Wewe mwafrika unayejinadi eti mkristo na muislam ni mjinga usiye na fikra na akili.
Leo hii ukizaa mtoto ukamiacha tu akue ktk uhuru wake bila kumlisha huo ujinga wako je ataabudu ktk ukristo au uislam au uafrika?
Tatizo mmelishwa na kuabudishwa ujinga na mmeshindwa kudadisi na kutafuta ukweli kwa kuamini kilichoandikwa kwenye biblia na quruan ndiyo Umungu na njia yake ya kufanikiwa.
Muislam yeyote lazima awe na vinasaba vya UARABU vya ukoo wa ISLAM ambao ni waarabu na mkristo yeyote lazima awe na vinasaba vya UZUNGU na awe wa ukoo wa KRISTO ambaye ni mzungu ,sasa wewe mwafrika unakomaa kuabudu uislam na ukristo unavinadaba nao??
Kuamini tu bila kuhoji,kutafakari,kufikiri na kudadisi ni ujinga na ujinga ni dhambi kwani hutaki kuutumikisha ubongo wako uliopewa na Mungu huwezi kuwa karibu na Mungu kwa kupitia vitabu vilivyoandikwa na mtu kama wewe na kujiita mwana wa ADAMu ikimaanisha umetokana na adamu ambaye ni mzungu wakati wewe ni Mwafrika na ni MTU huu ujinga ndiyo unakugharimu Mwafrika.
Jitafakarini Waafrika Uislam na Ukristo siyo chimbuko lako rudi kwenye asili yako.