Ushahid wa Qur’an kuwa uislam na uroma ni dini moja nautaka vinginevyo hizo stori bakisha hukohuko kanisani kwenu
Quran ni kitabu kilichotengenezwa na waroma ,ndio maana Padre Waraq alipofariki tu , Wahay ukakoma kuja , Muhammad akataka kujiua ....
Kumtumuza Mungu mke wa kipagani Kwa sura ya Maryam (Isis, Ashtoreth, Ishi, Is, Venus, Semiramis, n.k) au mungu mwezi (goddess)
Dini zote zinazompa sifa mwanamke kama waisilamu na wakatoliki ni kuabudu hao ma goddess bila kujua.
Ndio maana katika uisilamu na ukatoliki bikira Mariamu anaheshimiwa sana Kwa kama mungu wa pili Duniani.
Sala ya Bikira Maryamu ipo katika Quran
Salamu Maryamu mama wa waisilamu wote,umebarikiwa na kutukuzwa kuliko wanawake wote duniani,
Kati ya mkatoliki na muisilamu ni nani aliyempa mwenziwe mvinyo WA kipagani?
Salamu Maryamu
"Salamu Maryamu, umejaa neema, Bwana yu pamoja nawe, umebarikiwa kuliko wanawake wote....."
Paulines Publication Africa, "katekisimu Katoliki", "Sala ya Rozari"
Quran 3:42
"...Ewe Maryamu! Kwa hakika Mwenyezi mungu amekuteua, na Akakutakasa, na akakutukuza kuliko wanawake wote"
Sasa hapo waisilamu wanasemaje? Sala ya Rozari haipo katika Quran?
UNAPAJUA FATIMAH URENO WAKATOLIKI WANAPOENDA KUHIJI KUHUSU BIKIRA MARIA?
UNAJUA PIA FATIMAH KATIKA UISLAMU?