Digitaldreamer
Senior Member
- Jun 11, 2022
- 121
- 43
Nimekwambia thibitisha kuwa alikuwa ni mungu aliye mtoto wa mungu
Na wakati huo haamini utatu , katika majibu yake anajinasibisha na utatu , huyu haelewi hata anachokijibu, arudi akasome.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekwambia thibitisha kuwa alikuwa ni mungu aliye mtoto wa mungu
Umewekewa aya hapo juu, bila ya kusoma unaleta ujuaji, weka uthibitisho unaosema, hao maswahaba walikuwa walevi.Kasome utaelewa waliandika walikuwa Walevi pia
Hao ni waandishi wa Qur’an na si wenye kilichozungumzwa kwenye Qur’an halafu Mtume Muhammad alikuwa hajui kusoma wala kuandika aliandikaje Qur’anWAJUE WAANDISHI WA QURAN📚
kazi yangu ni kukwambia ukweli jukumu la kuamini au usiamini ni juu yako...
✍️Quran kwa kiswahili inaitwa "Fulkani" maana yake imechukua hapa kidogo na kule kidogo(maandishi mseto kwa kiarabu na kiurthu)
👉Quran imeandikwa na mikono ya watu kumi na wawili haikushushwa kutoka popote na baadae ikafanyiwa maboresho ,Soma 15:90-92 Quran.. Hawa ndio waandishi👇👇
1.IMRUL QAYS-mshairi: wa kale wa Arabia ambaye alifariki miaka michache kabla ya kuzaliwa Muhammad
2.ZAYD b.AMR b.NAUFAL-'lililopotoka' wa wakati wake ambaye alihubiri na kupandwa Hanifism
3.LABID-mshairi mwingine
4.HASAN b.THABIT:-mshairi rasmi wa Muhammad
5.SALMAN– Mshauri wa Kiajemi wa Muhammad
6.BAHIRA:-Nestoraian Mkristo mtawa wa Kanisa huko Syria
7.JABR:-Jirani wa Kikristo wa Muhammad
8.IBN QUMTA:-Mtumwa wa Kikristo
9.KHADIJA:-Mke wa kwanza wa Muhammad
10.BINAMU WARAQA:- Ndugu ya Khadija
11.UBAY b. Katibu Ka'ab;-Muhammad na Mwandishi wake
12.MUHAMMAD: – Mwenyewe.
(ushahidi Soma📚 khulaswa Nuurul Yaqiin)
👉Hii ndio sababu maandishi ya Quran yanajichanganya Sana
✍🏽ukitaka kupata ushahidi wa kimaandishi juu ya waandishi wa quraani ni akina nani kwa wewe muislamu usiangaike kwani ushahidi upo katka vitabu vyenu wenyewe tatizo hamusomi mna kalili tu baadhi ya aya na kuja kutu sumbua huku mitandaoni someni👇
"KHULASWA NUURUL YAQIIN" na kwa faida kuna lugha 4 zinazo fanana zililizo andika quraani + vitabu vya hadithi 40 ni lugha za arabic,urdhu,amharic na farsy zote zina fanana
NANI MSEMAJI WA QURAANI? ALLAH,MTUME,MALAIKA AU IBILISI?
View attachment 3261626
Aya imekuja kukataza ulevi , na umewekewa hapo juu acha ujuaji.Kasome utaelewa waliandika walikuwa Walevi pia
For sureNa wakati huo haamini utatu , katika majibu yake anajinasibisha na utatu , huyu haelewi hata anachokijibu, arudi akasome.
Sifa za waandishi wa quranAya imekuja kukataza ulevi , na umewekewa hapo juu acha ujuaji.
Hizi sio zama za kumdanganya mtu , acha uvivu kasome tena.
Thibitisha kuwa maswahaba waliokopi Qur’an walikuwa miongoni mwa wanafikiKumbe maswahaba WA mtume wale waandishi WA Quran baadhi walikuwa wanafiki? Sasa kama mwandishi ni mnafik nitaamini vipi alicho kiandika
View attachment 3261636
Aya imekuja kukataza ulevi , na umewekewa hapo juu acha ujuaji.
Hizi sio zama za kumdanganya mtu , acha uvivu kasome tena.
Waniuliza Mimi tenaThibitisha kuwa maswahaba waliokopi Qur’an walikuwa miongoni mwa wanafiki
Sijui Kama Unaifahamu Vizuri Historia ya Abdullah Bin Abi Sarah?Abdullah bin Abi Sarah, huyu alikuwa ni mmoja wa waandishi wa Qur'an ilipokuwa ikishushwa kwa mtume (saw), kwanini aliritadi??
"Na Yehova wa majeshi atafanya kwa milima hii chakula cha sherehe kwa ajili ya watu wote, chakula cha mafuta, chakula cha divai ya kitalii, chakula kilicho na mafuta na divai safi iliyochanganywa." (Isaya 25:6)Sifa za waandishi wa quran
5 93 quran
Si dhambi juu ya walio amini wakatenda mema kwa vile walivyo vila kabla ya kuharamishwa
Ufafanuzi
Aya hizi za kukataza ulevi kwa tashdidi hizi zimeteremka mwaka wa 6 wa al hijra baada ya maswahaba wengi wamekufa kataka hali yakuwa wakilewa" mwisho wa nukuu
Na miongoni mwao ndo waandishi wa quran eti muhammad akiwaambiwa kafunuliwa na mungu wao wana andika jamni 😂😂😂😂
Yaani walikuwa cha pombe 😂😂
Quran 47 15
Mfano wa pepo walizo ahidiwa wacha mungu wa kiislamu itakuwa hivii, imo mito ya maji yasiyo vunda ,mito ya maziwa yasiyo haribika radha yake na mito ya ulevi tena yenyye radha kwa wanywao
Wewe si ndiye uliyeleta hojaWaniuliza Mimi tena
NI MOJA WAPO KATI YA WALE WAANDISHI WA QURAN ALL-WALIID ALIKUWA MLEVI ALIKUWA ANAONGOZA SALA UKU KALEWA USHAIDI HU HAPA!!Aya imekuja kukataza ulevi , na umewekewa hapo juu acha ujuaji.
Hizi sio zama za kumdanganya mtu , acha uvivu kasome tena.