Je, Injili Ilitabiri Ujio wa Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake)?

Je, Injili Ilitabiri Ujio wa Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake)?

WAANDISHI WA QURAN WAPISHANA

Quran 62 : 2 yeye ndiye aliye mpeleka mtume kwenye watu wasio jua kusoma awasomee aya zake na awatakase na awafunze kitabu na hikima ijapokuwa kabla ya haya walikuwa katika upotofu ulio dhaifu

WATU WENYEWE SASA 👇👇

Quran 21 :5 lakin wao walisema hizo ni ndoto za ovyo ovyo tu Bali amezizua tu Bali huyo ni mtunga mashairi basi atuletee miujiza Kama walivyotumwa wale wa mwanzo 🔔

Aya ya Kwanza inasema alitumwa kwa watu wasio jua kusoma yaan hawaelewi chochote kuhusu Mambo ya dini🔔

Lakin aya ya pili inatufumbua macho 👀 kuwa kumbe majamaa yalikuwa yanaelewa mwanzo mwisho kwamba Kumbe Kuna manabii walitumwa na wakafanya miujiza mingi

Kwamaana hiyo Hawa jamaa walikuwa na vitabu ambavyo wanavisoma vinaelezea history ya mitume na manabii wa mwanzo ✔️

WAANDISHI WAMETUPIGA CHANGA 😅😅
 
WAJUE WAANDISHI WA QURAN📚

kazi yangu ni kukwambia ukweli jukumu la kuamini au usiamini ni juu yako...

✍️Quran kwa kiswahili inaitwa "Fulkani" maana yake imechukua hapa kidogo na kule kidogo(maandishi mseto kwa kiarabu na kiurthu)

👉Quran imeandikwa na mikono ya watu kumi na wawili haikushushwa kutoka popote na baadae ikafanyiwa maboresho ,Soma 15:90-92 Quran.. Hawa ndio waandishi👇👇

1.IMRUL QAYS-mshairi: wa kale wa Arabia ambaye alifariki miaka michache kabla ya kuzaliwa Muhammad

2.ZAYD b.AMR b.NAUFAL-'lililopotoka' wa wakati wake ambaye alihubiri na kupandwa Hanifism

3.LABID-mshairi mwingine

4.HASAN b.THABIT:-mshairi rasmi wa Muhammad

5.SALMAN– Mshauri wa Kiajemi wa Muhammad

6.BAHIRA:-Nestoraian Mkristo mtawa wa Kanisa huko Syria

7.JABR:-Jirani wa Kikristo wa Muhammad

8.IBN QUMTA:-Mtumwa wa Kikristo

9.KHADIJA:-Mke wa kwanza wa Muhammad

10.BINAMU WARAQA:- Ndugu ya Khadija

11.UBAY b. Katibu Ka'ab;-Muhammad na Mwandishi wake

12.MUHAMMAD: – Mwenyewe.
(ushahidi Soma📚 khulaswa Nuurul Yaqiin)

👉Hii ndio sababu maandishi ya Quran yanajichanganya Sana

✍🏽ukitaka kupata ushahidi wa kimaandishi juu ya waandishi wa quraani ni akina nani kwa wewe muislamu usiangaike kwani ushahidi upo katka vitabu vyenu wenyewe tatizo hamusomi mna kalili tu baadhi ya aya na kuja kutu sumbua huku mitandaoni someni👇

"KHULASWA NUURUL YAQIIN" na kwa faida kuna lugha 4 zinazo fanana zililizo andika quraani + vitabu vya hadithi 40 ni lugha za arabic,urdhu,amharic na farsy zote zina fanana

NANI MSEMAJI WA QURAANI? ALLAH,MTUME,MALAIKA AU IBILISI?



View attachment 3261626
Hao ni waandishi wa Qur’an na si wenye kilichozungumzwa kwenye Qur’an halafu Mtume Muhammad alikuwa hajui kusoma wala kuandika aliandikaje Qur’an
 
JINSI WAANDISHI WA QURAN WALIVYO VURUGA KISA CHA LUTU (LUT'I,)

Quran 29:31__33 Na wajumbe wetu walipo mjia Ibrahim na bishara, walisema Hakika sisi hapana shaka tutawahiliki watu wa mji huu kwani watu wake hakika wamekuwa madhaalimu.

32 Akasema Hakika humo yumo Lut'i. Wao wakasema sisi tunajua zaidi nani yumo humo Hapana shaka tutamwokoa yeye na ahali zake isipo kuwa mkewe aliye miongoni mwa watao kaa nyuma.

33 Na wajumbe wetu walipo mfikia Lut'i, alihuzunika kwa ajili yao na moyo uliona dhiki kwa ajili yao wakasema usiogope wala usihuzunike hakika sisi tutakuokoa wewe na ahali zako ila mkeo aliye miongoni mwa watao kaa nyuma.

JE UMEGUNDUA NINI KATIKA AYA HIZI?? 👇👇👇

(1) Aya ya 31 Kwa maelezo yake Ibrahim na Lut'i, walikuwa mji mmoja 👇👉hakika sisi hapana shaka tutawahiliki watu wa mji #Huu

yaan maneno hayo anaambiwa Ibrahim

(2) Tatizo lingine👉 Aya 32 Inasema tutamuokoa yeye na ahali zake isipokuwa mkewe yeye ni katika watakao kaa nyuma

SWALI JE mke wa Lutu alikaa nyuma na nani? Na je alikaa nyuma kivip? Kwahyo katika kuongozana njiani wote mnapaswa kuwa mbele? Sasa mnatembeaje? 😀😀

(3) LUTU anaambiwa ataokolewa yeye na ahali zake isipokuwa mkewe atakae kaa nyuma swali hapa walikuwa wanatoa tahadhari gan kwa mke wa lutu?

Maana wanamtabiria mabaya tu je yeye ujumbe haukumfikia? Had asizingatie maagizo?
 
Kumbe maswahaba WA mtume wale waandishi WA Quran baadhi walikuwa wanafiki? Sasa kama mwandishi ni mnafik nitaamini vipi alicho kiandika
FB_IMG_1741282521692.jpg
 
Aya imekuja kukataza ulevi , na umewekewa hapo juu acha ujuaji.

Hizi sio zama za kumdanganya mtu , acha uvivu kasome tena.
Sifa za waandishi wa quran
5 93 quran
Si dhambi juu ya walio amini wakatenda mema kwa vile walivyo vila kabla ya kuharamishwa
Ufafanuzi
Aya hizi za kukataza ulevi kwa tashdidi hizi zimeteremka mwaka wa 6 wa al hijra baada ya maswahaba wengi wamekufa kataka hali yakuwa wakilewa" mwisho wa nukuu
Na miongoni mwao ndo waandishi wa quran eti muhammad akiwaambiwa kafunuliwa na mungu wao wana andika jamni 😂😂😂😂
Yaani walikuwa cha pombe 😂😂
Quran 47 15
Mfano wa pepo walizo ahidiwa wacha mungu wa kiislamu itakuwa hivii, imo mito ya maji yasiyo vunda ,mito ya maziwa yasiyo haribika radha yake na mito ya ulevi tena yenyye radha kwa wanywao
 
Aya imekuja kukataza ulevi , na umewekewa hapo juu acha ujuaji.

Hizi sio zama za kumdanganya mtu , acha uvivu kasome tena.

Kama na wewe uliwahi kuaminishwa kuwa quran ya makaratasi ilishushwa na mola wa waislam, basi jua huo ni uongo ulio dhahiri. Na sisi kazi zetu hapa duniani baada ya kuokoka ni kuharibu kazi za shetani ikiwemo uongo.

Basi hawa ndio waandishi wa kitabu kinachoitwa quran:

1. Ubay bin Khatib Ka'ab
2. Waraq
3. Ibn Qumta
4. Khadija
5. Mohamad
6. Jabir
7. Bahira
8. Salman
9. Hasan bin Thabit
10.Labid
11.Zayd bin Amr
12.Imru Qays
13.Sayyidna Ali
14.Sayyidna Uthman
15.Sayyidna Umar
16.Sayyidna Abubakar.

Vitabu vya kiislamu vinasema kuwa waandishi hawa walikuwa na shetani japo havikuandika wote moja kwa moja.
Mfano, ukisoma kitabu cha Maisha ya Mohammad UK 8 utamkuta mwandishi Abubakar akisema hivi, nanukuu:
"Abubakar anasema, Hakika mimi ninaye shetani Shetani, shetani hunifikia mara kwa mara..."
Lakini pia vitabu hivyo vinakiri kuwa hata Mohammad ni mbegu ya shetani kama Fat'hul Daary Juzuu ya 6 Uk389 kinavyosema:
"Abuu Huraira(ra) amesimlia kuwa,
Mtume Mohammad (saw) alikuwa na shetani tangu alipozaliwa"

Na hii ndiyo sababu Mohammad aliwakataza waislamu wasimtukane shetani katika kitabu cha Mkweli Mwaminifu Juzuu ya 3-4 Uk 95 Hadith No1000.
Turudi kwenye uandishi wa quran
Wapagani wa kale wao wanajua kabisa kuwa quran ni hadithi za kale, ama visa vya watu was kale (Qur'an 7:31, 23:83, 25:5, 27:60, 46:17, 68:15).
So quran siyo maneno ya Mungu, bali ni hadithi za visa vya watu wa kale, labda hizi ayat waislam wazifute kama walivyozoea kufutwa.
Ndugu msomaji, bila shaka utakuwa umegundua kitu hapo.
Hila za shetani kwa wanadamu ni nyingi na hapendi tumwabudu Mungu katika roho na kweli, na ndiyo maana anatumia uongo kuwapoteza watu kwa uongo huo wa kuaminishwa mafundisho potofu. Ili uzijue siri za Mungu, na njia yake sahihi, mwamini Yesu pekee!!
 
Quran ni picha isiyo Funguka❗

Waandishi wa Hadith Sahih Muslim na Bukhari walizaliwa na kufa Baada ya Muhamad amekwisha kufariki tayari ambae alikufa tarehe 8/632❗

Sahih Muslim alizaliwa mwaka 822 na akafa mwaka 870 na:-

Sahih al Bukhari alizaliwa mwaka 810 na kufa 870❗

Wote hao walizaliwa baada ya Muhamad kuwa ameshakufa hayupo duniani ❗

Hawa watu wote Hadith zao kwa nyakati tofauti zimo ndani ya Quran ambayo waislam wanadai Muhamad aliteremshiwa 😂

Mfano Hadith ya Sahih al Bukhari 402 kule chini ndio hiki kinatamkwa ktk quran 66:5,❗

Je hamuoni quran imeandikwa na watu Tena Baada ya Muhamad kutokuwepo❓

Majibu ya kunitukana hayana maana quran haisomeki ni tungo za wahuni alio waacha Muhamad, makhalifa😂🤣
 
Abdullah bin Abi Sarah, huyu alikuwa ni mmoja wa waandishi wa Qur'an ilipokuwa ikishushwa kwa mtume (saw), kwanini aliritadi??
Sijui Kama Unaifahamu Vizuri Historia ya Abdullah Bin Abi Sarah?
Ndugu Yangu Jackwillpower !

Ninayo Furaha Kukupa Historia Yake..

Kwanza Ni kweli Kabisa kwamba Abdullah bin Abi Sarah alikuwa mmoja wa waandishi wa wahyi wakati wa Mtume Muhammad . Alikuwa akiandika aya za Qur'an zilipokuwa zikishushwa kwa Mtume.

na Naomba Nikiri Tena Kuwa Ni kweli baadaye aliritadi na akajiunga na Maquraish, akawa mmoja wa wapinzani wa Uislamu.

Kuna Riwaya nyingi sana na Hadithi Nyingi sana Na Moja Ikiwa na Ya kwake Mwenyewe kuhusu sababu za yeye kuritadi, nitakupa moja ambayo ni maarugfu ni kwamba alipokuwa anahusika kwa namna fulani katika uandishi wa wahyi Inasemekana kuwa wakati akirekodi wahyi, alikuwa akipendekeza maneno mbadala au alihisi kuwa maneno aliyoyaandika yalikuwa na mchango wake binafsi..
yaani Kwa mfano.."Wahyi Umeshuka Unasema Mshukuruni Allah enyi watu" Yeye angesema Tusitumie Neno Mshukuru tutumie Himid au Vyovyote..

Sasa Ile kupewa Kuwa Mwandishi wa Wahyi akajiona Yeye ndp yeye Yaani Akajiona kama Kashakuwa Malaika, Akahisi Yeye ana mchango mkubwa kuhusu wahyi kuliko hata Mungu na Akaanza kutilia shaka juu ya uungu wa wahyi huo...Sasa ego na Kiburi Vikamjaa VIkamfanya ajitenge na Uislamu na kurejea kwa washirikina wa Makka.

Baada ya Fathu Makkah (ushindi wa Makka), Abdullah bin Abi Sarah alikuwa miongoni mwa wale waliotakiwa kuuawa kwa sababu ya usaliti wake.Ndugu yake wa kulelewa, Sayyidna Uthman bin Affan (RA), ambaye pia alikuwa Sahaba mkubwa na baadaye Khalifa wa tatu wa Uislamu, alimuombea msamaha kwa Mtume Muhammad...

Mtume alimsamehe, na baadaye alirejea katika Uislamu.

Na Kama Ulikuwa Hujui nakupa Hii ndugu yangu Jackwillpower Abdullah bin Abi Sarah aliishi kama Muislamu na hata akawa gavana wa Misri wakati wa utawala wa Khalifa Uthman bin Affan (RA)...

Nafik8ri sasa Umemjua Uliyemshtumu
 
Sifa za waandishi wa quran
5 93 quran
Si dhambi juu ya walio amini wakatenda mema kwa vile walivyo vila kabla ya kuharamishwa
Ufafanuzi
Aya hizi za kukataza ulevi kwa tashdidi hizi zimeteremka mwaka wa 6 wa al hijra baada ya maswahaba wengi wamekufa kataka hali yakuwa wakilewa" mwisho wa nukuu
Na miongoni mwao ndo waandishi wa quran eti muhammad akiwaambiwa kafunuliwa na mungu wao wana andika jamni 😂😂😂😂
Yaani walikuwa cha pombe 😂😂
Quran 47 15
Mfano wa pepo walizo ahidiwa wacha mungu wa kiislamu itakuwa hivii, imo mito ya maji yasiyo vunda ,mito ya maziwa yasiyo haribika radha yake na mito ya ulevi tena yenyye radha kwa wanywao
"Na Yehova wa majeshi atafanya kwa milima hii chakula cha sherehe kwa ajili ya watu wote, chakula cha mafuta, chakula cha divai ya kitalii, chakula kilicho na mafuta na divai safi iliyochanganywa." (Isaya 25:6)

"Lakini nawaambia, sitakunywa tena matunda ya mzabibu hivi karibuni, mpaka nitakapo kunywa pamoja nanyi divai mpya katika Ufalme wa Baba yangu." (Mathayo 26:29)
 
Quran ISSA BIN MARYAM KAANDIKA TAURAT UPYA 😐👇

Kwa maelezo ya waandishi Wa Quran nikwamba Issa Aliichakachua Taurati Yaan akatoa vya zaman akaweka vya kwake vipya

KUNA SWALI BAADA YA NUKUU👇

Quran 3:48-50 Na atamfunza kuandika na hikima na Taurati na Injili

👆Hapa Quran inasema Allah atamfundisha Isa Kuandika Taurati na Injili 👈

49 Na nimtume kwa wana Wa Israili kuwambia Mimi nimekujien na Ishara kutoka kwa mola mlezi wenu ya kwamba nakuundieni kwa udongo Kama sura ya ndege kisha nampuliza anakuwa ndege kwa idhin ya Mwenyezi Mungu Na ninawaponesha vipofu na tangu kuzaliwa na wakoma na ninawafufua maiti kwa Idhin ya Mwenyezi Mungu na ninakwambien. Mnacho kila na mnacho weka akiba katika nyumba zenu hakika Katika haya ipo ishara kwenu ikiwa nyinyi ni wenye kuamini.

50 Na ninasadikisha yalioyokuwa kabla yangu katika Taurati na ili nikuhalalishieni baadhi ya Yale mlio harimishwa na nimekujien na Ishara kutokana na mola mlezi wenu kwa hivyo mcheni Mwenyezi Mungu na Nitiini Mimi

👆Hapa Quran inasema Isa alisema amekuja Kuhalalisha baadhi ya yale yaliyo Harimishwa katika Torati

SASA LEO AJE MUUMINI MMOJA WA KIISLAM AJIBU HILI SWALI KAMA KWELI YEYE YUPO KWENYE IMANI SAHIHI 👇

Tutajie Aliyo Halalisha Issa Ambayo kwenye Taurati yaliharamishwa
Na akaharamisha yaliyo halalishwa kwenye Taurati

MAANA KWA MAELEZO YA KITABU CHENU NIKWAMBA ISA ALIIANDIKA TAURATI UPYA ILI KUBADILISHA BAADHI YA VITU AMBAVYO HAVIKUWA SAWA NDANI YA TAURATI

(Toa. Majibu Sio Malalamiko)
 
Aya imekuja kukataza ulevi , na umewekewa hapo juu acha ujuaji.

Hizi sio zama za kumdanganya mtu , acha uvivu kasome tena.
NI MOJA WAPO KATI YA WALE WAANDISHI WA QURAN ALL-WALIID ALIKUWA MLEVI ALIKUWA ANAONGOZA SALA UKU KALEWA USHAIDI HU HAPA!!

FB_IMG_1741283146292.jpg
 
Waandishi wa Qurani walikuwa kweli Walevi

Kwa mjibu wa Quran 87:18-19

IBRAHIMU NA MUSA walipewa Vitabu

Tunafaham kuwa Musa Na Kitabu cha TORAT ✔️

Je Ibrahimu na Kitabu gan????

👇👇👇18 Hakika haya yamo Katika Vitabu vya Mwanzo

19 Vitabu vya Ibrahimu na Musa
😁😁

HAYA NYIE WAFUASI WA HII IMAN YA KIISLAM TOEN MAJIBU

KITABU CHA IBRAHIMU KINAITWAJE 🤔🤔🤔

Mkishindwa Majibu maana eke Waandishi wa Quran waongo❌
 
Back
Top Bottom