Je, Injili Ilitabiri Ujio wa Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake)?

Je, Injili Ilitabiri Ujio wa Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake)?

Uliza ''Mwana WA MUNGU analaaniwaje""" ?? Kwa wanaoelewa elimu ndio huanzia hapa..lakini bahati mbaya wewe ni KIPOFU WA akili hutoweza kuielewa...Hapa ndio tuna mhitaji Mtume Paulo....ambae vipofu walikwisha fundishwa kumchukia.
Kwa hiyo yesu sio mungu ila Baba yake ndio mungu
 
Cc @ Al-mukheef
Mnapoenda kumpiga shetani (jamarat al aquba) na vikokoto Huwa ni kumpigia ili aumie au ni ibada Tu Huwa mnafanya.
 

Attachments

  • IMG-20250228-WA0006.jpg
    IMG-20250228-WA0006.jpg
    36.8 KB · Views: 1
Nipo Tayari Kusikiliza Mkuu!
Mimi napenda Sana Kupata Elimu na Kujifunza!

ila ningependa Kukucorrect Kidogo Mtume hakuandika Kitabu Chochote wala hadithi yoyote..
Ningependa Ukasome Science ya Hadithi utawajua 'Alama wa Hadithi au MustalahulHadithi walikuwa Kina nani!
Na walianza Karne Ipi na Ni miaka mingapi Baada ya Kufa Mtume..
Asante!
Sawa, Ila nawewe soma Quran vizuri uielewe usikubali kuwa mjinga.
 
Usiwe na hasira na kutokwa na povu hovyo, hivi kuna sheikh yeyote asiye mchawi? Viongozi wetu serikalini karibia wote wanaroga kupitia kwa masheikh na msaafu Iła sijapata kuona wala kusikia kiongozi anakwenda kwa padri kufanyiwa kafara la kuroga wenzake bali ni masheikh tu. Uislam bila shetani hauwezekani, Muddy aliwachezea sana akili.
Mapadri ni matapeli sasa uende kwa padri ukatapeliwe?? Watu wanataka wakifanya jambo Lao lifanikiwe ni wewe sasa umuite mchawi, mwanga, jini utajua wewe..

Ila kilicho tumika ni maneno ya Mungu ni wao sasa wameyatumia vbaya au vzur ni kazi kwao
 
Kwa hiyo mungu sio mmoja tena ila ni zaidi ya mmoja.maana mimi na mwanangu tutakuwa ni binadamu wawili tofauti
Kuna TOFAUTI kubwa Sana Kati ya Mungu na binadamu,,,wewe na mwanao ni binadamu...Kwani Wale mabinti watatu WA Allah subhana wataalah AL LATA,,AL UZA NA AL MANATA wameongeza idadi ya Mungu yenu kuwa wanne.??
 
Kuna TOFAUTI kubwa Sana Kati ya Mungu na binadamu,,,wewe na mwanao ni binadamu...Kwani Wale mabinti watatu WA Allah subhana wataalah AL LATA,,AL UZA NA AL MANATA wameongeza idadi ya Mungu yenu kuwa wanne.??
Hakuna aliyesema Allah ana mabinti

Halafu mbona hueleweki wewe mara unakubali yesu ni mungu mara ooh eti haongezi idadi ya miungu 😃😀😄
 
Hakuna aliyesema Allah ana mabinti

Halafu mbona hueleweki wewe mara unakubali yesu ni mungu mara ooh eti haongezi idadi ya miungu 😃😀😄
Je wewe unaamini ni mtu mmoja mwenye MWILI,,NAFSI NA ROHO?? KWAMBA MWILI WAKO UNAWEZA KUWEKWA PEMBENI NA NAFSI YAKO IKAWEKWA PEMBENI NA ROHO YAKO IKAWEKWA PEMBENI?? Unaamini inawezekana.??
 
Back
Top Bottom