Je, Injili Ilitabiri Ujio wa Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake)?

Je, Injili Ilitabiri Ujio wa Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake)?

T
Biblia ipo kabla ya Uislamu,

Uislamu unakuja juzi juzi, Biblia tayari ipo duniani Ina miaka zaidi ya 2000
Toa maandiko acha porojo, waislamu wanaamini , mwanzo wake ulikuwa kwa nabii Adam na maandiko yapo.

Je wewe una nini??
 
Biblia yenyewe anasema haiamini ,lakini anazitumia Aya za biblia kutaka kusambaza propaganda kuwa Muhammad alitabiriwa humo

Ndio utajua uislamu ni dini ya ujanjaujanja na propaganda
Kabisa, unatumia kitu usichokiamini, tena hujui hata kukitumia inavyotakiwa.
 
T

Toa maandiko acha porojo, waislamu wanaamini , mwanzo wake ulikuwa kwa nabii Adam na maandiko yapo.

Je wewe una nini??
Bora umejitokeza hadharani ,wewe ni muislamu,

Wanaamini kwa Uongo wa Qurani

Mbona simple tu

Cha ajabu hakuna hata tone au ushahidi kuwa paliwahi kuwepo uislamu au dini ya Uislamu kabla ya Mudi , au hata paliwahi kuwepo MSIKITI kabla ya Mudi

Ubudha upo kabla ya Ukristo , historia yake ipo
 
Onyesha uthibitisho acha porojo, kama uislamu ulianza juzi.
Nikupe uthibitisho gan kama huwez kutumia akili, ulijificha sasa hivi umejitokeza

Uislamu ni propaganda za wakatoliki

Ni dini imekuja mwaka 600s AD , kabla hakuna ushahidi hata wakuokoteza paliwahi kuwepo dini ya Uislamu au MSIKITI kama ipo leta hapa ,Leo narudi kuwa muislamu
 
Unauliza maswali ya kijinga ,kwahiyo baada ya Yesu hakukuwa na mitume na manabii waliovuviwa ?

Hebu acha maswali ya kijinga basi
Ninavyoamini hakuna maswali ya kijinga, maswali yote ni sawa na ndani yake kuna hekima fulani.

Tatizo litakuwa linaanzia kwako
 
Ndio ni mihemko yake .
Ndio mwenzio ana mihemko, haiamini biblia lakini anazitumia Aya za biblia kusambaza propaganda kuwa Muhammad ni mtume wa Mungu

Huu ni wendawazimu ,ni kwamba Quran haijitishelezi kujitetea
 
Lete Uthibitisho
HIVI KATIKA HAPA NI NANI ALIMPA UTUME MUHAMMAD??

KITABU CHA WAKEZE MTUME WAKUBWA NA WANAWE''” kilichoandikwa na Sheikh Abdullah Saleh Al Farsy uk.12 tunasoma maneno haya''

'“Basi Mtume akafanya hofu akarejea kwa mkewe akamhadithia; na pale pale homa kubwa kabisa ikampanda akataka afunikwe maguo. Mara akawa anatetemeka kwa nderema na anaweweseka na kusema “Najikhofia nafsi yangu kuchezewa na shetani na kuniharibu akili yangu na kunizuga”. Bibi Khadija palepale alimdakiza akamwambia; “ Wacha hayo; Siyo yatakayokuwa hayo. Wewe huwezi kuchezewa na mashetani. Shetani hawezi kumchezea mtu mwenye sifa zako. Wewe unatazama vyema jamaa zako, unachukuwa mizigo ya hata watu wasiokuwa wako, unawadhihirishia watu sifa zako nzuri ambazo hakuna mwenye nazo. Unafanya hivi na unafanya hivi. Furahi ndugu yangu. Tua moyo wako, Wallahi! Mimi naona umekwishakuwa MTUME''”.

1.SHETANI?

2.BI KHADIJA?
 
Thibitisha wewe maana sisi tunachojua aliyempa utume ni Allah
 
Naam ni maandiko yetu ya Qur’an na Sunnah
Yaliyokuja juzi,?

Ni sawa Leo Afande sele atoe uthibitisho kuwa dini yake ya rastafariani ilikuwepo toka Adam , uthibitisho uwe kitabu chake 😂😂

HOJA KAMA HIZI NDIO ZILIFANYA NIJUE UISLAMU NI NJIA YA UPOTEVUNI

NI DINI ISIYO NA MISINGI YA KUJISIMAMIA

NI DINI AMBAYO UKIILETA KWENYE HISTORIA INAUMBUKA
 
Thibitisha wewe maana sisi tunachojua aliyempa utume ni Allah
Bi Khadija Sista wa kikatoliki anasema hivi

"Wallahi! Mimi naona umekwishakuwa MTUME''”.

Utume alipewa na Agent kutoka Roma ,sista khadija
 
Back
Top Bottom