Je, Injili Ilitabiri Ujio wa Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake)?

Je, Injili Ilitabiri Ujio wa Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake)?

Sasa kwa nini unatuuliza kuwa tunajuaje kuwa alishushiwa yesu wakati hatujamuona
Sisi tunajua,kwa sababu tunamuamini huyo Yesu. Ila nyie msie muamini wala kumkubali mnatubishia waamini wake😂. Sawa na leo mkristo mimi nianze kubisha kwamba Mohamed hakufa labda tuchimbe kaburi lake pale Mecca tupime DNA ile mifupa yake.

Wakati nyie waumini mnajua story yake nzima,utakuwa ujina na upuuzi. Sisi wakristo tunamjua Yesu kuliko nyinyi, tunamuamini kuliko nyinyi,tuna historia yake kuliko nyinyi. Mji alioishi upo,kaburi alilozikwa lipo,historia ya wanafunzi wake ipo.

Nyinyi mna verse kama 3 hivi kutoka kwenye kitabu chenu halafu mnataka kuvunja msingi wa imani iliyokuwa imesimama kwa miaka 600 kabla ya Mohamed. It doesn't make sense .
 
Wapi wamesema inabidi tuwatoe kafara?
Hebu soma hapo ,au English hujui?Kuna waumini siku ya kiama watakuja mbele za Allah na dhambi nyingi kama mlima na Allah atawasamehe. Kwenye nafasi yao ya kwenda motoni atawachukua wayahudi na wakristo. Ina maanisha bila wakristo na wayahudi kuchukua nafasi zao za motoni basi hakuna kusamehewa.
 
Hebu soma hapo ,au English hujui?Kuna waumini siku ya kiama watakuja mbele za Allah na dhambi nyingi kama mlima na Allah atawasamehe. Kwenye nafasi yao ya kwenda motoni atawachukua wayahudi na wakristo. Ina maanisha bila wakristo na wayahudi kuchukua nafasi zao za motoni basi hakuna kusamehewa.
Wapi wamesema inabidi tuwatoe kafara
 
Aiseee Muraaa hapo Bado Upo kwenye Injili ile ile ya baada ya yesu kuondoka umepiga round about..

umenukuu kutoka ndani ya injili ndani ya kitabu cha Mathayo no 50 kilicho andikwa mwaka 1240..

Swali langu huu utakatifu wa hiki kitabu umetokea wapi wakati yesu hakuthibitisha kama ni maneno yake thabiti?
Ulitaka athibitishe tapeli Muhammad?
 
We jamaa kilaza sana na ndio maana umepotea

Nimekuambia YEHOVA ni neno la kigiriki na Mungu hajawahi kuleta Mtume mgiriki hivyo Mungu hajawahi kujiita YEHOVA sijui JEHOVAH haya ni majina ya Miungu ya kigiriki

The word "JEHOVAH" was formed by merging the three vowels (e, o, and a) of the word ELOAH, into the Romanized (Latinized) four letter version JHVH (i.e. JeHoVaH). This was an early concoction. The word "YAHWEH" was formed by merging the vowels (a, and e) of the word HASHEM into the four letter version YHWH (i.e. YaHWeH). This was a more recent invention.

Majina ambayo Mungu alijifunua Kwa manabii wa Israel ni haya hapa

Many of the Jewish names for God are from Hebrew sources, including the Hebrew Bible. Rabbinic Judaism recognizes seven especially holy names for God:

El ("God")
Eloah ("God")
Elohim ("Gods")
Shaddai ("Almighty")
Ehyeh ("I am")
Tzevaot ("[of] Hosts")


Yani nyinyi wagalatia Wazungu wamekudanganeni hadi mmekuwa vipofu
NILISHAKWAMBIA HUNA ELIMU ,NDIO MAANA MADA ZANGU HUWA UNAZIKIMBIA

Neno "YEHOVA" au "JEHOVAH" halitokani na Kigiriki, bali ni matokeo ya mabadiliko ya lugha kutoka Kiebrania hadi Kilatini na hatimaye Kingereza.

Asili ya jina hili ni kutoka kwenye Tetragrammaton (YHWH), ambalo ni jina takatifu la Mungu linalopatikana katika Biblia ya Kiebrania.

Katika Kiebrania cha zamani, herufi "YHWH" hazikuwa na vokali kwa sababu lugha hiyo awali iliandikwa bila vokali.

Baadaye, Wamasoreti (wasomi wa Kiyahudi wa karne ya 6-10 BK) waliongeza nukta za vokali kutoka kwa jina Adonai ili kusaidia kulitamka bila kulitaja kwa heshima.

Watafsiri wa Kilatini walichukua herufi hizo na kuzibadilisha kuwa "JHVH", kisha wakaongeza vokali kutoka "Adonai" na kupata "Jehovah" (Kiingereza) au "Yehova" (Kiswahili).

Mungu alijifunua kwa jina la YHWH (Yehova) kwa Waisraeli, kama inavyothibitishwa na Biblia yenyewe:

Kutoka 6:3 – "Nami nalijulikana kwa Ibrahimu, na Isaka, na Yakobo, kwa jina la Mungu Mwenyezi; bali kwa jina langu Yehova sikujulikana kwao."

Zaburi 83:18 – "Ili watu wajue ya kuwa wewe, ambaye jina lako ni Yehova, ndiwe peke yako Uliye juu, juu ya dunia yote."



Kwa hiyo, JEHOVAH / YEHOVA si jina la Kigiriki, bali ni tafsiri ya YHWH kutoka Kiebrania kupitia Kilatini.
 
Back
Top Bottom