Je, Injili Ilitabiri Ujio wa Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake)?

Ni nimefuatilia hili nimegundua wewe ni muongo na uko hapa unapotosha watu.
Sura inasema ni kundi moja la majini, na sio majini yote.

Una uthibitisho mwingine au uko huko, kuokoteza kwa ajili ya kuthibitisha upotoshaji wako.
Kwahiyo liwe kundi la majini au majini ,shida nini ?

Majini ni viunbe wachafu ni mapepo

Mudi aliwasilimisha majini yakawa
Maislamu
 
Ungetuletea maandiko au historia ya hilo jiwe na kwa nini liko pale .

Kwa mantiki hiyo ukasome historia ya hilo jiwe na vitabu vinasema je.
 
Huu ni uthibitisho wa kuwa wewe ni miongoni mwa wajinga.
Bila kejeli na porojo zako , hauna hoja. Na hizi dalili za mtu kutokuwa na maarifa .

Ni kweli , leta uthibitisho wa hadithi.
HIVI KATIKA HAPA NI NANI ALIMPA UTUME MUHAMMAD??

KITABU CHA WAKEZE MTUME WAKUBWA NA WANAWE''” kilichoandikwa na Sheikh Abdullah Saleh Al Farsy uk.12

tunasoma maneno haya'''


“Basi Mtume akafanya hofu akarejea kwa mkewe akamhadithia; na pale pale homa kubwa kabisa ikampanda akataka afunikwe maguo. Mara akawa anatetemeka kwa nderema na anaweweseka na kusema “Najikhofia nafsi yangu kuchezewa na shetani na kuniharibu akili yangu na kunizuga”. Bibi Khadija palepale alimdakiza akamwambia; “ Wacha hayo; Siyo yatakayokuwa hayo. Wewe huwezi kuchezewa na mashetani. Shetani hawezi kumchezea mtu mwenye sifa zako. Wewe unatazama vyema jamaa zako, unachukuwa mizigo ya hata watu wasiokuwa wako, unawadhihirishia watu sifa zako nzuri ambazo hakuna mwenye nazo. Unafanya hivi na unafanya hivi. Furahi ndugu yangu. Tua moyo wako, Wallahi! Mimi naona umekwishakuwa MTUME''”.

1.SHETANI?

2.BI KHADIJA?
 
Ungetuletea maandiko au historia ya hilo jiwe na kwa nini liko pale .

Kwa mantiki hiyo ukasome historia ya hilo jiwe na vitabu vinasema je.
WEWE NDIYE HUJUI HISTORIA ,NAKUPA HII


UISLAMU NI UPAGANI

Mji wa Makka na Umuhimu wake katika Uislamu 🕋

Mji wa Makka ndio kitovu cha Uislamu duniani. Ndani ya mji huu kuna Ka’aba, ambayo Waislamu huiita Bait-ul-Haram au Bait-ul-Allah, yaani "Nyumba ya Allah". Kila Mwislamu duniani anatakiwa kuswali mara tano kwa siku huku akielekeza uso wake Makka ilipo nyumba hiyo takatifu.

Vilevile, kila Mwislamu anatakiwa kwenda Makka kwa ajili ya Hija angalau mara moja katika maisha yake, kwani Hija ni moja ya nguzo kuu za Uislamu. Hii inaonesha kuwa Ka’aba ni madhabahu kuu katika Uislamu 🕌.

Muundo wa Ka’aba na Jiwe Jeusi 🖤

Ka’aba ni jengo lenye umbo la karibu na mchemraba, ambalo lina vitu vichache vya kipekee ndani yake. Moja ya vitu hivyo ni Jiwe Jeusi (Hajar al-Aswad), ambalo limewekwa kwenye kona moja ya Ka’aba.

Waislamu wanapokwenda Makka kwa Hija, hufanya Tawaf (kuzunguka Ka’aba mara saba) na pia hujaribu kubusu jiwe hilo, kuligusa, au angalau kuliashiria kwa mkono kama haiwezekani kulifikia.

Mwelekeo wa Kuswali Kabla na Baada ya Agizo la Allah 📜

Zamani, inasemekana kuwa Mtume Muhammad ﷺ alikuwa akitazama mbinguni anaposwali na kuomba. Hata hivyo, baadaye Allah aliamuru Waislamu waelekeze nyuso zao Makka badala ya mbinguni.

Katika Surah Al-Baqarah 2:144, Qur’an inasema:

"Hakika tumeona jinsi unavyogeuzia uso wako [ewe Muhammad], kuelekea mbinguni, nasi hakika tutakugeuzia kwenye qiblah utakachokifurahia. Hivyo elekeza uso wako kwenye al-Masjid al-Haram..."

Hii inaonesha kuwa awali qibla (mwelekeo wa swala) haukuwa Makka, lakini baadaye Allah aliamuru mabadiliko hayo.
Ka’aba Ilijengwa na Ibrahim au La? 🤔
Kulingana na Qur’an, Ka’aba ilijengwa na Ibrahim na mwanawe Ismail (Qur’an 2:125). Allah anasema aliwapa agizo watakase nyumba hiyo kwa ajili ya wale wanaoizunguka na kufanya ibada ndani yake.

Hata hivyo, kuna maswali yanayojitokeza kuhusu historia hii:

1️⃣ Ibrahim aliwahi kufika Uarabuni? Historia inaonesha kuwa Ibrahim aliishi katika eneo la Kaanani (Palestina ya leo) na hakuna rekodi za kihistoria zinazoonesha kuwa alisafiri hadi Makka (takriban kilomita 1,000 kutoka Kaanani).

2️⃣ Makka ilikuwepo wakati wa Ibrahim? Tafiti zinaonesha kuwa mji wa Makka ulianza kuwepo takriban miaka 400 baada ya Kristo (BK), muda mrefu baada ya enzi ya Ibrahim. Hii inaleta utata kuhusu madai kwamba Ibrahim alijenga Ka’aba.

3️⃣ Muhammad alisema nini kuhusu ujenzi wa Ka’aba? Katika Sahih Bukhari 4:55:636, Muhammad anasema kuwa Ka’aba ilijengwa miaka 40 kabla ya Al-Masjid-ul-Aqsa (Yerusalemu). Lakini, Hekalu la Sulemani lilijengwa takriban mwaka 950 KK, wakati Ibrahim aliishi miaka 2000 KK.

Hii inamaanisha kuwa kama Ibrahim ndiye aliyejenga Ka’aba, basi Muhammad alisema uongo kuhusu tofauti ya miaka 40! Au kama Muhammad alikuwa sahihi, basi inamaanisha kuwa Ibrahim wa Qur’an ni mtu tofauti na Ibrahim wa Biblia 📖.
Ka’aba Ilivyokuwa Madhabahu ya Wapagani Kabla ya Uislamu ⛩️
Historia inaonesha kuwa kabla ya Uislamu, Ka’aba ilikuwa mahali pa kuabudia miungu mingi ya Kiarabu. Katika Sahih Bukhari 3:43:658, inasimuliwa kuwa Muhammad alipovamia Makka mwaka 630 BK, alikuta sanamu 360 zimezunguka Ka’aba!

Aliziharibu sanamu hizo na kusema: "Kweli (Uislamu) imeshafika na Uongo (ukafiri) umetoweka."

Hii inaonesha kuwa hapo awali Ka’aba ilikuwa madhabahu ya kipagani na si sehemu ya kuabudia Mungu wa Ibrahim, Isaka na Yakobo kama inavyodaiwa na Uislamu wa sasa.

Pia, katika Sahih Bukhari V2, B26, #689, tunasoma kuwa kabla ya Uislamu, wapagani walikuwa wakizunguka Ka’aba wakiwa UCHI wakati wa ibada zao!

Hili linaibua maswali mazito:

✅ Ikiwa Ka’aba ilikuwa nyumba ya Allah tangu Ibrahim, kwa nini ilitumiwa na wapagani kwa karne nyingi?
✅ Kwa nini wapagani walikuwa wakifanya ibada za kishirikina ndani yake hadi wakati wa Muhammad?
✅ Je, kweli Ka’aba ilihusiana na Mungu wa kweli, au ilikuwa sehemu ya ibada za miungu ya Kiarabu?

Ukweli wa Ka’aba ni Upagani au Uungu?
Kutokana na ushahidi huu:

🔹 Ka’aba ilikuwa sehemu ya ibada za kipagani kwa karne nyingi kabla ya Muhammad.
🔹 Ibrahim hakuwahi kufika Makka, kwa hiyo ni vigumu kusema kuwa aliijenga Ka’aba.
🔹 Muhammad aliharibu sanamu 360 katika Ka’aba, akifanya marekebisho ya ibada iliyokuwa hapo.
🔹 Qur’an yenyewe inapingana juu ya ujenzi wa Ka’aba na uhusiano wake na Ibrahim.

Hii inaacha maswali mengi kwa Waislamu kuhusu msingi wa imani yao juu ya Ka’aba. Je, ni sehemu ya ibada ya Mungu wa kweli, au ni mabadiliko ya ibada za kipagani zilizokuwepo kabla ya Uislamu?

Ni jukumu la kila mmoja kufanya utafiti zaidi na kujiridhisha kwa ukweli wa kihistoria na kiimani.

✍🏽 Fanya utafiti, tafakari, na tafuta ukweli!
 
Nadharia kama hizi , bila uthibitisho mtu atakuekewaje, waislamu wanaamini muongozo wao ni quran na hadithi , hayo a
Uliyoyasema bila ya kuwepo maandiko , ni mipasho na porojo tupu.
 
Nadharia kama hizi , bila uthibitisho mtu atakuekewaje, waislamu wanaamini muongozo wao ni quran na hadithi , hayo a
Uliyoyasema bila ya kuwepo maandiko , ni mipasho na porojo tupu.
😂😂😂Ulijifanya sio muislamu ,yamekushinda umeona ujitokeze ,safi


Uislamu ni Dini ya Propaganda na Uongo

Ndio maana ulileta kitabu cha propaganda za kutumia maandiko ya biblia kumnasibisha mudi aonekane alitabiriwa na biblia


Hapo hapo biblia huikubali


NARUDIA HAKUNA HATA CHEMBE AU TONE LA USHAHIDI WA MAANDIKO, HISTORIA,AKIOLOJIA PALIWAHI KUWEPO UISLAMU NA MSIKITI KABLA YA MUHAMMAD


MUDI NDIYE ALIKUWA MUISLAMU WA KWANZA KUSILIMU
 
😂😂😂Huo MSIKITI uliitwaje

Leta ushahidi nikuumbue
Narrated Abu Dhar: I said, O Allah's Apostle! Which mosque was first built on the surface of the earth? He said, Al- Masjid-ul-,Haram (in Mecca). I said, Which was built next? He replied The mosque of Al-Aqsa ( in Jerusalem) . I said, What was the period of construction between the two? He said, Forty years. He added, Wherever (you may be, and) the prayer time becomes due, perform the prayer there, for the best thing is to do so (i.e. to offer the prayers in time). (Sahih Bukhaariy.3366)


إِنَّ أَوَّلَ بَيْتٍ وُضِعَ لِلنَّاسِ لَلَّذِي بِبَكَّةَ مُبَارَكًا وَهُدًى لِّلْعَالَمِينَ ﴿٩٦﴾
96. Hakika nyumba (Al-Ka’bah) ya awali iliyowekwa kwa ajili ya watu (kufanya ibaada) ni ile ambayo iko Bakkah (Makkah), yenye barakah na mwongozo kwa walimwengu. (Qur’an 3:96)


وَإِذْ جَعَلْنَا الْبَيْتَ مَثَابَةً لِّلنَّاسِ وَأَمْنًا وَاتَّخِذُوا مِن مَّقَامِ إِبْرَاهِيمَ مُصَلًّى ۖ وَعَهِدْنَا إِلَىٰ إِبْرَاهِيمَ وَإِسْمَاعِيلَ أَن طَهِّرَا بَيْتِيَ لِلطَّائِفِينَ وَالْعَاكِفِينَ وَالرُّكَّعِ السُّجُودِ ﴿١٢٥﴾
125. Na Tulipoifanya Nyumba (Al-Ka’bah) kuwa ni mahali pa kurejewa na watu na pa amani, na fanyeni mahali pa kusimama Ibraahiym kuwa ni pahala pa kuswalia. Na Tulichukua ahadi kwa Ibraahiym na Ismaa’iyl kwamba: Itakaseni Nyumba Yangu kwa wanaotufu na wanaokaa i’tikaaf, na wanaorukuu na kusujudu. (Qur’an 2:125)


وَإِذْ بَوَّأْنَا لِإِبْرَاهِيمَ مَكَانَ الْبَيْتِ أَن لَّا تُشْرِكْ بِي شَيْئًا وَطَهِّرْ بَيْتِيَ لِلطَّائِفِينَ وَالْقَائِمِينَ وَالرُّكَّعِ السُّجُودِ ﴿٢٦﴾

26. Na (taja) Tulipomwonyesha Ibraahiym mahali pa Nyumba; Al-Ka’bah, (Tukamwambia): Usinishirikishe na chochote, na twaharisha Nyumba Yangu kwa wafanyao Twawaaf, na wanaosimama kuswali na wanaorukuu na kusujudu.(Qur’an 22:26)
 
Unaleta uthibitisho wa Hadith na Quran zilizokuja baada ya Muhammad?😂😂


Yaani afande Sele alete uthibitisho kulikuwepo MSIKITI wa marastafari kupitia kitabu chake 😂😂


Thus why Dini ya Uislamu inabaki ni dini ILIYOJENGWA KWA PROPAGANDA na msingi wa mchanga


Haya maswali hata mufti hajibu
 
Lete uthibitisho wa hayo otherwise ni porojo
 
Mbona vitabu vyenu vinavyothibitisha mambo ya yesu ilhali vilikuja baada ya yesu?
Yesu katabiriwa hata kabla hajaja duniani

Na sio maandiko tu hata Wana historia wa karne ya kwanza wamemuandika Yesu
 
HIZI NI POROJO ZA MUDI ,ILI KUWA BRAINWASH WATU KAMA NYIE ,WENYE AKILI WALIOHOJI NA KUFANYA TAFITI HAWAKUBAKI KWENYE HIYO DINI YENU
 
Uthibitisho umepewa huna cha kusema unabaki kutapatapa tu 😃😀😄

Mbona nyinyi mnatumia vitabu vilivyokuja baada ya yesu kuondoka?
 
Yesu katabiriwa hata kabla hajaja duniani

Na sio maandiko tu hata Wana historia wa karne ya kwanza wamemuandika Yesu
Wewe unasema kuwa sisi tunaiamini Qur’an ituelezee mambo ya zamani wakati Qur’an ni ya juzi

Swali langu nikuwa mbona nyinyi mnatumia vitabu vinavyomzungumzia yesu ambavyo vilikuja baada ya yesu kuondoka
 
HIZI NI POROJO ZA MUDI ,ILI KUWA BRAINWASH WATU KAMA NYIE ,WENYE AKILI WALIOHOJI NA KUFANYA TAFITI HAWAKUBAKI KWENYE HIYO DINI YENU
Ushahidi ndo huo na sio porojo kama unazoleta wewe.
Kuamini au kutoamini ni maamuzi yako
 
Historia inasema kaabah ilijengwa na nabii Ibrahim baada ya hapo , waraab wakaibadilisha kuwa sehemu ya ibada ya miungu mbalimbali. Kwa hiyo kama tunavyojua mitume ilikuwa inatumwa kwa vizazi tofauti tofauti , kwa mantiki hiyo nabii aliyefuata alikuja na mafunzo mengine, na kuondoa sanamu zote, zilizokuwa zinazozunguka kaabah.

Historia inajieleza vizuri huo upagani ulikuja baada ya nabii Ibrahim, mtume aliyekuja aliupinga huo upagani na kuvunja yale masanamu yote .

Ni wapi hujaelewa ndugu, na historian yenyewe unababaika , hizi sio zama za kumdanganya mtu , kwa hiyo huu ni muendelezo wa upotoshaji wako.
 
Ushahidi ndo huo na sio porojo kama unazoleta wewe.
Kuamini au kutoamini ni maamuzi yako
Mimi nakupa real histori na wajenzi ,sio Porojo na propaganda za mudi

Hapa kuna orodha ya misikiti mitano ya kwanza kujengwa duniani kwa kuzingatia ushahidi wa kihistoria, ikijumuisha mwaka wa ujenzi, aliyeujenga, na mahali ilipo:

1. Msikiti wa Quba

Mwaka: 622 CE

Aliyeujenga: Mtume Muhammad na Masahaba

Mahali: Madina, Saudi Arabia

Ushahidi wa kihistoria:

Inatajwa katika maandiko ya Kiislamu kuwa msikiti wa kwanza kabisa kujengwa baada ya Hijra (uhamiaji wa Muhammad kutoka Makka kwenda Madina).

Uchunguzi wa kihistoria unaonyesha kuwa ulikuwa kituo cha kwanza cha ibada cha Waislamu wakati wa uanzishwaji wa dola ya Kiislamu Madina.

2. Msikiti wa Mtume (Masjid an-Nabawi)

Mwaka: 622 CE

Aliyeujenga: Mtume Muhammad na Masahaba

Mahali: Madina, Saudi Arabia

Ushahidi wa kihistoria:

Ulijengwa mara baada ya Muhammad kuhamia Madina, ukapanuliwa na viongozi wa Kiislamu waliokuja baadaye.

Nyumba ya Muhammad ilijumuishwa ndani ya msikiti huu, na baadaye likawa eneo la kaburi lake.

Historia ya usanifu wake imebadilika kwa karne nyingi, na umebaki kuwa kituo muhimu cha ibada na siasa za Kiislamu.

3. Msikiti wa Al-Haram

Mwaka: 638 CE

Aliyeujenga: Waislamu wa mwanzo chini ya uongozi wa Khalifa Umar bin Khattab

Mahali: Makka, Saudi Arabia

Ushahidi wa kihistoria:

Kihistoria, Makka ilikuwa kituo cha kidini hata kabla ya Uislamu, Kaaba ikiwa katikati ya ibada za Waarabu wa Kipagani.

Baada ya Muhammad kushinda Makka mwaka 630 CE, eneo la Kaaba likafanywa kuwa sehemu ya msikiti, ambao baadaye ulipanuliwa na watawala wa Kiislamu kwa karne nyingi.


4. Msikiti wa Al-Aqsa

Mwaka: Umefanyiwa ujenzi mara kadhaa, lakini ujenzi wa sasa ulianza takriban 705 CE

Aliyeujenga: Khalifa wa Kiumayyad, Abd al-Malik na mwanawe Al-Walid I

Mahali: Jerusalem, Palestina

Ushahidi wa kihistoria:

Upo ndani ya eneo la Haram al-Sharif (Mount Temple), sehemu ambayo ilikuwa na historia ndefu ya kidini hata kabla ya Uislamu.

Historia inaonyesha kuwa Waislamu walipochukua Jerusalem mwaka 637 CE chini ya Umar bin Khattab, aliamuru ujenzi wa sehemu ya ibada hapo, lakini jengo la sasa lilianzishwa na Wauamayyad karne ya 8 CE.

Msikiti huu umeendelea kuwa sehemu muhimu ya historia ya kidini na kisiasa katika Mashariki ya Kati.


5. Msikiti wa Kufa (Masjid al-Kufa)

Mwaka: 637 CE

Aliyeujenga: Waislamu wa mwanzo chini ya Sa’d ibn Abi Waqqas

Mahali: Kufa, Iraq

Ushahidi wa kihistoria:

Umejengwa katika mji wa Kufa, moja ya miji ya kwanza ya Kiislamu iliyoanzishwa nje ya Arabia.

Msikiti huu ulikuwa moja ya vituo muhimu vya siasa na elimu ya Kiislamu, na unahusiana na Khalifa Ali ibn Abi Talib.


Orodha hii imepangwa kwa kuzingatia ushahidi wa kihistoria wa ujenzi wa misikiti na upanuzi wake, badala ya masimulizi ya kidini pekee.
 
Historia gani imeeleza hivo Mzee,hizo propaganda za Quran na Hadith wewe unasema ni historia


Ibrahimu hajawahi kufika hapo ,


Leta ushahidi wa KIHISTORIA,nje ya Quran na hadithi kuwa Kabla ya mudi hapo Maka ,Ibrahimu alifika au paliwahi kuwepo dini ya Uislamu
 
Hakuna sehemu niliyojinasibisha , na upande fulani . Na nikasema niko hapa ninajifunza, ndio maana ninauliza maswali tuuh , nakuwa natafuta na maandiko , lakini kutokana na uoga wako unakuwa unajilinda kuliko kujibu hoja.
 
Wewe unasema kuwa sisi tunaiamini Qur’an ituelezee mambo ya zamani wakati Qur’an ni ya juzi

Swali langu nikuwa mbona nyinyi mnatumia vitabu vinavyomzungumzia yesu ambavyo vilikuja baada ya yesu kuondoka
Yesu anaelezewa kwa vitabu vilivyopo na hata ambayo alivikuta na alinukuu

Quran ni ya juzi na hatuiamini maana imejaa uongo mwingi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…