Digitaldreamer
Senior Member
- Jun 11, 2022
- 121
- 43
T
Je wewe una nini??
Toa maandiko acha porojo, waislamu wanaamini , mwanzo wake ulikuwa kwa nabii Adam na maandiko yapo.Biblia ipo kabla ya Uislamu,
Uislamu unakuja juzi juzi, Biblia tayari ipo duniani Ina miaka zaidi ya 2000
Je wewe una nini??