Je, Injili Ilitabiri Ujio wa Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake)?

Najua kwamba haipo kwa kuwa haipo,hii iliyopo ipi?..mimi sijawahi ona injili
Katika Hadithi, Muhammad mwenyewe anathibitisha Taurati kuwa ni ya kweli:

Sunan Abi Dawood 4449
"Mtume aliletewa Torah (Taurati). Akaomba kiti, akakiwekea kitabu hicho juu yake na kusema: 'Ninaamini ndani yako na kwa Yule aliyekuteremshia!'"

Swali: Ikiwa Taurati iliharibiwa, kwa nini Muhammad aseme anaamini ndani yake?

Nakala za kale za maandiko ya Kiyahudi na Kikristo kama Dead Sea Scrolls (karne ya 2 KK) na Codex Sinaiticus (karne ya 4 BK) zinafanana na Biblia ya sasa.


Swali: Ikiwa Taurati na Injili ziliharibiwa, kwa nini tunapata nakala za kale zinazolingana na Biblia ya sasa?
 
Najua kwamba haipo kwa kuwa haipo,hii iliyopo ipi?..mimi sijawahi ona injili
Sunan Abi Dawood 4449

"Mtume aliletewa Torah (Taurati). Akaomba kiti, akakiwekea kitabu hicho juu yake na kusema: 'Ninaamini ndani yako na kwa Yule aliyekuteremshia!'"


✅ Hadithi hii inaonyesha kuwa Muhammad aliamini Taurati kama kitabu cha Mungu kilichohifadhiwa kwa wakati wake.

HII TORATI ALIYOIAMINI MUHAMMAD KIPINDI CHAKE IKO WAPI ? NA KAMA ILIHARIBIWA NI LINI
 
Sunan Abi Dawood 4449

"Mtume aliletewa Torah (Taurati). Akaomba kiti, akakiwekea kitabu hicho juu yake na kusema: 'Ninaamini ndani yako na kwa Yule aliyekuteremshia!'"

✅ Hadithi hii inaonyesha kuwa Muhammad aliamini Taurati kama kitabu cha Mungu kilichohifadhiwa kwa wakati wake.

HII TORATI ALIYOIAMINI MUHAMMAD KIPINDI CHAKE IKO WAPI,KAMA ILIHARIBIWA ILIHARIBIWA LINI
 
Yesu ni mwana pekee ,
Mathayo 5:9
"Heri wapatanishi, maana hao wataitwa wana wa Mungu."

Yohana 1:12
"Bali wote waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu, ndio wale waliaminio jina lake."

Warumi 8:14
"Kwa kuwa wote wanaoongozwa na Roho wa Mungu, hao ndio wana wa Mungu."

Warumi 8:19
"Kwa maana viumbe vyote vinatazamia kwa shauku nyingi kufunuliwa kwa wana wa Mungu."

Wagalatia 3:26
"Kwa kuwa ninyi nyote mmekuwa wana wa Mungu kwa njia ya imani katika Kristo
Yesu."

Je wana wa mungu waliotajwa hapo nao ni miungu?
 
Daudi hakuwa nabii alikuwa mfalme. Nyie kila Myahudi mnadai ni Nabii hata Netanyahu mtasema ni nabii
Kasome Matendo ya Mitume 2:29-30 halafu ulete mrejesho kama Daudi alikuwa Nabii au la.
 
Huu ndiyo uchafu gani?
 
Unaposimamia ni dhaifu, uyahudi kama dini hauwezi mgawanya Mungu mafungu kama bible ilivyo,yaani unasimamia kihoja kwenye kitabu cha kuokotwa?..ile biblia aliyochimbua mkulima kule misri ikionesha yesu na maria magdalena wakibusiana,unaiamini!?

Halafu mtume hakujua kusoma na kuandika,yaani kaletewa kitabu,akaambiwa ni taurati basi akatafuta kigoda na kuisadiki!?..tumia akili yako vizuri
 
Umejuaje haipo?Allah kaipeleka wapi

INJILI ipo imeandikwa na mathayo, Luka,Marko na Yohana
Sasa hizo si ni injili za mathayo,luka,marko na yohana,hata tupac ana ghetto gospel (injili ya ghetto),50 cent ana ghetto koran(Quran ya ghetto)
 
Unaelewa maana Ya Yesu kuitwa mwana wa Mungu wa pekee
 
Hiyo ni hadithi yenu ,unanilaumu mm tena
 
Nimekuambia weka ushahidi wa maandiko kama nabii Musa hajatumwa na Allah badala yake umeandika porojo kibao

Quran inasema uislam umeanza Kwa Adam wewe unasema kuanzisha Muhammad Yana bado Wazungu hawajachoka kukudanganyeni

Adam, Nuhu , Ibrahim, Isaka, Yakobo, Musa Hadi Yesu hao wote Quran inasema walikuwa waislam aliye kuambia kuwa uislam Ameanzisha mtume Muhammad amekudanganya

Pia aliyekuambia kuwa Mungu aliwahi kujiita Yehova pia amekudanganya maana Yeheva ni neno la kigiriki na Mungu hajawahi kuwa na mtume mgiriki sijui unanielewa

Mungu alijifunua Kwa Musa Kwa jina la Elohim

Elohim יהוה

Allah. الله


UNaona hayo majina yanavyo fanana
 
Anakuwaje wa pekee wakati wengine tupo
Tubishane na maandiko au TUKUSIKILIZE WEWE mla Biriani?

Yesu ni WA pekee sababu ana Sifa hizi ambazo ni za UUNGU ,nitafutie mwenye Sifa hizi 👇👇👇

1. Umilele – Yesu hana mwanzo wala mwisho. (Yohana 1:1-3, Ufunuo 22:13)

2. Mweza wa yote – Yesu ana mamlaka juu ya vitu vyote. (Mathayo 28:18, Wakolosai 2:9-10)

3. Muumba – Yeye aliumba vitu vyote. (Yohana 1:3, Wakolosai 1:16)

4. Mwenye kujua yote – Yesu anajua mambo yote, hata ya mioyo ya watu. (Yohana 2:24-25, Yohana 16:30)

5. Yupo kila mahali – Yesu yupo mahali pote kiroho. (Mathayo 18:20, Mathayo 28:20)

6. Mwenye uhai ndani yake – Yesu ndiye chanzo cha uzima wa milele. (Yohana 11:25, Yohana 14:6)

7. Mwenye kusamehe dhambi – Yesu ana mamlaka ya kusamehe dhambi, jambo ambalo ni haki ya Mungu pekee. (Marko 2:5-7, Luka 7:48)

8. Anapokea kuabudiwa – Yesu alikubali kuabudiwa, kitu ambacho ni haki ya Mungu pekee. (Mathayo 14:33, Yohana 9:38, Ufunuo 5:12-14)

9. Ana mamlaka ya kutoa hukumu – Yesu ndiye Hakimu wa ulimwengu. (Yohana 5:22, Matendo 17:31)

10. Jina lake ni juu ya yote – Yesu amepewa jina lipitalo majina yote. (Wafilipi 2:9-11)

11. Ni nuru ya ulimwengu – Yesu ni mwangaza wa wanadamu. (Yohana 8:12)

12. Anatoa uzima wa milele – Yeye ndiye Njia, Kweli na Uzima. (Yohana 14:6, Yohana 10:28)

13. Ni Alfa na Omega – Yesu ni Mwanzo na Mwisho, jina linalomtambulisha Mungu. (Ufunuo 1:8, 22:13)

14. Ni Mwana wa Mungu – Hii inaonyesha usawa wake na Mungu Baba. (Mathayo 16:16, Yohana 10:30-33)

15. Ni Yehova wa Agano la Kale – Maandiko yanaonyesha kuwa Yesu ni yule Mungu wa Israeli. (Isaya 9:6, Yohana 8:58)

Hizi ni baadhi ya sifa zina
zothibitisha uungu wa Yesu kulingana na Biblia.

TAPELI MUHAMMAD HANA SIFA HATA MOJA KATI YA HIZO
 
Sote ni wana wa Mungu sio yesu peke yake!!!
 
Kumbukeni nyie watu weusi kama mimi mnaojiita waislamu hamtaiona pepo wala hamtoenda kutafuna bikra 72 allah ni tapeli na muongo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…