Je, Injili Ilitabiri Ujio wa Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake)?

Naomba utupe somo kuhusu makundi ya majini mm sielewi hata
 
Ishimael ni mwana wa ibrahimu.
 
Sielewi kwanini Waislam wanabisha hii hoja, wenzao waliosoma na kuelimika wanashangaa kwanini Muddy aitwe nabii / mtume wakati hastahili hicho cheo na ni nani aliyempa hicho cheo wakati Mungu never gave him that.
Mkuu Katika hio Surat an Nisaa(sura ya wanawake)4:79...""Nasi tumekupeleka Kwa watu kuwa mtume..NA MWENYEZI MUNGU NI SHAHIDI WA KUTOSHA..(hapahitajiwi shahidi mwengine)) Huyo Allah hakumtuma Muhammad Ila Yeye ni shahidi Tu...(((Lakini tusisahau Asw ni mdanganyifu/mwongo kweli haimo ndani yake..ni mwongo mtupu))
 
Injili haiwezi kutambua mbakaji aliyembaka binti Aisha wala mvivu aliyelelewa na lishangazi bi Khadija.
 
Hubiri mkuu ila angalia nyuma yako wasije kukutupia mabomu kwa kuwa unaongea ukweli. We angalia karibu masheikh wote wanafuga majini na kuroga watu, hiv ni dini kweli hii?

Kiongozi mimi naamini Usilam ni dini ya shetani mwenyewe. Baada ya kushindwa na Kristo akaja na alternative B ya kuja na dini yake. Na ameisuka vizuri sana inahitaji dedication kujinasua nayo. Na tunajua shetani ana nguvu na uwezo mkubwa kuliko binadamu.
But tumaini ni kuwa Yesu alishayashinda hayo yote.
 
Si tulikubaliana ninyi mnadini yenu na sisi tunadini uyetu,mbona sasa kutwa kujinasibisha na ukristo na uislamu ambao kila dini ina mafundisho yake.

Kiufupi ni kwamba unahangaika bure,mpaka nakuhurumia dini ni ugonjwa wa akili.
 
Mimi ni mkristo mkatoliki. Nasadiki kwa Mungu baba mwenyezi muumba wa mbingu na dunia, na kwa Yesu Kristo mwanae wa pekee, na kwa Roho Mtakatifu. Mungu mmoja (baba, mwana na Roho Mtakatifu). na kwa kanisa takatifu katoliki la mitume.

Niambieni ndugu zangu waislamu kupitia kwa Adamu baba yetu katika mwili. Hivi majini ni nini kwani? Wanafanya nini? Wanautofauti gani na malaika? Wanautofauti gani na mapepo? Wanauadui na wakristo? Wanataka nini?
 
Muddy alikuwa mjanja mno, alikuwa muongo sana.....ilikua akitaka kutomba demu wa mtu, anapandisha mashetani na kujifanya kashukiwa na malaika kuamrishwa kutomba mke wa Loeb S Mpalasinge na watu wałiacha wake zao na kumwachia Muddy achape.
 
Mungu hawezi kufa hata siku moja

Hii neema wamepewa Wakristo tu kuielewa. Ndiyo maan Yesu alisema "nawajua walio wangu, nao wananijua mimi.."
Lakini guess what, kila mmoja ana nafasi ya kufanyika kuwa mwana wa Mungu. Mpokee Kristo leo upate neema ya kuyajua haya!

(Najua nimeibua mada nyingine hapo utasema Mungu hakuzaa mtoto 🤣🤣, sure Mungu hakuzaa nikujibu kabisa ndugu yangu 🙏)
 
Wasiojitambua akili hawatakuelewa, wataona unawakashifu kumbe unawanusuru. Nasikitishwa sana na Serikali kuwaambia wananchi wake waendeleze upuuzi wa kukariri Quran, kitu ambacho hakina umuhimu wowote katika maisha ya mtoto wa Kitanzania.. Ni hatari sana kwa taifa letu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…