Je, Injili Ilitabiri Ujio wa Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake)?

Je, Injili Ilitabiri Ujio wa Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake)?

Bila imani sidhani kama unaweza iamni hata hiyo imani yako.

Kinacho kufanya uwe muisilamu ni imani na hofu uliyojengewa
Sisi hatuambiwi pokea imani kwanza Ndio umjue Mungu... sisi tunaambiwa Mjue Mungu kwanza Alafu zijue Nguzo za Dini Yake zifuate hapo umemaliza.
 
Kwamba waumini kutoa sadaka wewe kinakuuma sana.

Waimbaji kuimba nyimbo za injili kwako ni tatizo.?

JIkite katika hoja ya mleta mada.
Lengo la sadaka ni kusaidia wasio jiweza nyie mnaenda kumpa pastor tony anamiliki gari yenye thamani ya Mil300

Mnamuacha mtu mwenye uhitaji mnampelekea pastor mwamposa

Muziki ni zambi kukesha studio mnashindana na bob marley yesu na yeye aliimba?

Yesu angeandika biblia angewafundisha namna ya kuabudu
 
; muhamad hakuleta hkumu yoyote kwa mataifa. isipokuwa ameyaponza mataifa mengi. ila yesu kristo ndie atakae leta hukuma juu ya kila taifa.
Muhammadﷺ ndiye ambaye ametumwa kuleta hukumu kwa mataifa yote lakini yesu yeye alitumwa kwa ajili ya wana wa Israeli tu

1. Mathayo 15:24

"Akajibu, akasema, Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli."

Hii ni kauli ya Yesu mwenyewe alipokuwa akimjibu mwanamke Mkanaani aliyekuwa akimwomba msaada.

2. Mathayo 10:5-6

"Hao Thenashara Yesu aliwatuma, akawaagiza, akisema, Katika njia ya Mataifa msienende, wala msiingie katika mji wa Wasamaria; bali shikeni njia kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli."

Yesu aliwaambia wanafunzi wake waende kwa Waisraeli pekee na waepuke Mataifa mengine.

3. Matendo 13:23

"Katika uzao wake, Mungu, kama alivyoahidi, amewaletea Israeli Mwokozi, yaani, Yesu."

Hapa inaeleza kuwa Yesu aliletwa kama Mwokozi wa Israeli, kulingana na ahadi ya Mungu.
 
nadhani hujasoma yaliyotokea bada ya kukataliwa israel. biblia inasema aliiyageukia mataifa.
ama wap imeandikwa mohammed angetoa hukumu kwa mataifa.

biblia haimtambui mohamed.
 
Sio wote waliokuwa hapo ni wayahudi.
NImeshasema ondoa mudy,wengine wote ni manabii waliotumwa na YHW kwaajili ya watu wake wana waisrael.
Ukristo ni dini ya shetani shtukeni nyie makafiri ni mtego wa motoni kwa sababu zifuatazo:

1.. wanatumia nyimbo na ala za muziki kama sehemu ya kuabudu.. nyimbo ( muziki) ni dhambi hakuna muziki wa mbinguni wala muziki wa motoni muziki ni muziki tuu..

2.. wanawake wanaingia uchi makanisani Mwanaume halisi hauwezi kukaa pembeni ya mwanamke aliye vaa mapaja yanaonekana na ukawa Sawa kiakili

3.. Biblia iliandikwa na watu yesu hakuandika biblia.. biblia Ina mkusanyiko wa vitabu 66 na vyote vimeandikwa na watu wanao jiita manabii baada ya yesu kuuwawa

4.. Makanisa ni taasisi kila siku zinaanzishwa taasisi mbali mbali wakati kuna United bible society inaweza kufanya hyo kazi kwa mlolongo mmoja ila leo tuna Tanzania bible society kenya, Uganda nk

5.. wakristu mnaabudu sanamu la Maria na sanamu la yule muigizaji wa yesu hzo ni sala za kishetani

6.. wakristo shetani anakaa kwenye uchafu kateni kucha acheni kuvaa mawigi kama mashetani acheni kutembea uchi jisafisheni mkikojoa na mkinya jitawazeni na maji acheni ufara

Inahitaji uwe mjinga sana ili uwe mkristo
Hayo ndio uliyoyaona katika ukristo,pole sana wewe ni wakuhurumia.

Pia tambua hakuna majink wazuri wala wabaya jini jini tu uzao wa shetani.

Daudi iliimba na kucheza mbele ya sanduku la agano wala usihofu penye furaha tunapaswa kuimba kucheza na kuabudu sio kosa wala sio dhambi.

Yesu hakuja kuandika biblia bali kuleta ijili ya kweli wewe ulidhani kazi ya wale mitume 12 ilikua ni nini kama sio kuandika mtendo makuu ya Bwana wao.
Kama biblia imechakachuliwa kama mnavyo dai tunaomba mtuletee biblia ile original ambayo manayo hapo meka au msikiti wa mtoro ili tuifuate.

Hata uislam una madhehebu rukuki tena wao wanachuki gadi za kuuana shia na suni hawapikipik chungu moja,bado kuna Answar n.k

Waislamu wanaabudu jiwe pale kaaba,kwa kulibusu nadhani hamko toafuti na wanao abudu sanamu ya bikra maria nyie ni watoto wa baba mmoja tiafuti mama tu.
 
Mungu alikuja duniani kupitia nyeti ya kiumbe aliomuumba ( kwa mwenye akili huu ni uchafu sio dini)

Kwanini asinge kuja kimiujiza.? Tuu asijulikane alipotokea?

Kama mwamuita mungu kisa kazaliwa bila baba mbona Adam hana baba wala mama kwanini msimfanye yeye ndio mungu.

Maana yeye ndio wa ajabu zaidi, Bi hawa nae hakuwa na mama

Hivyo ndio Allah anavyo onesha uwezo wake katika Uumbaji? Ila mnamkufuru

Allah hakuna aliewahi kumuona
Yesu alizaliwa na bikra maria,ajabu namba 1,Yesu alitabiliwa ajabu namba 2,Yesu alitenda miujiza mikuu kuliko wanadamu wote ajabu ya 3,Yesu alikufa na kufufuka na kupaa mbinguni.

Nionyeshe nabii gani aliyewahi fanya hayo.

Kesho naenda kusilimu.

Hivyo Yesu ni Mungu pamoja nasi Emanuel.
 
Muislamu wa kwanza ni nani,na ili uwe muislamu lazima uwe na vigezo gani?
Muislam wa kwanza ni Adamعَلَیهِ‌السَّلام.

Muislam ni yule anayemnyenyekea Allah kwa kufuata maamrisho na kuacha makatazo yake huku akijiepusha na ushirikina.
 
Lengo la sadaka ni kusaidia wasio jiweza nyie mnaenda kumpa pastor tony anamiliki gari yenye thamani ya Mil300

Mnamuacha mtu mwenye uhitaji mnampelekea pastor mwamposa

Muziki ni zambi kukesha studio mnashindana na bob marley yesu na yeye aliimba?

Yesu angeandika biblia angewafundisha namna ya kuabudu
Unauhakika wakristo hawapeleki misaada kwa wahitaji,na kuhakikishia hakuna waumini wanaotoa msaada kwa wahitaji kama wakristo,tafuta charity katika eneo ulipo utakuta karibia zote zina wakristo.

Pia tambua ukristo unafundiaha kusaidi wahitaji na wenyw njaa.

Uzuri wa kristo ni watoaji sana wanatoa hadi kuzidi,sio waislamu ibada hata 10k kuifiksha kazi msikiti wanachangisha hela ya luku au bili ya maji hadi kwa wapita njia.

M naona kinachokutesa wewe ni wivu tu..sadaka huwezi mpangia mtu apeleke wapi..tambua wakristo wanafundishwa sadaka ipelekwe katika madhabahu wanayoabudia sio kosa lao ni maagizo yao.
Na wewe fata yako kasaidie masikini hakuna alokukataza.

Mziki utaimbwa duniani mana pepo ya wakristo ni kuimba na kusifu neema za Mungu sio kulombana kama dangulo la ala.
 
ama wap imeandikwa mohammed angetoa hukumu kwa mataifa.
1. Surah Al-A’raf (7:158)
"Sema: Enyi watu! Hakika mimi ni Mtume wa Mwenyezi Mungu kwenu nyote, Ambaye Ufalme wa mbingu na ardhi ni Wake. Hapana mungu ila Yeye; anahuisha na anafisha. Basi muaminini Mwenyezi Mungu na Mtume Wake, Nabii asiyejua kusoma wala kuandika, ambaye anamuamini Mwenyezi Mungu na maneno Yake; na mfuateni ili mpate kuongoka."
2. Surah Saba (34:28)
"Nasi hatukukutuma ila kwa watu wote, uwe mbashiri na mwonyaji; lakini watu wengi hawajui."
3. Surah Al-Furqan (25:1)
"Ametukuka Yule Aliyeteremsha kipimo kwa mja Wake, ili awe mwonyaji kwa walimwengu wote."
 
Lengo la sadaka ni kusaidia wasio jiweza nyie mnaenda kumpa pastor tony anamiliki gari yenye thamani ya Mil300

Mnamuacha mtu mwenye uhitaji mnampelekea pastor mwamposa

Muziki ni zambi kukesha studio mnashindana na bob marley yesu na yeye aliimba?

Yesu angeandika biblia angewafundisha namna ya kuabudu
KUhusu kusali Yesu alitoa muongozo.

Akawaambia, Msalipo, semeni, Baba [yetu uliye mbinguni], Jina lako litakaswe, Ufalme wako uje, [Mapenzi yako yatimizwe, hapa duniani kama huko mbinguni.] Utupe siku kwa siku riziki yetu. Utusamehe dhambi zetu, kwa kuwa sisi nasi tunamsamehe kila tumwiaye. Na usitutie majaribuni [lakini tuokoe na yule mwovu]. Luka 11:2-4
 
NImeshasema ondoa mudy,wengine wote ni manabii waliotumwa na YHW kwaajili ya watu wake wana waisrael.
1. Aadam – Nabii wa kwanza wa wanadamu, hakuwa Myahudi.
2. Idriys – Hakuwa Myahudi, alikuwepo kabla ya kabila la Bani Israa’il.
3. Nuh (Noah) – Alikuwepo kabla ya Wayahudi.
4. Hud – Alitumwa kwa kaumu ya ‘Aad (Waarabu wa kale).
5. Swalih – Alitumwa kwa kaumu ya Thamud (Waarabu wa kale).
6. Ibraahiym (Abraham) – Baba wa manabii, alikuwepo kabla ya Uyahudi.
7. Ismaa'iil – Mtoto wa Ibraahiym, baba wa Waarabu (si Myahudi).
8. Luut – Alitumwa kwa watu wa Sodoma na Gomora (si Myahudi).
9. Shu'ayb – Nabii wa watu wa Madyan (Waarabu wa kale).
 
Muislam wa kwanza ni Adamعَلَیهِ‌السَّلام.

Muislam ni yule anayemnyenyekea Allah kwa kufuata maamrisho na kuacha makatazo yake huku akijiepusha na ushirikina.
Ili uwe muislamu ni lazima uswali sara tano,uhiji,utoe sadaka,shabada,kufunga.

Nionyeshe wapi hao mitume na manabii walitekeleza hizo nguzo tano tukianzia na Adam.
 
Kipindi hicho ameutwaa mwili kuja kuishi na nyie, Yesu alikuwa akimuabudu nani wakati yeye ndio mungu mwenyewe na baba aliekuwa akimuomba ni nani?

Alikuwa akijiomba mwenyewe.?

Akiwa katika safari na wanafunzi wake, alilala mungu analala?

Bahari ili chafuka wanafunzi wake wakaanza kumuamsha, Alipo amka akasema bahari tulia

Mungu analala anaamsha na aliowaumba kuambiwa kama bahari imechafuka kwa nini asijuwe mwenyewe

Na kama hakujuwa kama bahari imechafuka basi akiwa kalala hata watu wa kitenda dhambi ye hatojua.

Hizi hoja zako mpendwa wangu zinahitaji tukae tufundishane. Kuandika hapa itachukua milele.

Kuhusu Yesu na Baba yake unahitaji kuuelewa kwanza Utatu Mtakatifu, wala siyo rocket science ni ugumu tu wa mioyo yetu hasa tunapokosa Msaidizi ndani yetu 🤣🤣. Mfano, wewe mwenyewe umeumbwa kwa mwili na roho, iweje iwe ngumu kwako kuelewa dhana ya Mungu kuexist katika nafsi 3? Ukifa mwili wako utaoza, kitakachosulubiwa au kuifaidi paradise ni roho yako, ndo maana tunasema kule wala hakuna kuoa wala kuolewa muwe mnajaribu kutafakari vitu kama hivi kwa kina kidogo.

Mungu aliposema "Na tufanye mtu kwa mfano wetu..." unadhani alikuwa anongea na nani? Maana malaika si kazi yao kuumba, sasa huyo Mungu alikuwa anaongea na nani kama umewahi kuiasoma biblia? Nafsi 3 za Mungu zinaexist katika utaratibu maalum ambapo Mwana anaweza kumwomba Baba, nk, na yet ni Mungu huyo huyo. Maelezo ni mengu hata sijui nikwambie nini. Ndiyo maana Yesu alisema hata ule mwisho wa dunia anayejua ni Baba yake tu lakini still aliweza na anaweza kufanya mambo ya Kimungu kama kusamehe dhambi, kuponya wagonjwa, kufufua wafu, kukemea mapepo yakamtii, na kumnyang'anya shetani mamlaka nk

Hayo matukio mengine ya bahari kuchafuka Yesu akiwa ndani ya mtumbwi nk, ni sawa kama wanafunzi wa Yohana Mbatizaji walipotumwa wakamuulize Yesu "...Wewe ndiye Yule Ajaye...." Yohana mwenyewe alijua majibu tayari, ni hatua za kuikamilisha tu injili hadi leo wote tuna hayo majibu, na tunafahamu ukuu wa Yesu katika maisha yetu. Niambie ni katika nyakati gani mambo yalienda mrama wakashindwa jambo na Yesu akiwepo? None ! Maana hata palipokuwa hapana namna ya kibinadamu mfano chakula Yesu aliwalisha kwa miujiza, nyakati nyingine wakiwa ni maelfu kwa maelfu ya watu.

Hata kifo chake kilikuwa lazima kitokee kwa malengo ya kuwa sadaka kwa ajili ya watu wote duniani, haimaanishi angetaka kuepuka kifo angeshindwa. It was meant to happen.
 
Lengo la sadaka ni kusaidia wasio jiweza nyie mnaenda kumpa pastor tony anamiliki gari yenye thamani ya Mil300

Mnamuacha mtu mwenye uhitaji mnampelekea pastor mwamposa

Muziki ni zambi kukesha studio mnashindana na bob marley yesu na yeye aliimba?

Yesu angeandika biblia angewafundisha namna ya kuabudu
Kuna tofauti ipi kati ya dufu na kwaya?mbona kishki, mazinge na Sulle wana magari ya bei mbaya?
 
Kwahyo hatuendi tena motoni?? Zambi zimesha safishwa?

Naam. Ukimpokea Kristo utaokolewa. Haijalishi umefanya dhambi gani na kwa muda gani, ni anytime t, wala haihitaji process, ni instantly, palepale ushakuwa forgiveness, ni usitende dhambi tena, na Roho Mtakatifu atakuongoza from there uipate hiyo neema ya kuepuka kurudi nyuma. Wote tuseme Amina 🙏.
 
Ili uwe muislamu ni lazima uswali sara tano,uhiji,utoe sadaka,shabada,kufunga.

Nionyeshe wapi hao mitume na manabii walitekeleza hizo nguzo tano tukianzia na Adam.
1. Swala (Sala)

Nabii Ibraahim (A.S.):
"Na alikumbushia kwa swala na zaka, na alikuwa mcha Mungu."
(Surah Maryam 19:55)
Ibraahim alitekeleza swala kama sehemu ya ibada yake.

Nabii Musa (A.S.):
"Na tulimwandikia Musa katika vitabu kwamba aswali na atoe zaka, na hii ndiyo dini ya haki."
(Surah Al-Mumtahanah 60:12)
Musa alitekeleza swala na zaka kama sehemu ya ibada yake kwa Allah.

Nabii Daudi (A.S.):
"Na Daudi alifurahishwa na yetu, tukamfanyia yake dawa ya kutubu, na tukamwambia: 'Usifanye dhambi tena.'"
(Surah Sad 38:24)
Daudi alimtekeleza Allah kwa ibada ya swala.

Nabii Zakariya (A.S.):
"Na wakati Zakariya alipomwomba Mola wake akasema: 'Mola wangu, usinione nikiwa mpweke. Naomba uwepo wa Mungu, na haki yako; hakika wewe ni mtoa haki.'"
(Surah Al-Imran 3:38)
Zakariya alijitolea katika ibada kwa swala.

2. Zaka (Sadaka)

Nabii Ibraahim (A.S.):
"Na alikumbushia kwa swala na zaka, na alikuwa mcha Mungu."
(Surah Maryam 19:55)
Ibraahim pia alitekeleza zaka kama sehemu ya ibada.

Nabii Musa (A.S.):
"Na tulimwandikia Musa katika vitabu kwamba aswali na atoe zaka, na hii ndiyo dini ya haki."
(Surah Al-Mumtahanah 60:12)
Musa alihusishwa na kutoa zaka.

3. Hajj (Hija)

Nabii Ibraahim (A.S.):
"Na alifanya hajj kwa Mtume Ibraahim na watoto wake kwa kumtaja Allah kuwa ni mwenye uweza wa kila kitu."
(Surah Al-Baqarah 2:125-127)
Ibraahim anahusishwa na ujenzi wa Kaaba na kuanzisha Hija kama ibada ya msingi.

4. Shahada (Shahidi ya Umoja wa Mungu)

Nabii Ibraahim (A.S.):
"Na alikumbushia kwa swala na zaka, na alikuwa mcha Mungu."
(Surah Maryam 19:55)
Ibraahim alikuwa na ushahidi wa umoja wa Mungu katika maisha yake.

5. Fasting (Saumu)

Nabii Musa (A.S.):
"Na wakati Musa alipo kuwa na njaa akasema, 'Mola wangu, tumekuambia tutakasee roho na mwili'."
(Surah Al-Mumtahanah 60:12)
Musa alifanya ibada kwa kufunga kama njia ya kujitakasa.
 
Mungu alikuja duniani kupitia nyeti ya kiumbe aliomuumba ( kwa mwenye akili huu ni uchafu sio dini)

Kwanini asinge kuja kimiujiza.? Tuu asijulikane alipotokea?

Kama mwamuita mungu kisa kazaliwa bila baba mbona Adam hana baba wala mama kwanini msimfanye yeye ndio mungu.

Maana yeye ndio wa ajabu zaidi, Bi hawa nae hakuwa na mama

Hivyo ndio Allah anavyo onesha uwezo wake katika Uumbaji? Ila mnamkufuru

Allah hakuna aliewahi kumuona

Usijali. Atakapokuja mara ya pili kuwahukumu wazima na wafu, kila jicho litameona, na kila ulimi utamkiri. Atakuja na utukufu wake wote, full Mfalme na hataangalia makunyanzi.

Ujio wake wa mara ya kwanza ilikuwa aje katika hali ya kibinadamu, ndiyo maana tunamwita Emmanuel, yaani Mungu katikati yetu.
 
Back
Top Bottom