Je, Injili Ilitabiri Ujio wa Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake)?

Tukitumia darubini hiyo hiyo,unathibitisha vipi kwamba Quran ni maneno ya Allah? Allah hajathibisha kwamba ni maneno yake, Quran nzima ni maneno ya Mohamed. Lete proof kutoka kwa Allah akithibitisha kwamba Quran ni maneno yake,usinukuu maneno ya Mohamed kutoka kwenye Quran tafadhali.
 
Umevuta bange ya wapi weye??uongo mwingiii hamna kitu hapo
 
We jamaa kilaza sana na ndio maana umepotea

Nimekuambia YEHOVA ni neno la kigiriki na Mungu hajawahi kuleta Mtume mgiriki hivyo Mungu hajawahi kujiita YEHOVA sijui JEHOVAH haya ni majina ya Miungu ya kigiriki

The word "JEHOVAH" was formed by merging the three vowels (e, o, and a) of the word ELOAH, into the Romanized (Latinized) four letter version JHVH (i.e. JeHoVaH). This was an early concoction. The word "YAHWEH" was formed by merging the vowels (a, and e) of the word HASHEM into the four letter version YHWH (i.e. YaHWeH). This was a more recent invention.

Majina ambayo Mungu alijifunua Kwa manabii wa Israel ni haya hapa

Many of the Jewish names for God are from Hebrew sources, including the Hebrew Bible. Rabbinic Judaism recognizes seven especially holy names for God:

El ("God")
Eloah ("God")
Elohim ("Gods")
Shaddai ("Almighty")
Ehyeh ("I am")
Tzevaot ("[of] Hosts")

Yani nyinyi wagalatia Wazungu wamekudanganeni hadi mmekuwa vipofu
 
Biblia si kitabu kilichoorozwesha katika vitabu walivyoshushiwa manabii na yesu hakusushiwa biblia au una andiko linasema yesu kashushiwa biblia.
KAMA LIPO LETE HAPA
Habari ya kushushiwa vitabu ni yenu waislam tu, wakristo vitabu vyetu havijashushwa . Kuanzia Mwanzo mpaka Ufunuo ni inspiration ya roho mtakatifu.

Musa hakuwepo enzi za Adam lakini roho mtakatifu alimuongoza kuandika matukio ya kabla ya wakati wake . Yohana hatakuwepo mwisho wa nyakati lakini roho mtakatifu alimuongoza kuandika habari za ufunuo wa siku za mwisho .

Tena ukisoma Bible inaenda kwa mtiririko mzuri kabisa kuanzia mwanzo wa nyakati mpaka mwisho. Quran yenu haieleweki mwanzo ni wapi na mwisho ni wapi!! Matukio ya manabii yamepachikwa tu,ili uelewe inabidi ukasome Hadith za akina Bukhari 😎.

"Na pale Musa alipo mwambia kijana wake: Sitoacha kuendelea mpaka nifike zinapo kutana bahari mbili, au nitaendelea kwa muda mrefu".

Quran 18:60.

Naomba utuambie huyu kijana wake Musa ni nani? Kutoka kwenye Quran,usikimbilie kwenye Hadith za wanadamu ambazo hazijashushwa na Allah kutoka mbinguni tafadhali.
 
Sasa hilo swali lina umuhimu gani
 
Wewe mbona unatumia vitabu vilivyo vya wanadamu
 
We jamaa kilaza sana na ndio maana umepotea

Nimekuambia YEHOVA ni neno la kigiriki na Mungu hajawahi kuleta Mtume mgiriki hivyo Mungu hajawahi kujiita YEHOVA sijui JEHOVAH haya ni majina ya Miungu ya kigiriki

The word "JEHOVAH" was formed by merging the three vowels (e, o, and a) of the word ELOAH, into the Romanized (Latinized) four letter version JHVH (i.e. JeHoVaH). This was an early concoction. The word "YAHWEH" was formed by merging the vowels (a, and e) of the word HASHEM into the four letter version YHWH (i.e. YaHWeH). This was a more recent invention.

Majina ambayo Mungu alijifunua Kwa manabii wa Israel ni haya hapa

Many of the Jewish names for God are from Hebrew sources, including the Hebrew Bible. Rabbinic Judaism recognizes seven especially holy names for God:

El ("God")
Eloah ("God")
Elohim ("Gods")
Shaddai ("Almighty")
Ehyeh ("I am")
Tzevaot ("[of] Hosts")

Yani nyinyi wagalatia Wazungu wamekudanganeni hadi mmekuwa vipofu
 
Sote ni wana wa Mungu sio yesu peke yake!!!
Wewe ni muislamu huwezi juwa mwana wa Mungu, Mungu wenu hana mwana,nyinyi kwake ni watumwa tu. Una haki ya kubisha kwamba Yesu sio mwana wa Mungu kwa sababu ndiyo msingi wa dini yako . Hata mtu akijaribu kukuelewesha hutaelewa.
 
Haya nyinyi mlio wana wa mungu je nyote ni miungu
 
Wewe mbona unatumia vitabu vilivyo vya wanadamu
Vitabu vyetu mna vikana kwamba vimechakachuluwa,ndiyo nataka ulete jibu kutoka kwenye Quran ambayo haijabadilika hata nukta kutoka kwa Allah.
 
Vitabu vyetu mna vikana kwamba vimechakachuluwa,ndiyo nataka ulete jibu kutoka kwenye Quran ambayo haijabadilika hata nukta kutoka kwa Allah.
Wewe mbona unatumia vitabu vya wanadamu?
 
Haya nyinyi mlio wana wa mungu je nyote ni miungu
Kuwa wana wa Mungu maana yake tumekuwa sehemu ya ufalme wake kupitia kifo na ufufuo pamoja na msamaha wa dhambi kupitia mwanae Yesu kristo. Tuna haki ya kwenda kuishi mbinguni pale yeye alipo kwa watoto wake .

Msingi wa imani yetu haufanani na imani yenu hata kidogo,ili waislam mpate msamaha wa dhambi siku ya kiama itabidi mtutoe wakristo na wayahudi kama kafara. Wakristo yesu alikufa na kufufuka kwa ajili yetu,alilipa bei ya dhambi zetu.

Kwenye uislamu wakristo na wayahudi tutawatolea kafara ili msiingie motoni.
 
HAJAZAA WALA HAJAZALIWA NA HAKUNA ANAYE FANANA NAE
Hawezi kuzaa kwa sababu hana mshirika,Mungu wenu uwezo wake ni mdogo na ndiyo maana anasema ukweli kuhusu kutoweza kuzaa.
 
Kuwa wana wa Mungu maana yake tumekuwa sehemu ya ufalme wake kupitia kifo na ufufuo pamoja na msamaha wa dhambi kupitia mwanae Yesu kristo.
Kumbe yesu sio Mungu ila ni mwana wa Mungu
 
Huyo yesu we umewahi kumuona
Kwani wewe umemuona Muhamed? Ila unaamini ni nabii pamoja na mdhambi yake yote,pamoja na kupingana na maandiko yaliyokuja kabla yake ikiwemo kufa na kufufuka kwa Yesu.
 
Kwani wewe umemuona Muhamed? Ila unaamini ni nabii pamoja na mdhambi yake yote,pamoja na kupingana na maandiko yaliyokuja kabla yake ikiwemo kufa na kufufuka kwa Yesu.
Sasa kwa nini unatuuliza kuwa tunajuaje kuwa alishushiwa yesu wakati hatujamuona
 
Toa ushahidi wa hilo
Kasome Sahih Muslim 2767 kwa kiswahili kisha urudi hapa.

Sahih Muslim 2767 d
Abu Burda reported Allah's Messenger (ﷺ) as saying:
There would come people amongst the Muslims on the Day of Resurrection with as heavy sins as a mountain, and Allah would forgive them and He would place in their stead the Jews and the Christians. (As far as I think), Abu Raub said: I do not know as to who is in doubt. Abu Burda said: I narrated it to 'Umar b. 'Abd al-'Aziz, whereupon he said: Was it your father who narrated it to you from Allah's Apostle (ﷺ)? I said: Yes.

حَدَّثَنَا مُحَمَّدُ بْنُ عَمْرِو بْنِ عَبَّادِ بْنِ جَبَلَةَ بْنِ أَبِي رَوَّادٍ، حَدَّثَنَا حَرَمِيُّ بْنُ عُمَارَةَ، حَدَّثَنَا شَدَّادٌ أَبُو طَلْحَةَ الرَّاسِبِيُّ، عَنْ غَيْلاَنَ بْنِ جَرِيرٍ، عَنْ أَبِي بُرْدَةَ، عَنْ أَبِيهِ، عَنِ النَّبِيِّ صلى الله عليه وسلم قَالَ ‏ "‏ يَجِيءُ يَوْمَ الْقِيَامَةِ نَاسٌ مِنَ الْمُسْلِمِينَ بِذُنُوبٍ أَمْثَالِ الْجِبَالِ فَيَغْفِرُهَا اللَّهُ لَهُمْ وَيَضَعُهَا عَلَى الْيَهُودِ وَالنَّصَارَى ‏"‏ ‏.‏ فِيمَا أَحْسِبُ أَنَا ‏.‏ قَالَ أَبُو رَوْحٍ لاَ أَدْرِي مِمَّنِ الشَّكُّ ‏.‏ قَالَ أَبُو بُرْدَةَ فَحَدَّثْتُ بِهِ عُمَرَ بْنَ عَبْدِ الْعَزِيزِ فَقَالَ أَبُوكَ حَدَّثَكَ هَذَا عَنِ النَّبِيِّ صلى الله عليه وسلم قُلْتُ نَعَمْ ‏.‏

Book 50, Hadith 60.
 
Wapi wamesema inabidi tuwatoe kafara?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…