Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 3,727
- 3,777
Shida dini yenu haijanyooka mara mungu mmoja mara wako watatu mara mmoja katika nafsi tatu halafu kuna mwingine leo kaniambia wote hao ni nafsi mojaHilo ni tusi ? Mla MAHARAGE ni mtu tu wakwaida
Yaani unataka TUKUSIKILIZE WEWE na kina Mazinge wanauza mafuta na maji na kina Sharifu majini
Ila manabii wa Mungu tuwapuuze?