MduduAli
JF-Expert Member
- Jun 21, 2024
- 551
- 968
Kwahyo hatuendi tena motoni?? Zambi zimesha safishwa?dhambi zenu zijapokuwa nyekundu kama damu nitazisafisha na kuwa nyeupe kama theluji..."
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahyo hatuendi tena motoni?? Zambi zimesha safishwa?dhambi zenu zijapokuwa nyekundu kama damu nitazisafisha na kuwa nyeupe kama theluji..."
Sisi hatuambiwi pokea imani kwanza Ndio umjue Mungu... sisi tunaambiwa Mjue Mungu kwanza Alafu zijue Nguzo za Dini Yake zifuate hapo umemaliza.Bila imani sidhani kama unaweza iamni hata hiyo imani yako.
Kinacho kufanya uwe muisilamu ni imani na hofu uliyojengewa
Lengo la sadaka ni kusaidia wasio jiweza nyie mnaenda kumpa pastor tony anamiliki gari yenye thamani ya Mil300Kwamba waumini kutoa sadaka wewe kinakuuma sana.
Waimbaji kuimba nyimbo za injili kwako ni tatizo.?
JIkite katika hoja ya mleta mada.
Muhammadﷺ ndiye ambaye ametumwa kuleta hukumu kwa mataifa yote lakini yesu yeye alitumwa kwa ajili ya wana wa Israeli tu; muhamad hakuleta hkumu yoyote kwa mataifa. isipokuwa ameyaponza mataifa mengi. ila yesu kristo ndie atakae leta hukuma juu ya kila taifa.
nadhani hujasoma yaliyotokea bada ya kukataliwa israel. biblia inasema aliiyageukia mataifa.Muhammadﷺ ndiye ambaye ametumwa kuleta hukumu kwa mataifa yote lakini yesu yeye alitumwa kwa ajili ya wana wa Israeli tu
1. Mathayo 15:24
"Akajibu, akasema, Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli."
Hii ni kauli ya Yesu mwenyewe alipokuwa akimjibu mwanamke Mkanaani aliyekuwa akimwomba msaada.
2. Mathayo 10:5-6
"Hao Thenashara Yesu aliwatuma, akawaagiza, akisema, Katika njia ya Mataifa msienende, wala msiingie katika mji wa Wasamaria; bali shikeni njia kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli."
Yesu aliwaambia wanafunzi wake waende kwa Waisraeli pekee na waepuke Mataifa mengine.
3. Matendo 13:23
"Katika uzao wake, Mungu, kama alivyoahidi, amewaletea Israeli Mwokozi, yaani, Yesu."
Hapa inaeleza kuwa Yesu aliletwa kama Mwokozi wa Israeli, kulingana na ahadi ya Mungu.
NImeshasema ondoa mudy,wengine wote ni manabii waliotumwa na YHW kwaajili ya watu wake wana waisrael.Sio wote waliokuwa hapo ni wayahudi.
Hayo ndio uliyoyaona katika ukristo,pole sana wewe ni wakuhurumia.Ukristo ni dini ya shetani shtukeni nyie makafiri ni mtego wa motoni kwa sababu zifuatazo:
1.. wanatumia nyimbo na ala za muziki kama sehemu ya kuabudu.. nyimbo ( muziki) ni dhambi hakuna muziki wa mbinguni wala muziki wa motoni muziki ni muziki tuu..
2.. wanawake wanaingia uchi makanisani Mwanaume halisi hauwezi kukaa pembeni ya mwanamke aliye vaa mapaja yanaonekana na ukawa Sawa kiakili
3.. Biblia iliandikwa na watu yesu hakuandika biblia.. biblia Ina mkusanyiko wa vitabu 66 na vyote vimeandikwa na watu wanao jiita manabii baada ya yesu kuuwawa
4.. Makanisa ni taasisi kila siku zinaanzishwa taasisi mbali mbali wakati kuna United bible society inaweza kufanya hyo kazi kwa mlolongo mmoja ila leo tuna Tanzania bible society kenya, Uganda nk
5.. wakristu mnaabudu sanamu la Maria na sanamu la yule muigizaji wa yesu hzo ni sala za kishetani
6.. wakristo shetani anakaa kwenye uchafu kateni kucha acheni kuvaa mawigi kama mashetani acheni kutembea uchi jisafisheni mkikojoa na mkinya jitawazeni na maji acheni ufara
Inahitaji uwe mjinga sana ili uwe mkristo
Yesu alizaliwa na bikra maria,ajabu namba 1,Yesu alitabiliwa ajabu namba 2,Yesu alitenda miujiza mikuu kuliko wanadamu wote ajabu ya 3,Yesu alikufa na kufufuka na kupaa mbinguni.Mungu alikuja duniani kupitia nyeti ya kiumbe aliomuumba ( kwa mwenye akili huu ni uchafu sio dini)
Kwanini asinge kuja kimiujiza.? Tuu asijulikane alipotokea?
Kama mwamuita mungu kisa kazaliwa bila baba mbona Adam hana baba wala mama kwanini msimfanye yeye ndio mungu.
Maana yeye ndio wa ajabu zaidi, Bi hawa nae hakuwa na mama
Hivyo ndio Allah anavyo onesha uwezo wake katika Uumbaji? Ila mnamkufuru
Allah hakuna aliewahi kumuona
Muislam wa kwanza ni Adamعَلَیهِالسَّلام.Muislamu wa kwanza ni nani,na ili uwe muislamu lazima uwe na vigezo gani?
Unauhakika wakristo hawapeleki misaada kwa wahitaji,na kuhakikishia hakuna waumini wanaotoa msaada kwa wahitaji kama wakristo,tafuta charity katika eneo ulipo utakuta karibia zote zina wakristo.Lengo la sadaka ni kusaidia wasio jiweza nyie mnaenda kumpa pastor tony anamiliki gari yenye thamani ya Mil300
Mnamuacha mtu mwenye uhitaji mnampelekea pastor mwamposa
Muziki ni zambi kukesha studio mnashindana na bob marley yesu na yeye aliimba?
Yesu angeandika biblia angewafundisha namna ya kuabudu
1. Surah Al-A’raf (7:158)ama wap imeandikwa mohammed angetoa hukumu kwa mataifa.
KUhusu kusali Yesu alitoa muongozo.Lengo la sadaka ni kusaidia wasio jiweza nyie mnaenda kumpa pastor tony anamiliki gari yenye thamani ya Mil300
Mnamuacha mtu mwenye uhitaji mnampelekea pastor mwamposa
Muziki ni zambi kukesha studio mnashindana na bob marley yesu na yeye aliimba?
Yesu angeandika biblia angewafundisha namna ya kuabudu
1. Aadam – Nabii wa kwanza wa wanadamu, hakuwa Myahudi.NImeshasema ondoa mudy,wengine wote ni manabii waliotumwa na YHW kwaajili ya watu wake wana waisrael.
Ili uwe muislamu ni lazima uswali sara tano,uhiji,utoe sadaka,shabada,kufunga.Muislam wa kwanza ni Adamعَلَیهِالسَّلام.
Muislam ni yule anayemnyenyekea Allah kwa kufuata maamrisho na kuacha makatazo yake huku akijiepusha na ushirikina.
Kipindi hicho ameutwaa mwili kuja kuishi na nyie, Yesu alikuwa akimuabudu nani wakati yeye ndio mungu mwenyewe na baba aliekuwa akimuomba ni nani?
Alikuwa akijiomba mwenyewe.?
Akiwa katika safari na wanafunzi wake, alilala mungu analala?
Bahari ili chafuka wanafunzi wake wakaanza kumuamsha, Alipo amka akasema bahari tulia
Mungu analala anaamsha na aliowaumba kuambiwa kama bahari imechafuka kwa nini asijuwe mwenyewe
Na kama hakujuwa kama bahari imechafuka basi akiwa kalala hata watu wa kitenda dhambi ye hatojua.
Jini si uzao wa shetani bali shetani ndio uzao wa jiniPia tambua hakuna majink wazuri wala wabaya jini jini tu uzao wa shetani.
Kuna tofauti ipi kati ya dufu na kwaya?mbona kishki, mazinge na Sulle wana magari ya bei mbaya?Lengo la sadaka ni kusaidia wasio jiweza nyie mnaenda kumpa pastor tony anamiliki gari yenye thamani ya Mil300
Mnamuacha mtu mwenye uhitaji mnampelekea pastor mwamposa
Muziki ni zambi kukesha studio mnashindana na bob marley yesu na yeye aliimba?
Yesu angeandika biblia angewafundisha namna ya kuabudu
Kwahyo hatuendi tena motoni?? Zambi zimesha safishwa?
1. Swala (Sala)Ili uwe muislamu ni lazima uswali sara tano,uhiji,utoe sadaka,shabada,kufunga.
Nionyeshe wapi hao mitume na manabii walitekeleza hizo nguzo tano tukianzia na Adam.
Mungu alikuja duniani kupitia nyeti ya kiumbe aliomuumba ( kwa mwenye akili huu ni uchafu sio dini)
Kwanini asinge kuja kimiujiza.? Tuu asijulikane alipotokea?
Kama mwamuita mungu kisa kazaliwa bila baba mbona Adam hana baba wala mama kwanini msimfanye yeye ndio mungu.
Maana yeye ndio wa ajabu zaidi, Bi hawa nae hakuwa na mama
Hivyo ndio Allah anavyo onesha uwezo wake katika Uumbaji? Ila mnamkufuru
Allah hakuna aliewahi kumuona