Je, Injili Ilitabiri Ujio wa Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake)?

Je, Injili Ilitabiri Ujio wa Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake)?

Hilo ni tusi ? Mla MAHARAGE ni mtu tu wakwaida

Yaani unataka TUKUSIKILIZE WEWE na kina Mazinge wanauza mafuta na maji na kina Sharifu majini

Ila manabii wa Mungu tuwapuuze?
Shida dini yenu haijanyooka mara mungu mmoja mara wako watatu mara mmoja katika nafsi tatu halafu kuna mwingine leo kaniambia wote hao ni nafsi moja
 
Walioviharibu ni wayahudi taurat baada ya Nabii Musa kufa na Injil ni baada ya Nabii Isa kufa
Una ushahidi gani kuwa waliviharibu ,ulijuaje waliharibu

Hizo Original mliziona wapi mkajua waliviharibu?
 
Uislamu ni dini ILIYOKUWA MANUFACTURED na UROMA ,

Padre Waraq na Sista Khadija mkatoliki ndio waliotumwa kuhakikisha mission inafanikiwa ,

Roma waliuunda uislamu kwa malengo ya kuiteka Yerusalemu,ila hawakujua uislamu utakuwa mkubwa hivi

Nakujuza uislamu ni dini ya Wakatoliki
Lete ushahidi kutoka kwenye Qur’an
 
Shida dini yenu haijanyooka mara mungu mmoja mara wako watatu mara mmoja katika nafsi tatu halafu kuna mwingine leo kaniambia wote hao ni nafsi moja

Shida dini yenu haijanyooka mara mungu mmoja mara wako watatu mara mmoja katika nafsi tatu halafu kuna mwingine leo kaniambia wote hao ni nafsi moja
Mimi nimekupa maandiko ya manabii wa Mungu,

Porojo peleka msikitini
 
Lete ushahidi kutoka kwenye Qur’an
Yaani Qurani unataka iseme uislamu ni dini ya wakatoliki?

images (59).jpeg
 
Rizali kwa Tasbihi
Jumapili kwa ijumaa
Bikira Maria kwa Lutta Uzza na Manata
Kumbuka mama wa Yesu anaitwa Mariam.
Kuungama kwa Padre na kusujudia sanamu kwa kuungama na kulisujudia Jiwe Jeusi la Maka.
Kusali Novena na Kutufu

Kengere kwa Azana.
Kanzu kwa Joho

Baraghashia kwa Kofia

Kufunga ramadhani kwa kufunga Kwaresma.
Katekisimu kwa Qurani

Unataka nikupe mengine ?
Ushahidi kutoka kwenye Qur’an ndio nautaka ukisema kuwa hii dini ni tawi la roma vinginevyo ni porojo
 
Hili swali unaliogopa ,yaani hapo unaona umejibu ?

Sasa Mimi nimekuuliza waliviharibu lini ,nyie mlijuaje na kipi kiliwafanya mjue Original ziliharibiwa na hizi zilizopo ni fake ,

Hizo Original mliziona wapi
Mbona nakujibu kuwa ni wayahudi walioviharibu taurat iliharibiwa baada ya nabbi Musa kufa na injil baada ya nabii Isa kufa
Utasema tena sijakujibu
 
Ushahidi kutoka kwenye Qur’an ndio nautaka ukisema kuwa hii dini ni tawi la roma vinginevyo ni porojo
Kwahiyo unategemea Quran hii iliyotengenezwa na wakatoliki ,ijiumbue ?

UISLAMU NA UKATOLIKI NI MAPACHA!!
Tasbih(rozari),muhammad(bikira maria),ubani(uvumba),swala(retrujia)kengere(adhana)maulid(xmas)
 
Mbona nakujibu kuwa ni wayahudi walioviharibu taurat iliharibiwa baada ya nabbi Musa kufa na injil baada ya nabii Isa kufa
Utasema tena sijakujibu
Hizi ni porojo leta ushahidi waliviharibu vipi ,unatoa wapi hizi habari kuwa waliviharibu?

Kwa Mazinge au Sharifu majini ?

Weka dalili na ushahidi sio story za kahawa
 
Ushahidi kutoka kwenye Qur’an ndio nautaka ukisema kuwa hii dini ni tawi la roma vinginevyo ni porojo
Ulisema nini kinafanana kati ya Uislamu na Ukatoriki nimekuwekea hapo.
Una andiko la kwenye Qurani linalosema muimbe Azana kila kukicha na kutupigia kelele ?
Nani kawaambia mtupigie mikelele kila Alfajiri?
Ni ibada za kijitungia za kuyaita Majini misikitini.
 
Porojo mnazo nyinyi za kumdaia mtu kama nyinyi uungu
Maandiko matakatifu ya manabii ,kuanzia Torati, manabii ,Zaburi zote zinataja na kuntabiria Yesu masihi kama Mungu

Au unadhani ni Quran hii
 
Hizi ni porojo leta ushahidi waliviharibu vipi ,unatoa wapi hizi habari kuwa waliviharibu?

Kwa Mazinge au Sharifu majini ?

Weka dalili na ushahidi sio story za kahawa
Sikujibu tena maana jana nilikupa aya na hadith unataka kupotezea tu mada nyingine makusudi ndio maana kila siku unideal na kitu kilekile unachojibiwa 😃
 
Maelezo ya Qur'an na hadith ni ushahid tosha kwetu
BIKRA MARIA, KIUNGO KIKUU KATI YA UKATOLIKI NA UISLAMU

Linaweza kuwa jambo jipya kwako lakini binafsi kama utachukua muda wako kuchimba mambo utaona jambo hili dhairi. Uislamu umetoa mengi katika Ukatoliki wala si kitu kipya.
 
Ulisema nini kinafanana kati ya Uislamu na Ukatoriki nimekuwekea hapo.
Una andiko la kwenye Qurani linalosema muimbe Azana kila kukicha na kutupigia kelele ?
Nani kawaambia mtupigie mikelele kila Alfajiri?
Ni ibada za kijitungia
Lete ushahidi wa Qur’an kuwa uislamu na uroma ni dini moja
Acha porojo
 
Maandiko matakatifu ya manabii ,kuanzia Torati, manabii ,Zaburi zote zinataja na kuntabiria Yesu masihi kama Mungu

Au unadhani ni Quran hii
Sawa nimekuelewa na nakubaliana na wewe kuwa mna miungu mitatu sitawapinga tena
 
Lete hoja hivyo vitabu ni vya mungu au ni maneno ya hao manabii?
Punguza MUDA kujibu kila kitu pitia usome Lau utapata maarifa hata kidogo ya kukusaidia,,,la sivyo utakuwa unabisha kila kitu pasi na kujua wewe ni Sawa na kasuku aliekariri mambo mengi Ila hayaelewi...
 
Sikujibu tena maana jana nilikupa aya na hadith unataka kupotezea tu mada nyingine makusudi ndio maana kila siku unideal na kitu kilekile unachojibiwa 😃
Wala siharibu mada, mbona hapa tunajadili zaidi ya mada moja ,hili swali ni gumu ndio maana unalikimbia sana

Yaani unataka kutoa ushahidi wa kuharibiwa torati kutoka Hadith na Quran zilizokuja miaka 3000 baadae ?😂😂

Ndio maana hili swali unaliogopa kama Ukimwi ,
 
Back
Top Bottom