Je, Injili Ilitabiri Ujio wa Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake)?

Hakuna andiko lolote ktk Biblia linamzungumzia mtume Mohamed.
 
Na kuran ikapita na hivyo vitabu vyote waka edit kwa maslahi yao waarabu
 
Hakuna sehemu(andiko) wanayoaminishwa kuwa quran, ilishushwa ikiwa kwenye makaratasi.

Kama una uthibitisho wa hili leta , zaidi ya hapo ni muendelezo wa porojo zako.

Kasome ndugu acha kunakili , usivyo na ufahamu navyo , Jackwillpower kwa mfano ukishasema mimi ni mwizi , leta uthibitisho wa kuaminisha madai yako.
 
Katafute na usome historia ya quran, kama una uthibitisho wa madai yako leta , zaidi ya hapo ni porojo tupu
Ililetwa na mapepo huko kwenye mapango........na yakakopi vitabu vya wakristo na wayahudi....ndo maana imekuja mwishoni kabisa
 
Huu ni muendelezo wa porojo zako , kasome ndugu , unanukuu aya chache alafu unajiuliza maswali.
Ndugu hapa chini katoa majibu mazuri kabisa.
Umemjibu vizuri sana, baada ya kuwa amesoma aya chache ameanza kujiuliza maswali .

Mwisho wa siku hajaelewa kabsa, je kama angemalizia sura yote , asingepata kuelewa chochote??

Kwa kuwa lengo ni kukejeli , badala ya kujibu hoja kwa hoja , na imani amepata majibu mazuri kabisa Jackwillpower
 
Adonai (Bwana). Baadaye, neno hilo liliandikwa kwa matamshi yaliyokaribiana na Yahweh na kisha likachanganywa na vokali za Adonai, likazalisha jina Jehovah, ambalo ni tafsiri katika baadhi ya lugha za Magharibi.
Hayo ni maekezo yako unasema Adonai na Yahweh yakachanganywa ndio likazalisha jina JEHOVAH

Huyo aliyoifanya hiyo kazi ya kukutengenezeeni jina JEHOVAH alafu ndio akakuambieni ni jina Mungu ni nani?

Mtu kama wewe mbumbu ndio unakubali jina la Mungu lilitengenezwa na binadamu mwenzako

Ila wenzanko wagalatia wenye akili kidogo walijua kuwa hapo warumi wamewapiga wakalikataa jina JEHOVAH

Most countries that use the Bible in their native language do not use the word "Jehovah" because it is considered a mistranslation of the Hebrew name for God, "Yahweh," and is often replaced with "Lord" or the equivalent in their language; this is especially true in scholarly translations and many traditional Christian denominations.

Yani wewe ni mgalatia mbumbu wa mambumbu ndio maana mishipa ya shingo inakutoka kusema eti Jehovah ni jina la Mungu

Hivi unajua kwanini warumi wakakuletea jina la JEHOVAH badala ya Elohim au Adonai?

ELOHIM ni Mungu muumba wa Kila kitu ambaye ni mmoja tu

Adonai maana yake ni Bwana mmoja tu

Elohim ni Mungu mmoja muumba wa Kila kitu na Adonai ni bwana mmoja anayeishimiwa na viumbe vyote

Kwahiyo kama warumi wangekuambia Mungu wako ni Elohim au Adonai automatically ukristo ungekuwa ni dini ya Mungu mmoja wakati misingi ya ukristo ni Miungu mitatu

Ndio mkaletewa hilo jina JEHOVAH
Ili wakuchanganyeni kirahisi
Hapo Sasa mkiambiwa Kuna Mungu baba , mwana na Mungu roho mtakatifu ambaye ndio JEHOVAH ni sawa maana JEHOVAH ni jina la kuchongwa
 
Unahoja ndugu

Hizi ni kejeli , ndo maana bora uamini , unachokiamini.
Usilazimishe watu kile ambacho hukiamini, bila ya kuwa na udhibisho .
Nani kalazimishwa?

Wanaolazimisha dini ni uislamu ,ukiritadi wanataka kukuua

Hata Mimi niriporitad waliniletea vitisho

Hakuna anayelazimiahwa dini kwenye ukristo

 
Kwamba Sheria za Allah zinachagua location 🤣🤣

Uislamu ni dini ya ujanjaujanja hili nitalisema sana

Namshukuru Yesu kunitoa kwenye dini ya kipagani uislamu
 
Kwamba Sheria za Allah zinachagua location 🤣🤣

Uislamu ni dini ya ujanjaujanja hili nitalisema sana

Namshukuru Yesu kunitoa kwenye dini ya kipagani uislamu
Sasa wewe kwa akili yako , unahisi katiba ya Tanzania inaweza ikaendana na sheria za kiislam ??
Mtu auwawe kisa dini, wakati kila nchi ina sheria yake , huu ni muendelezo wa porojo zako , shutka kijana.

Sawa anaweza akauawa , lakini muuaji mwisho wa siku atahukumiwa na sheria za kiraia , tofauti nchi chache za kiislamu zinaongozwa na sheria ya kiislamu .

Hata hizi sheria za kiraia , kutegemeana na makosa kuna kuhumu ya kifo.

Wayahudi nao walikuwa na sheria zao kifo kwenye msalaba kutegemeana na makosa.

Kiufupi hukumu ya kifo haina maajabu.
 
Sasa wewe kwa akili yako , unahisi katiba ya Tanzania inaweza ikaendana na sheria za kiislam ??
Mtu auwawe kisa dini, wakati kila nchi ina sheria yake , huu ni muendelezo wa porojo zako , shutka kijana.
Basi hiyo dini Ina matobo haijiwezi

Kwahiyo mpo tayari mbatilishe Sheria za Allah kisa katiba ya CCM🤣🤣

Hii dini hapana kwakweli 🙌 🙌
 
N
Sasa wewe kwa akili yako , unahisi katiba ya Tanzania inaweza ikaendana na sheria za kiislam ??
Mtu auwawe kisa dini, wakati kila nchi ina sheria yake , huu ni muendelezo wa porojo zako , shutka kijana.
Na maelezo uliyotuma kwenye hiyo picha yanajielaeza , vizuri acha ujuaji
 
Basi hiyo dini Ina matobo haijiwezi

InKwahiyo mpo tayari mbatilishe Sheria za Allah kisa katiba ya CCM🤣🤣

a Hii dini hapana kwakweli 🙌 🙌
Sheria zinajieleza , na katika kila nchi kuna sheria yake.
Kuna nchi zinatumia sheria za kiislamu na zingine zinatumia sheria za kiraia.

Sasa wewe kwa ujuaji wako, hii Tanzania ina sheria za kiislam??
Nina atakayewajibika na mambo ya dini ?

Hakuna mtu anayebalisha sheria za dini , ila kuna mtu anayefuata sheria za hivyo , atakuja kuhukumiwa kwa sheria za kiraia , je nina anayewajibika kwa hili.

Watakuja wakujibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…