Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 3,727
- 3,777
Yataje hayo magumashiNakwambia hakuna mtu anayeweza kuichana Quran kama mtu aliyekuwa mwislam akaichambua Quran akakutana na magumashi yote. Kwanza hawezi kubaki kwenye hiyo imani.
Kwa hiyo yesu sio mungu ila Baba yake ndio munguUliza ''Mwana WA MUNGU analaaniwaje""" ?? Kwa wanaoelewa elimu ndio huanzia hapa..lakini bahati mbaya wewe ni KIPOFU WA akili hutoweza kuielewa...Hapa ndio tuna mhitaji Mtume Paulo....ambae vipofu walikwisha fundishwa kumchukia.
Ndo nini sasa mbona huelewekiCc @ Al-mukheef
Nimekuuliza Kwa hiyo yesu sio mungu ila Baba yake ndio mungu?Cc @ Al-mukheef
Sawa, Ila nawewe soma Quran vizuri uielewe usikubali kuwa mjinga.Nipo Tayari Kusikiliza Mkuu!
Mimi napenda Sana Kupata Elimu na Kujifunza!
ila ningependa Kukucorrect Kidogo Mtume hakuandika Kitabu Chochote wala hadithi yoyote..
Ningependa Ukasome Science ya Hadithi utawajua 'Alama wa Hadithi au MustalahulHadithi walikuwa Kina nani!
Na walianza Karne Ipi na Ni miaka mingapi Baada ya Kufa Mtume..
Asante!
Ni kama wewe nikuulize mwanao WA kiume ulie nae ni binadamu au sio binadamu??,,Japo wewe ni Baba yake..Nimekuuliza Kwa hiyo yesu sio mungu ila Baba yake ndio mungu?
Mapadri ni matapeli sasa uende kwa padri ukatapeliwe?? Watu wanataka wakifanya jambo Lao lifanikiwe ni wewe sasa umuite mchawi, mwanga, jini utajua wewe..Usiwe na hasira na kutokwa na povu hovyo, hivi kuna sheikh yeyote asiye mchawi? Viongozi wetu serikalini karibia wote wanaroga kupitia kwa masheikh na msaafu IΕa sijapata kuona wala kusikia kiongozi anakwenda kwa padri kufanyiwa kafara la kuroga wenzake bali ni masheikh tu. Uislam bila shetani hauwezekani, Muddy aliwachezea sana akili.
Anza na BUKHARI 3435Zilete hizo aya
Nguzo na uwanda WA JAMARAT AL AQUBA ni Nani alieziweka na kupatengeneza?? Au pia ni Nabii Ibrahim???Ndo nini sasa mbona hueleweki
Jibu ni binadamuNi kama wewe nikuulize mwanao WA kiume ulie nae ni binadamu au sio binadamu??,,Japo wewe ni Baba yake..
Ndo Qurβan hiyo au sio?Anza na BUKHARI 3435
Sawa kabisa,,wewe mwanao uliempata ni binadamu kama wewe na YESU NI MUNGU kama Baba yake...wanafana kabisa.Jibu ni binadamu
Kwa hiyo yesu na Baba yake wote ni miungu?
Aya tuambie wewe nani kaziweka!!!Nguzo na uwanda WA JAMARAT AL AQUBA ni Nani alieziweka na kupatengeneza?? Au pia ni Nabii Ibrahim???
Kwa hiyo mungu sio mmoja tena ila ni zaidi ya mmoja.maana mimi na mwanangu tutakuwa ni binadamu wawili tofautiSawa kabisa,,wewe mwanao uliempata ni binadamu kama wewe na YESU NI MUNGU kama Baba yake...wanafana kabisa.
Kuna TOFAUTI kubwa Sana Kati ya Mungu na binadamu,,,wewe na mwanao ni binadamu...Kwani Wale mabinti watatu WA Allah subhana wataalah AL LATA,,AL UZA NA AL MANATA wameongeza idadi ya Mungu yenu kuwa wanne.??Kwa hiyo mungu sio mmoja tena ila ni zaidi ya mmoja.maana mimi na mwanangu tutakuwa ni binadamu wawili tofauti
Maalim unafeli wapi maswali rahisi kama HAYA??Aya tuambie wewe nani kaziweka!!!
Hakuna aliyesema Allah ana mabintiKuna TOFAUTI kubwa Sana Kati ya Mungu na binadamu,,,wewe na mwanao ni binadamu...Kwani Wale mabinti watatu WA Allah subhana wataalah AL LATA,,AL UZA NA AL MANATA wameongeza idadi ya Mungu yenu kuwa wanne.??
Sasa we si unapinga ndo maana nikakuuliza nani kazijenga kwa mtazamo wakoMaalim unafeli wapi maswali rahisi kama HAYA??
Je wewe unaamini ni mtu mmoja mwenye MWILI,,NAFSI NA ROHO?? KWAMBA MWILI WAKO UNAWEZA KUWEKWA PEMBENI NA NAFSI YAKO IKAWEKWA PEMBENI NA ROHO YAKO IKAWEKWA PEMBENI?? Unaamini inawezekana.??Hakuna aliyesema Allah ana mabinti
Halafu mbona hueleweki wewe mara unakubali yesu ni mungu mara ooh eti haongezi idadi ya miungu πππ