Je, Injili Ilitabiri Ujio wa Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake)?

BIKRA MARIA, KIUNGO KIKUU KATI YA UKATOLIKI NA UISLAMU

Linaweza kuwa jambo jipya kwako lakini binafsi kama utachukua muda wako kuchimba mambo utaona jambo hili dhairi. Uislamu umetoa mengi katika Ukatoliki wala si kitu kipya.
Ushahid wa Qur’an kuwa uislam na uroma ni dini moja nautaka vinginevyo hizo stori bakisha hukohuko kanisani kwenu
 
Punguza MUDA kujibu kila kitu pitia usome Lau utapata maarifa hata kidogo ya kukusaidia,,,la sivyo utakuwa unabisha kila kitu pasi na kujua wewe ni Sawa na kasuku aliekariri mambo mengi Ila hayaelewi...
Jibu swali nililokuuliza kama unataka kama hautaki sio mbaya
 
We potezea tu mada nyingine 😃😀😄
 
Kwani
Lete ushahidi wa Qur’an kuwa uislamu na uroma ni dini moja
Acha porojo
Walagha Bin Naufal aliyembashiria Muhammadi kuwa ni Mtume alikuwa Dini gani?

Baada ya kukabwa kule pangoni kupigwa na kuugua alipoulizwa nini kimekutokea alijibu hivi.
"Nahisi kuzugwa na Mashetani"

Walaga padri wa Roman ndio akamwambia kuwa
"yule aliyekutokea pangoni ni Malaika Jibrili na kuanzia leo jibashirie kuwa ni mtume nami nitakuwa upande wako wa kulia wakati ukiutengeneza umma wako"
Wewe unamwamini nani hapo, Walagha au Muhammadi ?
 
Ushahid wa Qur’an kuwa uislam na uroma ni dini moja nautaka vinginevyo hizo stori bakisha hukohuko kanisani kwenu
Quran ni kitabu kilichotengenezwa na waroma ,ndio maana Padre Waraq alipofariki tu , Wahay ukakoma kuja , Muhammad akataka kujiua ....

Kumtumuza Mungu mke wa kipagani Kwa sura ya Maryam (Isis, Ashtoreth, Ishi, Is, Venus, Semiramis, n.k) au mungu mwezi (goddess)
Dini zote zinazompa sifa mwanamke kama waisilamu na wakatoliki ni kuabudu hao ma goddess bila kujua.

Ndio maana katika uisilamu na ukatoliki bikira Mariamu anaheshimiwa sana Kwa kama mungu wa pili Duniani.

Sala ya Bikira Maryamu ipo katika Quran

Salamu Maryamu mama wa waisilamu wote,umebarikiwa na kutukuzwa kuliko wanawake wote duniani,

Kati ya mkatoliki na muisilamu ni nani aliyempa mwenziwe mvinyo WA kipagani?

Salamu Maryamu

"Salamu Maryamu, umejaa neema, Bwana yu pamoja nawe, umebarikiwa kuliko wanawake wote....."
Paulines Publication Africa, "katekisimu Katoliki", "Sala ya Rozari"

Quran 3:42
"...Ewe Maryamu! Kwa hakika Mwenyezi mungu amekuteua, na Akakutakasa, na akakutukuza kuliko wanawake wote"

Sasa hapo waisilamu wanasemaje? Sala ya Rozari haipo katika Quran?

UNAPAJUA FATIMAH URENO WAKATOLIKI WANAPOENDA KUHIJI KUHUSU BIKIRA MARIA?

UNAJUA PIA FATIMAH KATIKA UISLAMU?
 
Ushahid wa Qur’an kuwa uislam na uroma ni dini moja nautaka vinginevyo hizo stori bakisha hukohuko kanisani kwenu
Unataka ushahidi wa Quran ambayo imetengenezwa na Warumi hao hao?

Yaani unataka wakwambie waziwazi ,watapataje sasa watu

Mm naruka nazo zote
Sasa mbona unang'ang'ania kuuliza swali ambalo hata wewe haujauona uzi huu lilishajibiwa na wewe kila siku unajibiwa lakini wewe unakomaa tu kurudia swali huku ukisema hujajibiwa
 
Ushahidi kwenye Qur’an tu ndo nautaka hiyo picha mimi hainihusu hakuna ninayemfuata hapo
NARUDIA Tena unataka Qurani ambayo ni project ya wakatoliki iseme wao ndio waliutengeneza uislamu ,watapata wapi watu ?

WAISLAM WANAMSWALIA MUHAMMAD AMBAYE HIVI SASA NI MAREHEMU NA WAKATOLIKI WANAMUOMBA MARIA AMBAYE HIVI SASA PIA NI MAREHEMU...UISLAM NI UKATOLIKI.
 
Sasa mbona unang'ang'ania kuuliza swali ambalo hata wewe haujauona uzi huu lilishajibiwa na wewe kila siku unajibiwa lakini wewe unakomaa tu kurudia swali huku ukisema hujajibiwa
Hujajibu ,

Haya nijibu ,viliharibiwa kwa ushahidi upi ,
 
Bila ushahidi wa Qur’an hizo ni stori tu za kijiweni
Na hizo picha unazoniletea simtambui hata mmoja
 
Ushahidi kwenye Qur’an tu ndo nautaka hiyo picha mimi hainihusu hakuna ninayemfuata hapo
Hao ndio wamekutengenezea hiyo dini sasa ,jifunze utajua tu ,ndio maana uislamu hauwezi kusimama wenyewe ,hata manabii wa kiyahudi ,uislamu unasema ni manabii wao

Uislamu ni project ya mrumi ,lengo ilikuwa kuiteka Yerusalemu
 
Ushahidi wa Qur’an nautaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…