Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 3,727
- 3,777
Hakuna atakayefanya kazi ya kukujibu kitu kimoja kila sikuULISEMA ZABURI ,TORATI NA INJILI ZIKEHARIBIWA ,JE ORIGINAL ZIPO WAPI ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna atakayefanya kazi ya kukujibu kitu kimoja kila sikuULISEMA ZABURI ,TORATI NA INJILI ZIKEHARIBIWA ,JE ORIGINAL ZIPO WAPI ?
Mbona nimeeleza hapo juu, shida unasoma kimsikitisikiti,unasoma kwa mianjili ya Muhammad na jinsi ulivyokaririshwa kuwa Yesu hakufa,Sasa hapa saa Tisa ndio kafa au ndio alikuwa anaongea na kama yesu alianza kusurubiwa saa 3 asubui akafa saa 9 iyo 12 jioni imehusikaje?
Twende kidogo kidogo tuelimishane mkuu
Sawa lakin si alikufa?Kwa sababu hiyo Baba yangu ananipenda, kwa kuwa nautoa uhai wangu ili niutwae tena. Hakuna mtu anayeniondolea uhai, bali mimi mwenyewe nautoa. Ninao uwezo wa kuutoa, na ninao uwezo wa kuutwaa tena. Agizo hili nimelipokea kutoka kwa Baba yangu." (Yohana 10:17-18)
Hiyo ni dua anatufundisha waja wake jinsi ya kumuombaAnamuabudu na kukuomba msaada nani?
(AL-FAATIH'A - 5)
Wewe tu tunakuabudu, na Wewe tu tunakuomba msaada.
HILI SWALI HUKUJIBU NA NAJUA HUWEZI KUJIBU SIO WEWE TU, MOJA YA SWALI LILINITOA KWENYE UISLAMU NI HILO , MASHEIKH WALISHINDWA KUJIBUHakuna atakayefanya kazi ya kukujibu kitu kimoja kila siku
Na Sasa yupo mbinguni kwenye kiti cha EnziSawa lakin si alikufa?
Leta ushahidi kuwa anawafundishaHiyo ni dua anatufundisha waja wake jinsi ya kumuomba
Ilo swali ukijibu ,narudi kuwa muislamuHakuna atakayefanya kazi ya kukujibu kitu kimoja kila siku
Kama kawaida yako hamisi huachi kupotosha 😃 hii si tafsiri sahihi ya hiyo aya.Hiyo aya ni ifuatayoSema: ALLAH ni muombezi wa Kila kitu ni wake ufalme wa mbingu na ardhi Kisha mtarejeshwa kwake.
Unataka kujibiwa kila siku wakati unaambiwa waliovichakachua walificha original vyakeHILI SWALI HUKUJIBU NA NAJUA HUWEZI KUJIBU SIO WEWE TU, MOJA YA SWALI LILINITOA KWENYE UISLAMU NI HILO , MASHEIKH WALISHINDWA KUJIBU
Kwa kuwa tu alikufa basi hana sifa za umileleNa Sasa yupo mbinguni kwenye kiti cha Enzi
Yesu ni MUNGU wa tatu? Kwani huyu muislam mwenzako si ametafsiri vifungu vya biblia kwamba ndo vimetabiri ujio wa mtume? Amesema Yesu aliwaambia mitume wake kwamba akipaa mbinguni atawaletea msaidizi ambaye ndo mtume😂😂Onyesha mstari wa biblia unaosema yesu ni mungu wa tatu 😃
😂😂😂😂😂 Eti malaika jibrili.عَنْ أَنَسِ بْنِ مَالِكٍ، أَنَّ رَسُولَ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم أَتَاهُ جِبْرِيلُ وَهُوَ يَلْعَبُ مَعَ الْغِلْمَانِ فَأَخَذَهُ فَصَرَعَهُ فَشَقَّ عَنْ قَلْبِهِ فَاسْتَخْرَجَ الْقَلْبَ فَاسْتَخْرَجَ مِنْهُ عَلَقَةً فَقَالَ هَذَا حَظُّ الشَّيْطَانِ مِنْكَ ثُمَّ غَسَلَهُ فِي طَسْتٍ مِنْ ذَهَبٍ بِمَاءِ زَمْزَمَ ثُمَّ لَأَمَهُ ثُمَّ أَعَادَهُ فِي مَكَانِهِ وَجَاءَ الْغِلْمَانُ يَسْعَوْنَ إِلَى أُمِّهِ - يَعْنِي ظِئْرَهُ - فَقَالُوا إِنَّ مُحَمَّدًا قَدْ قُتِلَ فَاسْتَقْبَلُوهُ وَهُوَ مُنْتَقَعُ اللَّوْنِ قَالَ أَنَسٌ وَقَدْ كُنْتُ أَرَى أَثَرَ ذَلِكَ الْمِخْيَطِ فِي صَدْرِهِ.
Imesimuliwa kutoka kwa Anas bin Malik kwamba Mtume wa Mwenyezi Mungu (Rehema na Amani ziwe juu yake) alikuja Jibril alipokuwa akicheza na watoto. Akamchukua na kumlaza chini, kisha akapasua kifua chake na kutoa moyo wake. Akatoa kutoka humo kipande kidogo na kusema: "Hii ni sehemu ya Shetani ndani yako." Kisha akaosha moyo wake katika bakuli la dhahabu kwa maji ya Zamzam, akaurudisha pamoja na kuufunga, kisha akamrejesha mahali pake. Watoto walikimbia kwa mama yake mlezi wakisema: "Muhammad ameuawa!" Wakaja kwake na kumkuta akiwa na rangi iliyobadilika. Anas alisema: "Nilikuwa naona athari ya mshono huo.
Mufti vitabu vya biblia havijashushwa vimeandikwa na manabii na mitume..Nabii Musa ndie kaandika kitabu cha mwanzo na chenye habari za Adam.Na vitabu vyote vya biblia vimeandikwa havijashushwa..Baada Baada ya watu kuwa na uelewa WA teknolojia ndio vikajumuishwa Pamoja kama biblia.Na vipi biblia inapoelezea mambo ya Adamu 😃😀😄
Miongoni Mwa Makusudio Ya Suwrah:Leta ushahidi kuwa anawafundisha
Nimeshajibu na kukujibu unajizima data tuIlo swali ukijibu ,narudi kuwa muislamu
Ushahidi umeshindwa kuuleta umeleta matusi tu 😃Yesu ni MUNGU wa tatu? Kwani huyu muislam mwenzako si ametafsiri vifungu vya biblia kwamba ndo vimetabiri ujio wa mtume? Amesema Yesu aliwaambia mitume wake kwamba akipaa mbinguni atawaletea msaidizi ambaye ndo mtume😂😂
Mnaimini bible kwasababu ya kufanya tafsiri ambazo hazipo, eti Yesu hakufa😁 mbona unaaamini andiko linalosema kwamba atamleta msaidizi😂
Hatuwatukani Ila ukweli nyinyi ni vichaa😂😂
TUKUSIKILIZE WEWE MLA UGALI NA MAHARAGE AU TUWASIKILIZE MANABII WA MUNGU?Kwa kuwa tu alikufa basi hana sifa za umilele
😂😂😂😂Hilo swali hujanijibu ,kama kweli umejibu kopi hapa hayo majibu yaweke hapaNimeshajibu na kukujibu unajizima data tu