Je, Injili Ilitabiri Ujio wa Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake)?

Kwa nini mara zote ulikuwa huniulizi

Kumbuka kuwa hata biblia ni kitabu cha juzi
 
Mwambie akujibu
Lakini pia wewe unaweza kutafuta vitabu vya dini zote ili kujiridhisha usiangalie vitabu vya upande mmoja.
Ndiyo niko hapa najitahidi kujifunza taratibu, na pitia vitabu vyote ndo maana mara nyingi , naomba maandiko na uthibitisho katika vitabu vya hizi dini , ili kujifunza zaidi.

Kwa mantiki hiyo , hata wewe unaweza kunijibu ikiwa una ujuzi na hoja fulani.
 
Sasa huo ndio utatu? Kasome Dogma ya utatu inasemaje

Yesu kuwa Mungu ni maandiko haihusihani na Utatu
Sasa kama umekiri kuwa kuna mungu mwenye uhusiano na mungu mwingine hapo kutakuwa na mungu mmoja kweli!!!
 
Roman Catholic ni state iliyojivika vazi la dini, yenyewe haitegemei Biblia kama msingi wao wa maandiko ,Roman Catholic wanategemea mapokeo sawa na Uislamu kumtegemea Hadithi pia
 
Sasa kama umekiri kuwa kuna mungu mwenye uhusiano na mungu mwingine hapo kutakuwa na mungu mmoja kweli!!!
Nakuuliza Tena unaamini Zaburi ? Ili nianze kukujibu kwa Zaburi

ili usiseme naamini,Bali useme maandiko yanasema
 
Biblia ipo miaka 3000 kabla ya Quran ,

Biblia sio kitabu cha Juzi,
Ni kitabu cha juzi tena ambacho kilitungwa bila hata kushuhudiwa na yesu

Au unataka kuniambia biblia ni kitabu alichopewa nabii nani?
 
Ni kitabu cha juzi tena ambacho kilitungwa bila hata kushuhudiwa na yesu

Au unataka kuniambia biblia ni kitabu alichopewa nabii nani?
Biblia ni mkusanyiko wa vitabu

Haya naomba nijibu hapa Zaburi unaiamini au huiamini?
 
Nakuuliza Tena unaamini Zaburi ? Ili nianze kukujibu kwa Zaburi

ili usiseme naamini,Bali useme maandiko yanasema
Kwa nini huko nyuma ulikuwa unaleta maandiko bila ya kuuliza uliza
Umepatwa na nini
 
Ni kitabu cha juzi tena ambacho kilitungwa bila hata kushuhudiwa na yesu

Au unataka kuniambia biblia ni kitabu alichopewa nabii nani?
Biblia ipo toka Enzi na Enzi ,

Yesu kakuta agano la kale na amelinukuu sana tu ,ukitaka ushahidi unapewa

Quran imekuja juzi na ni project ya wakatoliki,iliandikwa na vijana wanne Walevi
 
Kwa nini huko nyuma ulikuwa unaleta maandiko bila ya kuuliza uliza
Umepatwa na nini
Nimekuuliza hilo swali maana nimeona ,naleta maandiko ,unauliza kitu kile kile ,

Sasa nataka kujua ,Unaamini Zaburi ?

Jibu ndio au hapana

Maana sitaki kurudia rudia kitu kile kile

Mimi nimeweka wazi siamini Quran ni uzushi tu
 
Biblia ipo toka Enzi na Enzi ,

Yesu kakuta agano la kale na amelinukuu sana tu ,ukitaka ushahidi unapewa

Quran imekuja juzi na ni project ya wakatoliki,iliandikwa na vijana wanne Walevi
Nabii gani kapewa hiyo biblia?
 
Weka wazi hapa naamini Zaburi ,torati na injili na manabii ,twende kazi

Kama huamini ,Ulete hapa Zaburi ,torati ,injili na manabii Original
 
Nimekuuliza hilo swali maana nimeona ,naleta maandiko ,unauliza kitu kile kile ,

Sasa nataka kujua ,Unaamini Zaburi ?

Jibu ndio au hapana

Maana sitaki kurudia rudia kitu kile kile

Mimi nimeweka wazi siamini Quran ni uzushi tu
Na mimi msimamo wangu nimekwambia hamna zaburi

Sasa,kuleta au kutoleta hayo maandiko ni maamuzi yako!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…