Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 3,727
- 3,777
Wewe dhehebu lako ndo limetokana na roma kwa sababu nyote mnaamini yesu ni munguHao ndio waliokutengenezea hiyo dini
Yesu ni Mungu kwa mujibu wa maandiko ,sio RomaWewe dhehebu lako ndo limetokana na roma kwa sababu nyote mnaamini yesu ni mungu
Nimeshakujibu mbona wauliza TenaUshahidi wa Qur’an nautaka
Hili swali niliwauliza MASHEIKH wakabaki wanajiumauma ,kwahiyo nakuelewa sana kwanini unalikimbia
Sasa mbona mafundisho ya dhehebu lako ndo yanafanana na roma zaidi mnatumia kitabu kimojaYesu ni Mungu kwa mujibu wa maandiko ,sio Roma
Waroma walianzisha project ya Uislamu, mbona inajulikana hii ,
Ongeza na hili:BIBLIA SIO HIYO QURAN YENU ,
YESU NI MUNGU NA ANA SIFA ZA KUWA MUNGU ,
USHAHIDI HUU HAPA👇👇👇
1. Umilele – Yesu ni wa milele kama Mungu.
Mungu: “Bwana, wewe mwenyewe umekuwa makao yetu kizazi baada ya kizazi. Kabla milima haijazaliwa, wala hujaiumba dunia na ulimwengu, Naam, tangu milele hata milele, wewe ndiwe Mungu.” (Zaburi 90:1-2)
Yesu: “Mimi ndimi Alfa na Omega, mwanzo na mwisho, wa kwanza na wa mwisho.” (Ufunuo 22:13)
2. Uwepo Kila Mahali (Omnipresence) – Yesu yupo kila mahali kama Mungu.
Mungu: “Je! Mtu ye yote aweza kujificha mahali pasipo mimi kumuona? Asema Bwana. Je! Mimi sijazijaza mbingu na dunia?” (Yeremia 23:24)
Yesu: “Kwa maana walipo wawili watatu wamekusanyika kwa jina langu, nami nipo papo hapo katikati yao.” (Mathayo 18:20)
3. Ujuzi wa Yote (Omniscience) – Yesu anajua yote kama Mungu.
Mungu: “Hakuna kiumbe kilichofichika machoni pake; lakini vitu vyote viko uchi na wazi mbele zake yeye aliye na mambo yetu.” (Waebrania 4:13)
Yesu: “Sasa tunajua ya kuwa wewe unajua mambo yote, wala hunahitaji mtu akuulize; kwa sababu hiyo twasadiki ya kwamba umetoka kwa Mungu.” (Yohana 16:30)
4. Uweza wa Yote (Omnipotence) – Yesu ana uweza wote kama Mungu.
Mungu: “Tazama, mimi ni Bwana, Mungu wa wote wenye mwili; je! Kuna neno gumu liwezalo kunishinda?” (Yeremia 32:27)
Yesu: “Yesu akawaangalia, akawaambia, Kwa wanadamu haiwezekani, bali kwa Mungu; kwa maana mambo yote yanawezekana kwa Mungu.” (Mathayo 19:26)
5. Uumbaji – Yesu aliumba vyote kama Mungu.
Mungu: “Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi.” (Mwanzo 1:1)
Yesu: “Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika.” (Yohana 1:3)
6. Kusamehe Dhambi – Yesu ana mamlaka ya kusamehe dhambi kama Mungu.
Mungu: “Mimi, naam, mimi, ndimi niyafutaye makosa yako kwa ajili yangu mwenyewe, wala sitayakumbuka dhambi zako.” (Isaya 43:25)
Yesu: “Lakini mpate kujua ya kuwa Mwana wa Adamu anayo amri duniani ya kusamehe dhambi, (akamwambia yule mwenye kupooza), Nakuambia, Ondoka, ujitwalie godoro lako, uende zako nyumbani kwako.” (Marko 2:10-11)
7. Kutoa Uzima wa Milele – Yesu anatoa uzima wa milele kama Mungu.
Mungu: “Kwa maana kwa wewe chanzo cha uzima; Katika nuru yako tutaona nuru.” (Zaburi 36:9)
Yesu: “Mimi ndimi huo mkate wa uzima; yeye ajaye kwangu hataona njaa kamwe; naye aniaminiye hataona kiu kamwe.” (Yohana 6:35)
8. Kuhukumu Ulimwengu – Yesu ni hakimu kama Mungu.
Mungu: “Kwa maana Mungu ndiye atakayemleta kila kazi hukumuni, pamoja na kila neno la siri, likiwa jema au likiwa baya.” (Mhubiri 12:14)
Yesu: “Baba hamhukumu mtu ye yote, bali amempa Mwana hukumu yote.” (Yohana 5:22)
9. Kupokea Ibada – Yesu anastahili kuabudiwa kama Mungu.
Mungu: “Bwana, Mungu wako, utamwabudu, umtumikie yeye peke yake.” (Mathayo 4:10)
Yesu: “Nao wakamsujudia, wakamwambia, Hakika wewe u Mwana wa Mungu.” (Mathayo 14:33)
Sifa hizi zinathibitisha
kuwa Yesu ni Mungu, mwenye mamlaka, uweza, na ukuu sawa na Baba.
Majibu mbona yapo wazi hata wewe unajibiwa kila siku lakini kwa makusudi unasema eti sijajibiwa 😃 swali rahisi tu hiloHili swali niliwauliza MASHEIKH wakabaki wanajiumauma ,kwahiyo nakuelewa sana kwanini unalikimbia
Maana uislamu ni dini ya juzi juzi tu hapa ,
Biblia sio kitabu cha waromaSasa mbona mafundisho ya dhehebu lako ndo yanafanana na roma zaidi mnatumia kitabu kimoja
Kuhusu uislam kuwa uroma big NOOOOOOO mpk nipate ushahid wa Qur’an na ninajua kuwa haupo
Unaliogopa hilo swali Hadi NACHEKAMajibu mbona yapo wazi hata wewe unajibiwa kila siku lakini kwa makusudi unasema eti sijajibiwa 😃 swali rahisi tu hilo
Toa ushahidi wa suala hiliWaislam, baada ya kifo watatamani warudishwe Duniani ili waje wawaambie wenzao kuwa walipotoshwa na mafundisho potofu
Ambaye ni naniKuna Mungu mmoja tu aliye wa ukweli,
Tulishaeleza huko kuhusu ubinadamu wa Yesu ,na Uungu wake ,Ongeza na hili:
Mathayo 28:18
Yesu akaja karibu, akawaambia, “Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani.
Waislam, baada ya kifo watatamani warudishwe Duniani ili waje wawaambie wenzao kuwa walipotoshwa na mafundisho potofu, pale watakapomwona Yesu Kristo Masiha, Mwanakondoo wa Mungu, katika kiti cha enzi, akiwahukumu wanadamu wote, akiwa amezungukwa na wale walioyaosha mavazi yao kwenye damu ya mwanakondoo.
Najua kuna waislam wanaotamani kumtumikia Mungu wa kweli. Msikate tamaa, ombeni sana neema ya Mungu ili mpate kufunuliwa na kuijua kweli ya Mungu.
Yesu Kristo anasema, "Mimi ndimi ufufuo na uzima. Tena nasema, 'kila aliye wa ukweli huisikia sauti yangu"
Kuna Mungu mmoja tu aliye wa ukweli, naye ni Mungu wa Ibrahim, Mungu wa Isaka, Mungu wa Yakobo, ambaye alifunuliwa kwa wanadamu wote, na mwanaye wa pekee, nafsi ya pili ya Mungu, aliyepewa mamlaka yote Duniani na mbinguni.
Huyu Yesu, nafsi ya Mungu, ndiyo nafsi pekee ya Mungu iliyouvaa ubinadamu ili iishi na mwanadamu, ndiyo maana aliitwa,"Mungu pamoja nasi"
Mungu Baba ameagiza kuwa tumsikilize Yeye.
MAthayo 17:
5 Petro alipokuwa bado akizungumza, ghafla, wingu linalong’aa likatanda juu yao na sauti ikatoka kwenye wingu hilo ikasema, “Huyu ni mwanangu mpendwa, ambaye nimependezwa naye; msikilizeni yeye.”
Mbona hakuna ushahidi wa Qur’an wala hadith ulioletaBiblia sio kitabu cha waroma
Roman empire ilijivika vazi la dini tu, na moja ya project yake ni uislamu
Waislam wengi HAWANA ELIMU, UKATOLIKI NA UISLAM NI IDENTICAL TWINS, MAPACHA WANAOFANANA.
WAISLAM WANATAKIWA WAWAHESHIMU NA KUWASUJUDIA WAKATOLIKI KULIKO KITU CHOCHOTE.
WAKATOLIKI NDIO WALIOWAPA MTUME MUHAMMAD...: Muhammad kapewa Utume na Padri Warraq.
Huyu Padri Waraq, ni Kama allah wao ndiye aliyekuwa anampa Muhammad Wahy/Ufunuo.
Kwa Heshima ya Wakatoliki, Ndo mana Unakuta kwenye Quran Kuna Surah nzima ya Maryam.
Maneno Yoooote Unayosoma Kwenye Quran yanayohusu Manabii wengine nje na Muhammad, ni Wahy/Ufunuo toka kwa allah Padri Warq
Waislam Wanamwabudu Marehemu Muhammad
Wakatoliki Wanamwabudu Marehemu Mariam. Everyone
Jana nimeweka ushahidi wa Qur’an na hadith kuhusu hilo suala lakini bwana hamis ndo limekuwa kichaka chako cha kujificha duh!!!Unaliogopa hilo swali Hadi NACHEKA
Haya viliharibiwa kwa ushahidi upi ,halafu tuanze hii mada ,
Hakuna mungu hapo binadamu tu huyo kama ulivyo weweTulishaeleza huko kuhusu ubinadamu wa Yesu ,na Uungu wake ,
Yaani Quran na Hadith za juzi juzi hapa zimekuja miaka 3000 baada ya biblia ndio vithibitishe iliharibiwaJana nimeweka ushahidi wa Qur’an na hadith kuhusu hilo suala lakini bwana hamis ndo limekuwa kichaka chako cha kujificha duh!!!
Jifiche 😃Yaani Quran na Hadith za juzi juzi hapa zimekuja miaka 3000 baada ya biblia ndio vithibitishe iliharibiwa
Utamshawishi nani huo ujinga Mzee ,hebu tumieni basi elimu
Quran imekuja ,biblia ipo tayari miaka zaidi ya 2000 ,
Hili ni jibu la ovyo sana kuwahi kulisikia,ndio maana hili swali na hii mada hutaki kusikia kabisa
Ona aibu Mzee ,tumia hata elimu, ndio maana nasema uislamu ni dini ya ujanjaujanja sanaJifiche 😃
Nikuulize swali kwa nini mnamwabudu mtuOna aibu Mzee ,tumia hata elimu, ndio maana nasema uislamu ni dini ya ujanjaujanja sana
Yaani hata tahira huwez kumshawishi hiyo hoja ,
Quran na hadithi zimekuja miaka 3000 baada ya biblia ,
Halafu ndio vithibitishe kuwa Biblia ni uongo ,
Ni mpumbavu pekee atakayeiamini Quran na hadithi
Umebadili mada ?😂maliza kwanza hiyo au umeshindwa kujibu tuhamie nyingineNikuulize swali kwa nini mnamwabudu mtu