Je, Injili Ilitabiri Ujio wa Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake)?

Je, Injili Ilitabiri Ujio wa Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake)?

Yet bado unajinasibu kuamini vitabu vya injili,mimi nasema wewe ni pungu uliyechizika na ujinga wa dini hujitambui.

Tuletee basi hiyo injili asilia?iko wapi?
Kutumia biblia kama ushahidi haina maana kama twaiyamini bali ni kitabu unacho amini wewe
 
1. Aadam
2. Idriys
3. Nuwh
4. Huwd
5. Swaalih
6. Ibraahiym
7. Luutw
8. Ismaa'iyl bin Ibraahiym
9. Is-haaq bin Ibraahiym
10. Ya'quwb bin Is-haaq bin Ibraahiym
11. Yuwsuf bin Ya'quwb bin Is-haaq bin Ibraahiym
12. Shu'ayb
13. Ayyuwb
14. Dhul Kifl
15. Muwsaa
16. Haaruwn nduguye Muwsaa
17. Daawuwd
18. Sulaymaan bin Daawuwd
19. Ilyaas
20. Alyasaa'
21. Yuwnus
22. Zakariyyaa
23. Yahyaa bin Zakariyyaa
24. 'Iysaa bin Maryam
25. Muhammad ﷺ

Hao ni baadhi ya Mitume wa Allah
Allah ana te.mmoja tu aliyetengenezwa na Waraqah ibyn Nauf
 
Waislam tafitini Jambo hili litawasaidia pia...Achaneni na Biblia....Masheikh wenu wanapokuwa wanahitimu masomo Yao hula viapo tena wakati mwengine mbele ya viumbe wasio binadamu.....Jambo ni hili ""Masheikh wenu hula Yamini Kwa kiapo kutunza Siri za uislam"""

*Tafitini kwamba Siri hizo ni zipi???

**Zimefichwa Kwa ajili ya kina Nani???
(1) Mlio ndani??
Kama ni nyie Kwa nini??? Lengo gani??
Faida ipi??
(2)Au makafiri kama Mimi ambae kamwe sitoukubali uislam???
Kama ni Sisi!!! Kwa faida gani??

****Je!! Kuna Jambo limefichwa nyuma ya pazia???

****Kuna hasara gani Katika kuujua hio ukweli????

****Kuna reward gani Kwa Masheikh wenu kufa na hizo Siri????
Swali: wanatoa kiapo kwa nani?

Wanapo hitimu masomo ni wapi huko na mimi nikasome?

Masomo yanahusu nini?
 
1. Aadam
2. Idriys
3. Nuwh
4. Huwd
5. Swaalih
6. Ibraahiym
7. Luutw
8. Ismaa'iyl bin Ibraahiym
9. Is-haaq bin Ibraahiym
10. Ya'quwb bin Is-haaq bin Ibraahiym
11. Yuwsuf bin Ya'quwb bin Is-haaq bin Ibraahiym
12. Shu'ayb
13. Ayyuwb
14. Dhul Kifl
15. Muwsaa
16. Haaruwn nduguye Muwsaa
17. Daawuwd
18. Sulaymaan bin Daawuwd
19. Ilyaas
20. Alyasaa'
21. Yuwnus
22. Zakariyyaa
23. Yahyaa bin Zakariyyaa
24. 'Iysaa bin Maryam
25. Muhammad ﷺ

Hao ni baadhi ya Mitume wa Allah
Hapo onda muddy,ndio muarabu hao wote walio baki ni mitume walioletwa kwaajili ya wayahudi na ni wayahudi uzap wa ibrahimu,isaka na yakobo.
 
Kutumia biblia kama ushahidi haina maana kama twaiyamini bali ni kitabu unacho amini wewe
Watu watakuja kuomba kiwekwe kipimo cha umri na iq hapa jf....Kwamba kitabu hukiamini Ila maneno yake unayatumia!!!!!
Kwamba nguruwe huli ila supu isio na nyama unainywa.....Unajua nafasi yako kama mwanamke kwenye uislam????
 
Aamin nawambia hata Trump ni nabii sema wale walioandika agano jipya na la milele waliona mbali ili kuwrza kuondoa manabii wa kweli watakao tuamsha kulingana nyakati halisia hata Quran imelimiti zama za kuwepo manabii wengine jambo ambalo si kweli unabii unaendana na nyakati
 
Ni ufuasi wa Yesu kristo messiah ambaye vitabu vyote vilielezea ujio wake.

Vipi uislam umetokea wapi?
1. Dini ya Kujisalimisha kwa Mwenyezi Mungu – Neno Uislamu linatokana na neno la Kiarabu Islam, linalomaanisha kujisalimisha kwa hiari kwa Mwenyezi Mungu kwa kumpwekesha (Tawhidi), kumtii kwa uadilifu, na kujiepusha na ushirikina.


2. Dini ya Manabii Wote – Uislamu haukuanza na Mtume Muhammad ﷺ, bali ni dini ya asili ya manabii wote tangu Adam, Nuhu, Ibrahimu, Musa, na Isa . Manabii hawa walifundisha Tauhidi (kumpwekesha Mwenyezi Mungu) lakini watu wakapotosha ujumbe wao na kuanzisha dini nyingine kama Uyahudi na Ukristo.


3. Chanzo cha Uislamu – Unatokana na wahyi (ufunuo) wa Mwenyezi Mungu aliowateremshia manabii wake, ukiwa na kilele chake kwa Mtume Muhammad ﷺ aliyekuja na Qur'an kama mwongozo wa mwisho wa wanadamu wote.
 
Kipindi hicho ameutwaa mwili kuja kuishi na nyie, Yesu alikuwa akimuabudu nani wakati yeye ndio mungu mwenyewe na baba aliekuwa akimuomba ni nani?

Alikuwa akijiomba mwenyewe.?

Akiwa katika safari na wanafunzi wake, alilala mungu analala?

Bahari ili chafuka wanafunzi wake wakaanza kumuamsha, Alipo amka akasema bahari tulia

Mungu analala anaamsha na aliowaumba kuambiwa kama bahari imechafuka kwa nini asijuwe mwenyewe

Na kama hakujuwa kama bahari imechafuka basi akiwa kalala hata watu wa kitenda dhambi ye hatojua.
Yanaweza onekana maswali magumu ila ni mepesi sana kama ukikaa na kuuelewa ukristo na kusudio la Kuja kwa Kristo duniani.


Soma yohana 1 utaelewa zaidi
 
Ukristo Ndio ushetani wa Hali ya juu... wewe fikiria mtu ana shinda studio kuandika nyimbo, mtu hana kazi anategemea sadaka, Mwanaume anaenda kumsikiliza padri wa kike kavaa nguo za uchi nk nk nk

Ukristo ni dini ya shetani mlaaniwe 😂
Kwamba waumini kutoa sadaka wewe kinakuuma sana.

Waimbaji kuimba nyimbo za injili kwako ni tatizo.?

JIkite katika hoja ya mleta mada.
 
Ukristo ni ukichaa unalazimisha mtu aamini Ndio ajue kuhusu yesu.. yan kumuamini yesu mpka utolewe akili kwanza Ndo utaamini
Bila imani sidhani kama unaweza iamni hata hiyo imani yako.

Kinacho kufanya uwe muisilamu ni imani na hofu uliyojengewa
 
Katika historia, kumekuwa na mijadala kuhusu kama maandiko ya zamani yalitabiri ujio wa nabii wa mwisho. Watu wengi wamechunguza vitabu vya kale wakitafuta dalili zinazoelezea mtu atakayekuja na mwongozo wa kiroho kwa mataifa yote. Katika makala hii, tutaangalia aya mbalimbali kutoka Injili zinazoonyesha utabiri wa ujio wa Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake).

1.Kumbukumbu la  Torati 18:18 -  Nabii  kama Musa

"Nitawainulia nabii kutoka miongoni mwa ndugu zao, kama wewe, nami nitatia maneno yangu kinywani mwake, naye atawaambia yote nitakayomwamuru." (Kumbukumbu la Torati 18:18)

Katika aya hii, Mungu anamwambia Musa kwamba nabii mwingine kama yeye atainuliwa kwa watu. Wanazuoni wanaeleza kuwa nabii huyu:
Atakuwa kutoka kwa ndugu wa Waisraeli → Ikiwa Waisraeli wanahusiana na Isaka, basi ndugu zao wa karibu ni kizazi cha Ismaili, ambacho kilizaa Waarabu.

Atakuwa kama Musa → Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake) na Musa wote walikuwa manabii waliopokea sheria mpya na waliongoza jamii zao kwa mwongozo wa Mungu.

Atakuwa na maneno ya Mungu kinywani mwake → Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake) alipokea Qur’an kwa ufunuo wa Jibril, kama Musa alivyopewa Taurati.


2.Isaya 42:1-13 -  Nabii  kutoka Kedar

Katika sura hii ya Isaya, kuna maelezo kuhusu mtumishi wa Mungu ambaye atakuwa nuru kwa mataifa yote:

Isaya 42:1 – “Tazama, mtumishi wangu nimtegemezaye, mteule wangu ambaye nafsi yangu imependezwa naye; nimetia roho yangu juu yake, naye atawatolea mataifa hukumu.”
Huyu ni mtu ambaye Mungu amemchagua kwa kazi maalum.

Ataleta hukumu kwa mataifa yote, akimaanisha atakuwa na ujumbe wa kimataifa.


Isaya 42:11 – “Jangwa na miji yake na vipaze sauti zao, na vijiji anavyokaa Kedari; na wakaao katika miamba na waimbe, wapige kelele kutoka vilele vya milima.”

Kedar alikuwa mtoto wa Ismaili na kizazi chake waliishi Arabia, ambapo Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake) alitokea.


3.  Isaya 21:13-17 - Ujumbe wa Arabia na Parani

Katika sura hii ya Isaya, kuna utabiri wa matukio yatakayotokea katika Arabia:

Isaya 21:13 – "Ufunuo juu ya Arabia. Mtapiga kambi nyikani, enyi watu wa Dedani."

Hii inaonyesha kuwa Arabia ni eneo la tukio kubwa la kiroho.


Isaya 21:14 – “Mleteeni mwenye kiu maji, enyi wenyeji wa Tema, mleteeni mkimbizi chakula chake.”

Tema ni sehemu ya Hijaz, ambako mji wa Madina upo.

Hii inahusiana na jinsi wakazi wa Madina walivyompokea Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake) na kumpa hifadhi.


4.  Yohana 14:16, 16:7-14 - Msaidizi (Parakletos)  na Uthibitisho wa Ahmad Kwenye Qur’an

Yesu alisema:

Yohana 14:16 – “Nami nitamwomba Baba, naye atawapa Msaidizi mwingine, ili akae nanyi milele.” Yohana 16:7 – “Lakini mimi nawaambia iliyo kweli; yawafaa ninyi mimi niondoke, kwa maana nisipoondoka, huyo Msaidizi hatakuja kwenu; bali mimi nikienda, nitamtuma kwenu.”

Msaidizi huyu atafundisha ukweli wote (Yohana 16:13) → Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake) alikuja na Qur’an kama mwongozo wa mwisho.

Neno Parakletos (Παράκλητος) linaweza kuwa Periklytos, ambalo linamaanisha "Aliyesifiwa"
(kwa Kiarabu, Ahmad – jina jingine la Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake)).


Uthibitisho wa Ahmad Kwenye Qur’an

Katika Qur’an, Mtume Isa(amani iwe juu yake) alitabiri kuja kwa mtume baada yake aitwaye Ahmad:

Surah As-Saff 61:6 "Na (wakumbuke) Isa bin Maryamu aliposema: Enyi Wana wa Israili! Hakika mimi ni Mtume wa Mwenyezi Mungu kwenu, nikiwahakikishia yaliyokuwa kabla yangu katika Taurati, na nikitoa habari njema ya (ujio wa) Mtume atakayekuja baada yangu, jina lake ni Ahmad."

Ahmad ni jina lingine la Muhammad.

Yesu anatabiri nabii anayekuja baada yake, ambaye atakuwa na ujumbe wa Mungu.


5.Ufunuo 12:5 & 19:15 - Fimbo ya Chuma

Ufunuo 19:15 – "Na upanga mkali hutoka kinywani mwake ili aweke mataifa chini, naye atawachunga kwa fimbo ya chuma."

Hii inahusiana na Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake), ambaye atatawala kwa haki na nguvu za Mungu, na Qur’an inamtaja kama mtawala wa haki.

Hitimisho
Biblia ina maandiko ambayo, kwa muktadha wa tafsiri, yanaonyesha wazi dalili kuhusu ujio wa Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake). Aya kutoka Kumbukumbu la Torati, Isaya, Yohana, na Ufunuo zinaweza kueleweka kama utabiri wa ujio wa Muhammad, hasa kwa vile anapatikana katika maeneo ya Arabia, anahusiana na Kedar, na anaitwa Ahmad, jina lingine la Muhammad.
usiutafutie uislamu kiki kwenye ukristo.
1;mjumbe wa kumbukumbu la torati alikuwa ni yesu kristo. nabii aliemkuuna masihi.
2; muhamad hakuleta hkumu yoyote kwa mataifa. isipokuwa ameyaponza mataifa mengi. ila yesu kristo ndie atakae leta hukuma juu ya kila taifa.

4; msaidizi hakiwa mohamad kwakuwa muhamad hakuongea lolote la yesu kristo
 
Kutumia biblia kama ushahidi haina maana kama twaiyamini bali ni kitabu unacho amini wewe
Kwani kurani si imekamilika kwanini isitoe ushaidi tosha hadi kutumia kitabu msichokiamini mnachodai kimechakachuliwa.

Au kurwani haijitoshelezi inahitaji msaada.?
 
1. Dini ya Kujisalimisha kwa Mwenyezi Mungu – Neno Uislamu linatokana na neno la Kiarabu Islam, linalomaanisha kujisalimisha kwa hiari kwa Mwenyezi Mungu kwa kumpwekesha (Tawhidi), kumtii kwa uadilifu, na kujiepusha na ushirikina.


2. Dini ya Manabii Wote – Uislamu haukuanza na Mtume Muhammad ﷺ, bali ni dini ya asili ya manabii wote tangu Adam, Nuhu, Ibrahimu, Musa, na Isa . Manabii hawa walifundisha Tauhidi (kumpwekesha Mwenyezi Mungu) lakini watu wakapotosha ujumbe wao na kuanzisha dini nyingine kama Uyahudi na Ukristo.


3. Chanzo cha Uislamu – Unatokana na wahyi (ufunuo) wa Mwenyezi Mungu aliowateremshia manabii wake, ukiwa na kilele chake kwa Mtume Muhammad ﷺ aliyekuja na Qur'an kama mwongozo wa mwisho wa wanadamu wote.
Muislamu wa kwanza ni nani,na ili uwe muislamu lazima uwe na vigezo gani?
 
Mungu ameutoa mwili ili akukomboe na bado ukifa unaenda motoni kwa dhambi zako.. Mungu nae hakutumia akili hapo


Kuna kitu siku hizi kinaitwa uhuru. Ni neno sahihi sana kumtambulisha Mungu namna anavyotuchukulia. Utaijua kweli na Roho Mtakatifu atakusaidia kuijua hiyo kweli. At the end of the day maamuzi yako Mungu wala hayaingilii. Ukitaka kuua wewe ua tu lakini ujue Mungu amekataza kuua, na dhambi nyingine zote.

Ndiyo maana Mungu alijua shetani anataka kumsaliti kule mbinguni still alimwacha maana hata angeweza kumpoteza hata asiwepo tena. Au Yesu alijua kabisa Yuda atamsaliti na alimwonya beforehand yet alimwacha afanye. Huyo ndo Mungu.

Yet bado unaweza kusalimika maana amesema "..dhambi zenu zijapokuwa nyekundu kama damu nitazisafisha na kuwa nyeupe kama theluji..." . Mstari huu anaambiwa mtu yeyote. Ni Mungu wa msamaha na upendo wa hali ya juu mno!.

Ni ngumu sana kuzielewa njia za Mungu but imani inatuhakikishia kuwa maamuzi yake na njia zake ni sahihi all the time.
 
Ukristo ni dini ya shetani shtukeni nyie makafiri ni mtego wa motoni kwa sababu zifuatazo:

1.. wanatumia nyimbo na ala za muziki kama sehemu ya kuabudu.. nyimbo ( muziki) ni dhambi hakuna muziki wa mbinguni wala muziki wa motoni muziki ni muziki tuu..

2.. wanawake wanaingia uchi makanisani Mwanaume halisi hauwezi kukaa pembeni ya mwanamke aliye vaa mapaja yanaonekana na ukawa Sawa kiakili

3.. Biblia iliandikwa na watu yesu hakuandika biblia.. biblia Ina mkusanyiko wa vitabu 66 na vyote vimeandikwa na watu wanao jiita manabii baada ya yesu kuuwawa

4.. Makanisa ni taasisi kila siku zinaanzishwa taasisi mbali mbali wakati kuna United bible society inaweza kufanya hyo kazi kwa mlolongo mmoja ila leo tuna Tanzania bible society kenya, Uganda nk

5.. wakristu mnaabudu sanamu la Maria na sanamu la yule muigizaji wa yesu hzo ni sala za kishetani

6.. wakristo shetani anakaa kwenye uchafu kateni kucha acheni kuvaa mawigi kama mashetani acheni kutembea uchi jisafisheni mkikojoa na mkinya jitawazeni na maji acheni ufara

Inahitaji uwe mjinga sana ili uwe mkristo
 
Yanaweza onekana maswali magumu ila ni mepesi sana kama ukikaa na kuuelewa ukristo na kusudio la Kuja kwa Kristo duniani.


Soma yohana 1 utaelewa zaidi
Mungu alikuja duniani kupitia nyeti ya kiumbe aliomuumba ( kwa mwenye akili huu ni uchafu sio dini)

Kwanini asinge kuja kimiujiza.? Tuu asijulikane alipotokea?

Kama mwamuita mungu kisa kazaliwa bila baba mbona Adam hana baba wala mama kwanini msimfanye yeye ndio mungu.

Maana yeye ndio wa ajabu zaidi, Bi hawa nae hakuwa na mama

Hivyo ndio Allah anavyo onesha uwezo wake katika Uumbaji? Ila mnamkufuru

Allah hakuna aliewahi kumuona
 
Back
Top Bottom