gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 3,915
- 6,272
Najua kwamba haipo kwa kuwa haipo,hii iliyopo ipi?..mimi sijawahi ona injiliUmejuaje kuwa haipo na hii iliyopo ni uongo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najua kwamba haipo kwa kuwa haipo,hii iliyopo ipi?..mimi sijawahi ona injiliUmejuaje kuwa haipo na hii iliyopo ni uongo
Umejuaje haipo?Allah kaipeleka wapiNajua kwamba haipo kwa kuwa haipo,hii iliyopo ipi?..mimi sijawahi ona injili
Katika Hadithi, Muhammad mwenyewe anathibitisha Taurati kuwa ni ya kweli:Najua kwamba haipo kwa kuwa haipo,hii iliyopo ipi?..mimi sijawahi ona injili
Sunan Abi Dawood 4449Najua kwamba haipo kwa kuwa haipo,hii iliyopo ipi?..mimi sijawahi ona injili
Sunan Abi Dawood 4449Injili ya asili iliyoteremshwa kwa Nabii Isa (عَلَیهِالسَّلام) haipo tena katika umbo lake la awali.Maandiko yaliyopo sasa yamepotoshwa na kubadilishwa na wanadamu kwa nyakati tofauti.
Aidha Qur’an ni kitabu kingine cha Allah kama ilivyokuwa Injil asilia.
Mathayo 5:9Yesu ni mwana pekee ,
Kasome Matendo ya Mitume 2:29-30 halafu ulete mrejesho kama Daudi alikuwa Nabii au la.Daudi hakuwa nabii alikuwa mfalme. Nyie kila Myahudi mnadai ni Nabii hata Netanyahu mtasema ni nabii
Huu ndiyo uchafu gani?Sunan Abi Dawood 4449
"Mtume aliletewa Torah (Taurati). Akaomba kiti, akakiwekea kitabu hicho juu yake na kusema: 'Ninaamini ndani yako na kwa Yule aliyekuteremshia!'"
✅ Hadithi hii inaonyesha kuwa Muhammad aliamini Taurati kama kitabu cha Mungu kilichohifadhiwa kwa wakati wake.
HII TORATI ALIYOIAMINI MUHAMMAD KIPINDI CHAKE IKO WAPI ? NA KAMA ILIHARIBIWA NI LINI
Unaposimamia ni dhaifu, uyahudi kama dini hauwezi mgawanya Mungu mafungu kama bible ilivyo,yaani unasimamia kihoja kwenye kitabu cha kuokotwa?..ile biblia aliyochimbua mkulima kule misri ikionesha yesu na maria magdalena wakibusiana,unaiamini!?Katika Hadithi, Muhammad mwenyewe anathibitisha Taurati kuwa ni ya kweli:
Sunan Abi Dawood 4449
"Mtume aliletewa Torah (Taurati). Akaomba kiti, akakiwekea kitabu hicho juu yake na kusema: 'Ninaamini ndani yako na kwa Yule aliyekuteremshia!'"
Swali: Ikiwa Taurati iliharibiwa, kwa nini Muhammad aseme anaamini ndani yake?
Nakala za kale za maandiko ya Kiyahudi na Kikristo kama Dead Sea Scrolls (karne ya 2 KK) na Codex Sinaiticus (karne ya 4 BK) zinafanana na Biblia ya sasa.
Swali: Ikiwa Taurati na Injili ziliharibiwa, kwa nini tunapata nakala za kale zinazolingana na Biblia ya sasa?
Sasa hizo si ni injili za mathayo,luka,marko na yohana,hata tupac ana ghetto gospel (injili ya ghetto),50 cent ana ghetto koran(Quran ya ghetto)Umejuaje haipo?Allah kaipeleka wapi
INJILI ipo imeandikwa na mathayo, Luka,Marko na Yohana
Daudi hakuwa nabii. Wayahudi hawana hiyo itijadi ya Daudi kuwa nabiiKasome Matendo ya Mitume 2:29-30 halafu ulete mrejesho kama Daudi alikuwa Nabii au la.
Unaelewa maana Ya Yesu kuitwa mwana wa Mungu wa pekeeMathayo 5:9
"Heri wapatanishi, maana hao wataitwa wana wa Mungu."
Yohana 1:12
"Bali wote waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu, ndio wale waliaminio jina lake."
Warumi 8:14
"Kwa kuwa wote wanaoongozwa na Roho wa Mungu, hao ndio wana wa Mungu."
Warumi 8:19
"Kwa maana viumbe vyote vinatazamia kwa shauku nyingi kufunuliwa kwa wana wa Mungu."
Wagalatia 3:26
"Kwa kuwa ninyi nyote mmekuwa wana wa Mungu kwa njia ya imani katika Kristo
Yesu."
Je wana wa mungu waliotajwa hapo nao ni miungu?
Hiyo ni hadithi yenu ,unanilaumu mm tenaUnaposimamia ni dhaifu, uyahudi kama dini hauwezi mgawanya Mungu mafungu kama bible ilivyo,yaani unasimamia kihoja kwenye kitabu cha kuokotwa?..ile biblia aliyochimbua mkulima kule misri ikionesha yesu na maria magdalena wakibusiana,unaiamini!?
Halafu mtume hakujua kusoma na kuandika,yaani kaletewa kitabu,akaambiwa ni taurati basi akatafuta kigoda na kuisadiki!?..tumia akili yako vizuri
Hiyo ni hadithi yenu Mzee ,sio yanguHuu ndiyo uchafu gani?
Nimekuambia weka ushahidi wa maandiko kama nabii Musa hajatumwa na Allah badala yake umeandika porojo kibaoMkuu Quran imekuja mwaka 1500 Baada ya uyahudi,, uislam ulianza mwaka 1500 Baada ya uyahudi(dini ya kiyahudi) ALLAH SUBHANA WATAALAH amekuja miaka 1500 baada ya uyahudi Labda alikuwa kabla akitumia jina lake la AL BAAL... LAKINI LA SUBHANA WATAALAH kaanza kulitumia Kwa makuresh waliosali uchi Al Kaaba na wakati Muhammad alipouleta uislam....
Allah subhana hahusiki Kwa namna yoyote na TORATI..Ukitaka kujua soma content ya TORATI utaonà haifanani na mtazamo WA dini ya kiislam..mfano WA Kwanza ni huo nimekuandikia......ipo na mingine..
Jambo lingine MUNGU aliempa Musa TORATI kajitambulisha Kwa majina..Niko ambae Niko na Yehova....Hakuna kitu kinachoitwa Allah subhana POPOTE.
Quran kuelezea Jambo la miaka 1500 kabla ni hadithi na historia. Na heresay....Hio habari ni historia kwenye kitabu kilichokuja baadae Sana Baada ya kushushwa TORATI.
Umesoma hiyo mistari?Daudi hakuwa nabii. Wayahudi hawana hiyo itijadi ya Daudi kuwa nabii
Anakuwaje wa pekee wakati wengine tupoUnaelewa maana Ya Yesu kuitwa mwana wa Mungu wa pekee
Tubishane na maandiko au TUKUSIKILIZE WEWE mla Biriani?Anakuwaje wa pekee wakati wengine tupo
Sote ni wana wa Mungu sio yesu peke yake!!!Tubishane na maandiko au TUKUSIKILIZE WEWE mla Biriani?
Yesu ni WA pekee sababu ana Sifa hizi ambazo ni za UUNGU ,nitafutie mwenye Sifa hizi 👇👇👇
1. Umilele – Yesu hana mwanzo wala mwisho. (Yohana 1:1-3, Ufunuo 22:13)
2. Mweza wa yote – Yesu ana mamlaka juu ya vitu vyote. (Mathayo 28:18, Wakolosai 2:9-10)
3. Muumba – Yeye aliumba vitu vyote. (Yohana 1:3, Wakolosai 1:16)
4. Mwenye kujua yote – Yesu anajua mambo yote, hata ya mioyo ya watu. (Yohana 2:24-25, Yohana 16:30)
5. Yupo kila mahali – Yesu yupo mahali pote kiroho. (Mathayo 18:20, Mathayo 28:20)
6. Mwenye uhai ndani yake – Yesu ndiye chanzo cha uzima wa milele. (Yohana 11:25, Yohana 14:6)
7. Mwenye kusamehe dhambi – Yesu ana mamlaka ya kusamehe dhambi, jambo ambalo ni haki ya Mungu pekee. (Marko 2:5-7, Luka 7:48)
8. Anapokea kuabudiwa – Yesu alikubali kuabudiwa, kitu ambacho ni haki ya Mungu pekee. (Mathayo 14:33, Yohana 9:38, Ufunuo 5:12-14)
9. Ana mamlaka ya kutoa hukumu – Yesu ndiye Hakimu wa ulimwengu. (Yohana 5:22, Matendo 17:31)
10. Jina lake ni juu ya yote – Yesu amepewa jina lipitalo majina yote. (Wafilipi 2:9-11)
11. Ni nuru ya ulimwengu – Yesu ni mwangaza wa wanadamu. (Yohana 8:12)
12. Anatoa uzima wa milele – Yeye ndiye Njia, Kweli na Uzima. (Yohana 14:6, Yohana 10:28)
13. Ni Alfa na Omega – Yesu ni Mwanzo na Mwisho, jina linalomtambulisha Mungu. (Ufunuo 1:8, 22:13)
14. Ni Mwana wa Mungu – Hii inaonyesha usawa wake na Mungu Baba. (Mathayo 16:16, Yohana 10:30-33)
15. Ni Yehova wa Agano la Kale – Maandiko yanaonyesha kuwa Yesu ni yule Mungu wa Israeli. (Isaya 9:6, Yohana 8:58)
Hizi ni baadhi ya sifa zina
zothibitisha uungu wa Yesu kulingana na Biblia.
TAPELI MUHAMMAD HANA SIFA HATA MOJA KATI YA HIZO