Hapa ni aya inayosema Yesu ana uwezo wa kutoa uhai wake na kuutwaa tena:Umilele upi aliokuwa nao wakati mnakiri alikufa msalabani.
Sema Allah mungu wa kikureshi ndio hawezi,Mungu hawezi kuwa binadamu na kupitia maisha ya kibinadamu
Yesu alikuwa binadamu wa kawaida kama ulivyosema.
1. Marko 13:32. Ujuzi wa Yote (Omniscience) – Yesu anajua yote kama Mungu.
BIBLIA HAISOMWI KIMSIKITIMSIKITI1. Marko 13:32
"Lakini kwa habari ya siku ile au saa ile hakuna ajuaye, wala malaika walio mbinguni, wala Mwana, ila Baba peke yake."
— Hapa Yesu anakiri kuwa hajui siku wala saa ya mwisho, bali Baba tu ndiye anayejua.
2. Mathayo 24:36 (Andiko sawa na Marko 13:32)
"Walakini kwa habari ya siku ile na saa ile hakuna ajuaye, hata malaika wa mbinguni, wala Mwana, ila Baba peke yake."
Wewe utasemaje anajua kila kitu wakati mwenyewe anakiri kuwa kuna vitu havijui?
Mathayo 20:23Uweza wa Yote (Omnipotence) – Yesu ana uweza wote kama Mungu.
Isaya 44:24Uumbaji – Yesu aliumba vyote kama Mungu.
Yesu alipokuwa duniani alionyesha utii kwa Baba na mara nyingine alionekana kujinyenyekeza kwa mamlaka ya Baba (kama katika Mathayo 20:23 na Yohana 5:30), bado Biblia inaonyesha kuwa alikuwa na ujuzi wa kila kitu. Aya kama Yohana 16:30 na Yohana 21:17 zinathibitisha kwamba Yesu anajua yote, akifunua asili yake ya kimungu.Mathayo 20:23
"Akawaambia, Hakika mtakunywa kikombe changu; lakini kuketi mkono wangu wa kuume, na mkono wangu wa kushoto, si langu kuwapa; bali watapewa waliowekewa na Baba yangu."
Yohana 5:30
"Mimi siwezi kufanya neno mwenyewe; kama nisikiavyo, ndiyo nihukumu; na hukumu yangu ni ya haki; kwa sababu sitafuti mapenzi yangu, bali mapenzi yake aliyenipeleka."
Mwenyewe hapo amekiri mambo asiyoyaweza
BIBLIA HAISOMWI KIMSIKITIMSIKITIIsaya 44:24
"Bwana anakuambia, Mkombozi wako, ambaye anakufanya: Mimi ni Bwana, niliyeumba mbingu na peke yangu, niliyeweka dunia na mimi mwenyewe, niliziumba."
Hapo Mungu anakiri kuwa kaumba peke yake sasa wewe unasemaje yesu kaumba vyote kama Mungu?
One nilivyoonyesha udhaifu wa sifa zako hizi kwa yesuBIBLIA SIO HIYO QURAN YENU ,
YESU NI MUNGU NA ANA SIFA ZA KUWA MUNGU ,
USHAHIDI HUU HAPA👇👇👇
1. Umilele – Yesu ni wa milele kama Mungu.
Mungu: “Bwana, wewe mwenyewe umekuwa makao yetu kizazi baada ya kizazi. Kabla milima haijazaliwa, wala hujaiumba dunia na ulimwengu, Naam, tangu milele hata milele, wewe ndiwe Mungu.” (Zaburi 90:1-2)
Yesu: “Mimi ndimi Alfa na Omega, mwanzo na mwisho, wa kwanza na wa mwisho.” (Ufunuo 22:13)
2. Uwepo Kila Mahali (Omnipresence) – Yesu yupo kila mahali kama Mungu.
Mungu: “Je! Mtu ye yote aweza kujificha mahali pasipo mimi kumuona? Asema Bwana. Je! Mimi sijazijaza mbingu na dunia?” (Yeremia 23:24)
Yesu: “Kwa maana walipo wawili watatu wamekusanyika kwa jina langu, nami nipo papo hapo katikati yao.” (Mathayo 18:20)
3. Ujuzi wa Yote (Omniscience) – Yesu anajua yote kama Mungu.
Mungu: “Hakuna kiumbe kilichofichika machoni pake; lakini vitu vyote viko uchi na wazi mbele zake yeye aliye na mambo yetu.” (Waebrania 4:13)
Yesu: “Sasa tunajua ya kuwa wewe unajua mambo yote, wala hunahitaji mtu akuulize; kwa sababu hiyo twasadiki ya kwamba umetoka kwa Mungu.” (Yohana 16:30)
4. Uweza wa Yote (Omnipotence) – Yesu ana uweza wote kama Mungu.
Mungu: “Tazama, mimi ni Bwana, Mungu wa wote wenye mwili; je! Kuna neno gumu liwezalo kunishinda?” (Yeremia 32:27)
Yesu: “Yesu akawaangalia, akawaambia, Kwa wanadamu haiwezekani, bali kwa Mungu; kwa maana mambo yote yanawezekana kwa Mungu.” (Mathayo 19:26)
5. Uumbaji – Yesu aliumba vyote kama Mungu.
Mungu: “Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi.” (Mwanzo 1:1)
Yesu: “Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika.” (Yohana 1:3)
6. Kusamehe Dhambi – Yesu ana mamlaka ya kusamehe dhambi kama Mungu.
Mungu: “Mimi, naam, mimi, ndimi niyafutaye makosa yako kwa ajili yangu mwenyewe, wala sitayakumbuka dhambi zako.” (Isaya 43:25)
Yesu: “Lakini mpate kujua ya kuwa Mwana wa Adamu anayo amri duniani ya kusamehe dhambi, (akamwambia yule mwenye kupooza), Nakuambia, Ondoka, ujitwalie godoro lako, uende zako nyumbani kwako.” (Marko 2:10-11)
7. Kutoa Uzima wa Milele – Yesu anatoa uzima wa milele kama Mungu.
Mungu: “Kwa maana kwa wewe chanzo cha uzima; Katika nuru yako tutaona nuru.” (Zaburi 36:9)
Yesu: “Mimi ndimi huo mkate wa uzima; yeye ajaye kwangu hataona njaa kamwe; naye aniaminiye hataona kiu kamwe.” (Yohana 6:35)
8. Kuhukumu Ulimwengu – Yesu ni hakimu kama Mungu.
Mungu: “Kwa maana Mungu ndiye atakayemleta kila kazi hukumuni, pamoja na kila neno la siri, likiwa jema au likiwa baya.” (Mhubiri 12:14)
Yesu: “Baba hamhukumu mtu ye yote, bali amempa Mwana hukumu yote.” (Yohana 5:22)
9. Kupokea Ibada – Yesu anastahili kuabudiwa kama Mungu.
Mungu: “Bwana, Mungu wako, utamwabudu, umtumikie yeye peke yake.” (Mathayo 4:10)
Yesu: “Nao wakamsujudia, wakamwambia, Hakika wewe u Mwana wa Mungu.” (Mathayo 14:33)
Sifa hizi zinathibitisha
kuwa Yesu ni Mungu, mwenye mamlaka, uweza, na ukuu sawa na Baba.
NdiyoKumbe ataye kuja ni mtu na wala siyo Mungu???a
Tafuta huko juu nimetoa maelezoAcha POROJO ,leta hayo majibu hapa
Yesu ni binadamu na ni Mungu,One nilivyoonyesha udhaifu wa sifa zako hizi kwa yesu
Acha ujanja ,weka hapa au ujibu ,unaogopa niniTafuta huko juu nimetoa maelezo
Swali langu nikuwa wewe unaamini kuna miungu mingapi?Yesu ni Mrithi wa Vyote , usimfananishe na Marehemu Muhammad kijana
Waebrania 1:2
“Mwisho wa siku hizi amesema nasi katika Mwana, aliyemweka kuwa MRITHI wa vyote, tena kwa yeye aliufanya ulimwengu.”
Waebrania 1:8-9
“Lakini kwa habari ya Mwana asema, Kiti chako cha enzi, Mungu, ni cha milele na milele; Na fimbo ya adili ni fimbo ya ufalme wako. Umependa haki, umechukia maasi; Kwa hiyo, Mungu, Mungu wako amekutia mafuta Kwa mafuta ya furaha kupita wenzi wako.”
Aya hizi zinathibitisha ukuu wa Yesu kama Mungu, Mrithi wa vyote, na aliyepewa heshima ya kipekee na Baba
Mungu mmoja katika nafsi 3Swali langu nikuwa wewe unaamini kuna miungu mingapi?
Sasa mbona sifa ulizosema zinamfanya yesu kuwa mungu mbona zimeonekana kuwa si sahihiYesu ana Sifa 100% za ubinadamu, na 100% Uungu
Hapa kuna aya zinazothibitisha kuwa Yesu alikuwa binadamu kama sisi:
Waebrania 2:14
"Basi, kwa kuwa watoto wameushiriki mwili na damu, yeye naye vivyo hivyo alishiriki katika hayo, ili kwa njia ya mauti amharibu yeye aliyekuwa na nguvu za mauti, yaani, Ibilisi."
Waebrania 4:15
"Kwa maana hana mkuu wa makuhani asiyeweza kuchukuana nasi katika mambo yetu ya udhaifu; bali yeye alijaribiwa sawasawa na sisi katika mambo yote, bila kufanya dhambi."
Aya hizi zinaonyesha kuwa Yesu alishiriki ubinadamu wetu kikamilifu, akapitia majaribu kama sisi, lakini hakutenda dhambi.
Tatizo ni kwamba siwezi kuandika maelezo mengi tenaHili swali limekushinda
Kwa mujibu upi ? BIBLIA sio QuranSasa mbona sifa ulizosema zinamfanya yesu kuwa mungu mbona zimeonekana kuwa si sahihi