamu tu,pia kuna wema na wabaya kwa hiyo usikariri kuwa majini wote ni wabaya.

Biblia imeeleza kinaga ubaga kuwa majini ni huyo Shetani na wafuasi wake waliotupwa duniani. Uislam kwakuwa ni dini ya Shetani umekuja kuwapambapamba hao viumbe waovu ili kufanilisha azma ya kuwapotosha wengi waende motoni, yeye na wafuasi wake washajua hatma yao wanachofanya ni kufanya mockery kwa Mungu na kumuudhi zaidi kwa kuwapotosha watu wake.
Mungu anatupenda sisi sote sawa na alitufia sisi wote mimi na wewe, kazi yetu mi kumwabudu tu basi, na anaumia sana anapopoteza hata mmoja wetu . Hakuna cha wema wala wabaya, wapo wanasubiri adhabu yao ya milele ule mwisho ukifika. Ndo maana Wakristo yakiyakemea kwa Jina la Yesu yanakimbia. Tena yanaogopa sana hilo jina la Yesu.
 
We ndio unapindisha na kupotosha kwa makusudi ila ikosema Roho kutoka kwake na Roho yake kuna tofauti gani?
Roho kutoka kwake maana yake ni roho aliyoiumba yeye.Au mnaposema mke mwema anatoka kwa bwana mnamaanisha ni mke wake bwana?

Halafu malizia aya hiyo uliyoishia "wala msiseme"
 
Muhammad aliathirika kisaikolojia na Ibada ya uchi ya mchanganyiko WA jinsia ilikuwa ikifanyika ndani ya msikiti WA Al kaaba...Ambayo ndio wameweka na jiwe la hajar al aswad...Eti!! Yenye baraka na uongozi Kwa ajili ya ulimwengu wote!!(Al kaaba)
Sielewi kwanini Waislam wanabisha hii hoja, wenzao waliosoma na kuelimika wanashangaa kwanini Muddy aitwe nabii / mtume wakati hastahili hicho cheo na ni nani aliyempa hicho cheo wakati Mungu never gave him that.
 
Haujakamilisha hapa. Kwamba nabii atakayesulubiwa ndio Muhammad au?

Kinyaaaaa
 
Kwani ukristo umetokea wapi?
Kwenye uyahudi.Ibrahimu alikuwa na agano na Mungu WA Israel..na Kwa mwanae WA pekee Isaka...Na ndio aliekaribia kutolewa sadaka sio uwongo mtupu WA Ishmael mwana WA haram... Ukristo Una mafungamano na mkataba ulioanzia Kwa Ibrahim ambayo kamwe hauwezi kuuelewa hata unywe ijaza ya maji ya zam zam yaliochanganywa na zafarani kwenye kombe....Akili ya kiislam haiwezi kuuelewa ukristo.
 
Unamsingizia allah wa watu maskini!
Hayo ni maneno ya YHWH na Muhammad ni nabii wa allah wala si wa YHWH.
Allah is a quraysh God nothing more nothing less
Allah sio Mungu wa Quraysh tu,ni Mungu wa viumbe vyote
 
Hubiri mkuu ila angalia nyuma yako wasije kukutupia mabomu kwa kuwa unaongea ukweli. We angalia karibu masheikh wote wanafuga majini na kuroga watu, hiv ni dini kweli hii?
 
Kwa hiyo ukristo ni matokeo ya dini ya uyahudi
 

Muslim anayetafuta facts huishia kuwa Mkristo.
 
Kwa hiyo ukristo ni matokeo ya dini ya uyahudi

The best version ya dini ya Kiyahudi. Yaani kama unawajua Masadukayo na Mafarisayo aliokuwa anawasema Yesu, Wakristo ni sect ambayo ni neither of the two. Sisi ni Wayahudi tunaofuata mafundisho ya Kristo Mwenyewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…