Wafia dini hao.....tena kwa kipindi hiki wengine hadi wanalipwa kwa hizi propagandaAchana na vitabu ishi ktk uhalisia siyo kukalilishwa kwenda kanisani au msikitini siyo imani bali ni utamaduni wa wazungu na waarabu kama ilivyo kwa waafrika kuabudu chini ya miti au milima na wakafanikiwa,wewe uliye na imani ya kikristo au kiislamu unanini cha tofauti kuwashinda wasiyoamini ktk ukristo au uislam?
Ujinga ukizidi ni dhambi!!
Huwezi kuamini ktk kusomaa tuuu na kufuata mkumbo kama kondoo kwa kuhubiriwa na kukaririshwa ujinga hivi kama Mungu ni mmoja iweje kuwe na watu wenye kuabudu tofauti wakati wote ni wamoja tena wanaabudu kwa makundi na kupingana?Ndo ulichobakia nacho , tafuta hoja uache kukejeli na ukasome.
Ndo maana hapo kuna swali kubwa imani ni nini?Achana na vitabu ishi ktk uhalisia siyo kukalilishwa kwenda kanisani au msikitini siyo imani bali ni utamaduni wa wazungu na waarabu kama ilivyo kwa waafrika kuabudu chini ya miti au milima na wakafanikiwa,wewe uliye na imani ya kikristo au kiislamu unanini cha tofauti kuwashinda wasiyoamini ktk ukristo au uislam?
Ujinga ukizidi ni dhambi!!
Mtu huamini miongozo na misingi ya dini fulani ambayo wao wanaitegemea katika maisha yao ya kiimani( ima ni ukristo , uislamu au uyahudi na wengine pia)Huwezi kuamini ktk kusomaa tuuu na kufuata mkumbo kama kondoo kwa kuhubiriwa na kukaririshwa ujinga hivi kama Mungu ni mmoja iweje kuwe na watu wenye kuabudu tofauti wakati wote ni wamoja tena wanaabudu kwa makundi na kupingana?
Waafrika mmelaaniwa!!
Unagangania Luti Luti ! Lete hoja . Luti Yes alitembelewa na Malaika wapi Magetoni kwake, Mtume alikutana na Malaika wapi ?? Mapangoni...... Luti Magetoni kwake akiwa na mke watoto na ata marafiki na mahouse boy/ girls wake..... kuna ushaidi ndo maana unangangania Luti Luti, Mtume Akiwa anakutana na malaika mapangoni alikuwa na nani?? Yesu anajua kusoma na kuandika... Mtume ajui soma wala kuandika.....Kwanini luti ambaye ni mzungu ndiyo atembelewe na malaika asiwe mwafrika yeyote?kwanini hayo unayoaminishwa yasizunguke hewani yaandikwe tu kwenye kitabu ambacho kinashuhudia matendo yooote kuwa yamefanywa na wazungu tu??situka!!
Wewe mwafrika unayejinadi eti mkristo na muislam ni mjinga usiye na fikra na akili.Hoja ili kutetea mababu za watu? Hoja ndo hizo mlizoandikiwa huko mkitabu m1 alipewa mtu alibanwa na mapepo huko mapangoni halafu akaja kunakiri vitabu vya wenzie waliomtangulia hio ndo hoja....bila biblia ,bila torati hakuna uislam hakuna kuran
Aiji akilini Shetani huyu huyu anaefanya watu wamkosee MUNGU wa Kweli hili waje Watupwe Motoni mwa Milele yalipo makazi yake... Akakusaidia wewe na kushiriki katika kukupeleka kwenye Pepo ya Mungu wa kweli😀kuna Mji una Msikiti uliopewa hadhi ya kumtukuza na kumfanya SHETANI kama mmoja wa Waamini wa Mungu.... Shetani Pepo yake ni Moto wa Milele! So yeyote yule anaeshikamana nae kwa namna moja ama nyingine na yeye ni Wa Shetani..Simple: uwezi kula Nyama ya Ngombe yenye Kimeta ukahepuka kimeta.Unagangania Luti Luti ! Lete hoja . Luti Yes alitembelewa na Malaika wapi Magetoni kwake, Mtume alikutana na Malaika wapi ?? Mapangoni...... Luti Magetoni kwake akiwa na mke watoto na ata marafiki na mahouse boy/ girls wake..... kuna ushaidi ndo maana unangangania Luti Luti, Mtume Akiwa anakutana na malaika mapangoni alikuwa na nani?? Yesu anajua kusoma na kuandika... Mtume ajui soma wala kuandika.....
Mt 15:14 Waacheni; hao ni viongozi vipofu wa vipofu. Na kipofu akimwongoza kipofu mwenzake, watatumbukia shimoni wote wawili. | Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV) | Pata programu ya bure ya Bibilia sasa hivi.
Na kipofu akimwongoza kipofu mwenzake, watatumbukia shimoni wote wawili.nionyeshe Rafiki zako! Nikujuwe wewe ni watabia gani🤣
Luka 6:39 Akawaambia mfano huu: “Je, kipofu anaweza kumwongoza ...
Akawaambia mfano huu: “Je, kipofu anaweza kumwongoza kipofu mwenzake? La! Wote wataanguka shimoni.
Majini - ni Mapepo/ Shetani alielaaniwa na Mungu na kutupwa kwenye lile ziwa la moto- aiingii akilini Mtu kutetea Mashetani eti ni umma wa Mwenyezi Mungu! Yeyote anaeshiriki na Mashetani kwenye Ibada ya Mungu wa kweli ayupo
View: https://www.youtube.com/watch?v=jPi5CicFiyk
Wewe mwafrika unayejinadi eti mkristo na muislam ni mjinga usiye na fikra na akili.Hoja ili kutetea mababu za watu? Hoja ndo hizo mlizoandikiwa huko mkitabu m1 alipewa mtu alibanwa na mapepo huko mapangoni halafu akaja kunakiri vitabu vya wenzie waliomtangulia hio ndo hoja....bila biblia ,bila torati hakuna uislam hakuna kuran
Kumbe hauna hoja ila umeamua tu kupotosha ukweli.Kwani kuna ulazima.....au mnataka kuanza kurusha mawe.....neno langu ndo sheria imeshapita hio
Acha kuamini kwa kila unachoandikiwa na kulishwa DADISI na kujiongeza kwa kushirikisha ubongo wako huyo shetani ni wewe mwenyewe na utakuwa shetani iwapo utafanya mayendo mabaya dhidi ya wenzako.Aiji akilini Shetani huyu huyu anaefanya watu wamkosee MUNGU wa Kweli hili waje Watupwe Motoni mwa Milele yalipo makazi yake... Akakusaidia wewe na kushiriki katika kukupeleka kwenye Pepo ya Mungu wa kweli😀kuna Mji una Msikiti uliopewa hadhi ya kumtukuza na kumfanya SHETANI kama mmoja wa Waamini wa Mungu.... Shetani Pepo yake ni Moto wa Milele! So yeyote yule anaeshikamana nae kwa namna moja ama nyingine na yeye ni Wa Shetani..Simple: uwezi kula Nyama ya Ngombe yenye Kimeta ukahepuka kimeta.
Katika Matayo 12:24, Yesu amekataa 100% kuwa Yeye ana any power au Mahusiano na Shetani - Shetani ambaye YULE ANAEDAI KUWA NDO MTUME WA MWISHO KUJA DUNIANI NI PARTAND PARCEL
Achana na hadithi za kusadikika mzee "yesu akawaambiaa..." kina nani Waafrika au mbwa,miti,nk ??Unagangania Luti Luti ! Lete hoja . Luti Yes alitembelewa na Malaika wapi Magetoni kwake, Mtume alikutana na Malaika wapi ?? Mapangoni...... Luti Magetoni kwake akiwa na mke watoto na ata marafiki na mahouse boy/ girls wake..... kuna ushaidi ndo maana unangangania Luti Luti, Mtume Akiwa anakutana na malaika mapangoni alikuwa na nani?? Yesu anajua kusoma na kuandika... Mtume ajui soma wala kuandika.....
Mt 15:14 Waacheni; hao ni viongozi vipofu wa vipofu. Na kipofu akimwongoza kipofu mwenzake, watatumbukia shimoni wote wawili. | Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV) | Pata programu ya bure ya Bibilia sasa hivi.
Na kipofu akimwongoza kipofu mwenzake, watatumbukia shimoni wote wawili.nionyeshe Rafiki zako! Nikujuwe wewe ni watabia gani🤣
Luka 6:39 Akawaambia mfano huu: “Je, kipofu anaweza kumwongoza ...
Akawaambia mfano huu: “Je, kipofu anaweza kumwongoza kipofu mwenzake? La! Wote wataanguka shimoni.
Majini - ni Mapepo/ Shetani alielaaniwa na Mungu na kutupwa kwenye lile ziwa la moto- aiingii akilini Mtu kutetea Mashetani eti ni umma wa Mwenyezi Mungu! Yeyote anaeshiriki na Mashetani kwenye Ibada ya Mungu wa kweli ayupo
View: https://www.youtube.com/watch?v=jPi5CicFiyk
Madude yoote hayo unaandika ili kutetea babu wa mzungu na mwarabuWewe mwafrika unayejinadi eti mkristo na muislam ni mjinga usiye na fikra na akili.
Leo hii ukizaa mtoto ukamiacha tu akue ktk uhuru wake bila kumlisha huo ujinga wako je ataabudu ktk ukristo au uislam au uafrika?
Tatizo mmelishwa na kuabudishwa ujinga na mmeshindwa kudadisi na kutafuta ukweli kwa kuamini kilichoandikwa kwenye biblia na quruan ndiyo Umungu na njia yake ya kufanikiwa.
Muislam yeyote lazima awe na vinasaba vya UARABU vya ukoo wa ISLAM ambao ni waarabu na mkristo yeyote lazima awe na vinasaba vya UZUNGU na awe wa ukoo wa KRISTO ambaye ni mzungu ,sasa wewe mwafrika unakomaa kuabudu uislam na ukristo unavinadaba nao??
Kuamini tu bila kuhoji,kutafakari,kufikiri na kudadisi ni ujinga na ujinga ni dhambi kwani hutaki kuutumikisha ubongo wako uliopewa na Mungu huwezi kuwa karibu na Mungu kwa kupitia vitabu vilivyoandikwa na mtu kama wewe na kujiita mwana wa ADAMu ikimaanisha umetokana na adamu ambaye ni mzungu wakati wewe ni Mwafrika na ni MTU huu ujinga ndiyo unakugharimu Mwafrika.
Jitafakarini Waafrika Uislam na Ukristo siyo chimbuko lako rudi kwenye asili yako.
Ukweli ni katika kichwa chako....ukweli ulio kwako sio ukweli ulio kwangu ndo maana hata sina hoja maana tayari wameshaku program unavyotakiwa kua na umekua hivyo ,kwahio hoja zangu haziwezi kubadilisha programming yako zaidi tu labda tupeane porojo ili kukazia swaumu muda uendeKumbe hauna hoja ila umeamua tu kupotosha ukweli.
Wewe mwafrika unayejinadi eti mkristo na muislam ni mjinga usiye na fikra na akili.Hoja ili kutetea mababu za watu? Hoja ndo hizo mlizoandikiwa huko mkitabu m1 alipewa mtu alibanwa na mapepo huko mapangoni halafu akaja kunakiri vitabu vya wenzie waliomtangulia hio ndo hoja....bila biblia ,bila torati hakuna uislam hakuna kuran
Oya vipi ulipitiwa hukula daku usiku?Wewe mwafrika unayejinadi eti mkristo na muislam ni mjinga usiye na fikra na akili.
Leo hii ukizaa mtoto ukamiacha tu akue ktk uhuru wake bila kumlisha huo ujinga wako je ataabudu ktk ukristo au uislam au uafrika?
Tatizo mmelishwa na kuabudishwa ujinga na mmeshindwa kudadisi na kutafuta ukweli kwa kuamini kilichoandikwa kwenye biblia na quruan ndiyo Umungu na njia yake ya kufanikiwa.
Muislam yeyote lazima awe na vinasaba vya UARABU vya ukoo wa ISLAM ambao ni waarabu na mkristo yeyote lazima awe na vinasaba vya UZUNGU na awe wa ukoo wa KRISTO ambaye ni mzungu ,sasa wewe mwafrika unakomaa kuabudu uislam na ukristo kvp?
Kwaakili zako na upeo finyu ndivyo ulivyoona inakufaa kuelewa huna ufikiri wa kiakili uliozakiwa nao bali unaburuzwa kama kondooo na kujiita kondoo wa bwanaMadude yoote hayo unaandika ili kutetea babu wa mzungu na mwarabu
Piga makofi tafadhali......hapo umetokwa na povu la kiwango cha 5G.....kajipatie ka gilasi ka gongo ushushe pureshaKwaakili zako na upeo finyu ndivyo ulivyoona inakufaa kuelewa huna ufikiri wa kiakili uliozakiwa nao bali unaburuzwa kama kondooo na kujiita kondoo wa bwana
Kwa Ujinga ulionao unaona na kuamini kuwa hata daku ni maelekezo ya MunguOya vipi ulipitiwa hukula daku usiku?
Piga makofi tafadhali......hapo umetokwa na povu la kiwango cha 5G.....kajipatie ka gilasi ka gongo ushushe puresha
Siishi na sitoishi kwa maelekezo ya wafia dini kama wewe,ni kuwachana tu,kampe bwanako gongo akushushe pressurePiga makofi tafadhali......hapo umetokwa na povu la kiwango cha 5G.....kajipatie ka gilasi ka gongo ushushe puresha
Akili yako na upeo wako wa kufikiri ni mdogo sana umeshindwa kutambua "swaumu" ni neno tu halina umuhimu wowote ktk kufunga na kufunga hakuanzisha muhamad kama ulivyokaririshwa bali ni TIBA ambayo ulimwenguni kote jamii iliitumia kujitibu ikiwemo mababu na mabibi zetu wa AfrikaUkweli ni katika kichwa chako....ukweli ulio kwako sio ukweli ulio kwangu ndo maana hata sina hoja maana tayari wameshaku program unavyotakiwa kua na umekua hivyo ,kwahio hoja zangu haziwezi kubadilisha programming yako zaidi tu labda tupeane porojo ili kukazia swaumu muda uende