Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 3,727
- 3,777
Kwa nini mara zote ulikuwa huniuliziQuran inajulikana ni ya juzi tu hapa ,
Unapouliza habari za Yesu huwez kuzipata kwenye Quran
Ndio maana nimekuuliza unaamini Zaburi ?jibu ndio au hapana
Maana nataka kukujibu kwa Zaburi ,humo Yesu kaelezewa kama Mungu sehemu kubwa ,sasa kabla sijaanza sitaki kupoteza muda ,kwa uliiza maswali yale yale
Kumbuka kuwa hata biblia ni kitabu cha juzi