Je, Injili Ilitabiri Ujio wa Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake)?

Sasa hapa saa Tisa ndio kafa au ndio alikuwa anaongea na kama yesu alianza kusurubiwa saa 3 asubui akafa saa 9 iyo 12 jioni imehusikaje?
Twende kidogo kidogo tuelimishane mkuu
Mbona nimeeleza hapo juu, shida unasoma kimsikitisikiti,unasoma kwa mianjili ya Muhammad na jinsi ulivyokaririshwa kuwa Yesu hakufa,
Yesu alisulubiwa saa 9:00 asubuhi (third hour Marko 15:25).

Kuanzia saa 12:00 jioni hadi saa 3:00 mchana, kulikuwa na giza duniani (Mathayo 27:45).

Yesu alikufa saa 3:00 mchana (ninth hour - Mathayo 27:50, Marko 15:37, Luka 23:46).

Kwa hivyo, Yesu alikufa saa 9 ya Kiyahudi, ambayo ni saa 3:00 mchana kwa saa za kisasa.

Saa 12:00 jioni haimaanishi kuwa Yesu alikufa muda huo, bali ni muda ambao giza lilianza kutanda duniani, kama inavyosemwa katika Mathayo 27:45 na Luka 23:44. Hili giza lilidumu kwa masaa matatu, kutoka saa 12:00 jioni hadi saa 3:00 mchana, na baada ya hapo Yesu akafa.

Ngoja ninukuu KJV ,labda utaelewa namaanisha nini ,

Mathayo 27:45 (KJV)
"Now from the sixth hour there was darkness over all the land unto the ninth hour."

Katika mfumo wa muda wa Kiyahudi:

Saa sita (sixth hour) = Saa 12:00 jioni kwa saa za kisasa.

Saa tisa (ninth hour) = Saa 3:00 mchana kwa saa za kisasa.
 
Sawa lakin si alikufa?
 
Hakuna atakayefanya kazi ya kukujibu kitu kimoja kila siku
HILI SWALI HUKUJIBU NA NAJUA HUWEZI KUJIBU SIO WEWE TU, MOJA YA SWALI LILINITOA KWENYE UISLAMU NI HILO , MASHEIKH WALISHINDWA KUJIBU
 
Sema: ALLAH ni muombezi wa Kila kitu ni wake ufalme wa mbingu na ardhi Kisha mtarejeshwa kwake.
Kama kawaida yako hamisi huachi kupotosha 😃 hii si tafsiri sahihi ya hiyo aya.Hiyo aya ni ifuatayo
قُل لِّلَّـهِ الشَّفَاعَةُ جَمِيعًا ۖ لَّهُ مُلْكُ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضِ ۖ ثُمَّ إِلَيْهِ تُرْجَعُونَ﴿٤٤﴾
44. Sema: Uombezi wote ni wa Allaah Pekee. Ana Ufalme wa mbingu na ardhi, kisha Kwake mtarejeshwa.
 
Waislamu mngebaki tu na Dini yenu ya Majini.
Mambo ya kuwatajataja Wayahudi na Wakristo naamini hayana msaada kwenu.
Endeleeni kulisujudia na kulibusu Jiwe Jeusi na kule Maka (Aswadi) na kumpiga Mawe Shetani wenu.

Katu hamto weza kuwashinda Wakristo kwa lolote lile Jema kwakuwa wameshika chenye Nguvu.

Bakini tu na kumnusuru Allah wenu na Kumswalia mtume wenu.
Ambaye sisi Wakristo tunawajua kuwa ni wapinga Kristo.

Wala hamto weza kuwatapeli ili waingie kwenye Dini yenu na wakitaka kuondoka muwachinje.

Kama Torati, Injiri na Zaburi sahihi mmetapeliwa kuwa mnazo kwenye Qurani yenu basi Mzisome hizo ili mfurahi ktk mioyo yenu.
Tushawashitukia kitambo sana.
 
HILI SWALI HUKUJIBU NA NAJUA HUWEZI KUJIBU SIO WEWE TU, MOJA YA SWALI LILINITOA KWENYE UISLAMU NI HILO , MASHEIKH WALISHINDWA KUJIBU
Unataka kujibiwa kila siku wakati unaambiwa waliovichakachua walificha original vyake
Au wewe ukitaka wachakachue halafu na vitabu original wavibakishe? hamis bwana!!! 😃
 
Onyesha mstari wa biblia unaosema yesu ni mungu wa tatu 😃
Yesu ni MUNGU wa tatu? Kwani huyu muislam mwenzako si ametafsiri vifungu vya biblia kwamba ndo vimetabiri ujio wa mtume? Amesema Yesu aliwaambia mitume wake kwamba akipaa mbinguni atawaletea msaidizi ambaye ndo mtume😂😂

Mnaimini bible kwasababu ya kufanya tafsiri ambazo hazipo, eti Yesu hakufa😁 mbona unaaamini andiko linalosema kwamba atamleta msaidizi😂

Hatuwatukani Ila ukweli nyinyi ni vichaa😂😂
 
😂😂😂😂😂 Eti malaika jibrili.
 
Na vipi biblia inapoelezea mambo ya Adamu 😃😀😄
Mufti vitabu vya biblia havijashushwa vimeandikwa na manabii na mitume..Nabii Musa ndie kaandika kitabu cha mwanzo na chenye habari za Adam.Na vitabu vyote vya biblia vimeandikwa havijashushwa..Baada Baada ya watu kuwa na uelewa WA teknolojia ndio vikajumuishwa Pamoja kama biblia.
 
Leta ushahidi kuwa anawafundisha
Miongoni Mwa Makusudio Ya Suwrah:



1-Kuthibitisha kuwa wanaadam wote ni waja wa Allaah (سبحانه وتعالى) [Al-Mukhtaswar Fiy Tafsiyr Al-Qur-aan Al-Kariym]
2-Kuthibitishwa kumwabudu Allaah (سبحانه وتعالى) kwa ikhlaasw.
3-Kuwakumbusha waja kwamba wao ni waja, na Anaepaswa kuabudiwa na kuombwa msaada ni Allaah (سبحانه وتعالى).
4-Kubainisha hali za watu na njia iliyonyooka.




(1 Mambo ya Nyakati 29:11-12)
"Ee Bwana, ukuu ni wako, na uweza, na utukufu, na kushinda, na enzi; maana vyote vilivyomo mbinguni na duniani ni vyako. Ee Bwana, ufalme ni wako, nawe umetukuka, u mkuu juu ya vitu vyote. Utajiri na heshima hutoka kwako, nawe unatawala juu ya vitu vyote."

Na haya ni maneno ya nani?
 
Ushahidi umeshindwa kuuleta umeleta matusi tu 😃
 
Kwa kuwa tu alikufa basi hana sifa za umilele
TUKUSIKILIZE WEWE MLA UGALI NA MAHARAGE AU TUWASIKILIZE MANABII WA MUNGU?

Mika 5:2 – "Lakini wewe, Efrata, ingawa u mdogo kati ya maelfu ya Yuda, kwako atatoka yeye atakayekuwa mtawala katika Israeli, ambaye asili yake ni tangu milele, tangu zamani za kale."

Isaya 9:6 – "Maana kwa ajili yetu Mtoto amezaliwa, Tumepewa mwanaume; Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake; Naye ataitwa jina lake, Mshauri wa ajabu, Mungu mwenye nguvu, Baba wa milele, Mfalme wa amani."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…