Hakuna ushahidi wowote kuwa waarabu ni ndugu wa waisrael wala walitokana na Ishmael ni hisia tu na mbinu na waarabu kujinasubisha na wayahudi
Uislam na waislam wanahangaika sana. Ni imani inayoshindwa kusimama yenyewe na kujitegemea. Inatafuta kujiegemeza kwenye ukristo, wakati ukristo na wakristo hawana habari nao kwa sababu wana uhakika na wanachokiamini.
Ukweli ni kwamba, katika biblia hakuna mahali popote unapotajwa uislam wala Muhammad.
Mtu amehangaika kuokoteza okoteza habari ili kumpamba Mohamad na uislam.
Yesu hajawahi kuwa nabii. Yesu ni masiha, ni Neno aliyekuwepo kabla hata Ulimwengu kuwapo.
Yesu siyo Isa wa Waislam. Isa wa Waislam ni nabii. Yesu ni Kristo Masiha, Mungu Pamoja Nasi. Aliyepewa mamlaka yote, Duniani na Mbinguni.
Mt 28:18
Yesu akaja kwao, akasema nao, akawaambia, Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani.
Tumwombe Mungu wa huruma, kwa neema zake, awafunulie wamtambue na kumpokea Mungu wa kweli, wamtambue Kristo katika ukweli wake.
Yn 14:6
Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.
Yohana 14:8-9
Filipo akamwambia, Bwana, tuonyeshe Baba, na yatutosha. Yesu akamwambia, Mimi nimekuwa pamoja nanyi siku hizi zote, wewe usinijue, Filipo? yeye aliyeniona mimi amemwona Baba; nawe wasemaje basi, Utuonyeshe Baba?
Wala msidanganyike kuwa Allah anayeabudiwa na waislam ndiye Mungu anayeabudiwa na Wakristo.
Quran inasema kuwa Allah ni bingwa wa uongo, wakati biblia inasema bingwa wa uongo ni shetani:
Yhn 8:
44 Ninyi ni watoto wa baba yenu shetani; kwa hiyo mnapenda kufanya maovu kama yeye. Tangu mwanzo yeye alikuwa muuaji na hana uhusiano wo wote na mambo ya kweli; kwa maana hana asili ya kusema lililo kweli. Shetani anapodanganya anadhihirisha asili yake kwa kuwa yeye ni mwongo na ni baba wa uongo.
Quran 1539.
Akasema: Mola wangu Mlezi! Ilivyo kuwa umenipotosha na kunitia makosani, basi nahakikisha nitawazaini hapa duniani na nitawapoteza wote,
Katika aya hapo juu, Shetani anasema kuwa, Allah ndiye aliye mpotosha na kumfanya awe mbaya. Kumbe Allah ndie mwanzislishi wa upotoshaji/uongo? Ushaidi zaidi utaupata katia Surah na aya zifuatazo 3:54, 3:54, 7:123, 13:42, 14:46, 16:26, 16:45, 27:50, 40:45, 71:22 impf. act. 6:123, 6:123, 6:124, 8:30, 8:30, 8:30, 10:21, 12:102, 16:127, 27:70, 35:10 n.vb. 7:99, 7:99, 7:123, 10:21, 10:21, 12:31, 13:33, 13:42, 14:46, 14:46, 14:46, 27:50, 27:50, 27:51, 34:33, 35:10, 35:43, 35:43, 71:22 pcple. act. 3:54, 8:30