Je, Injili Ilitabiri Ujio wa Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake)?

Habari za ISSA WA waislam zipo hapa ...Surat MARYAM 19:19-25...zinamuelezea ISSA vizuri kabisa....Na habari nyingine inayoonyesha wazazi WA Huyo ISSA iko hapa .... MARYAM 19:28 ndani ya daftari linaloitwa Quran....ISSA ni WA kwenye quran tu.ni fake character...Na amekuwa fake Kwa Sababu mwanzilishi WA uislam hatothubutu kutumia jina la YESU kamwe,,, anamjua YESU ni Nani...
 
Nikuulize wewe yesu ni nani?
 
Huyu Mwandishi Luka anaripoti yaliyojiri huko enzi hizo kabla hata ya Mohamad
LUKA 24:44-49
Kisha Yesu akawaambia.Hayo ndiyo maneno yangu niliyo waambia nilipokuwa nikali pamoja nanyi ya kwamba ni lazima yatimizwe yote niliyobakiwa katika Torati ya Musa,na katika manabii na Zaburi

Ndipo akawafunulia akili zao wapate kuelewa na maandiko

akawaeleza ndiyo ilivyoandikwa kwamba Kristo atateswa na kufufuka siku ya tatu ,na kwamba mataifa yote watahubiriwa kwa jina lake ,habari ya toba na ondoleo La dhambi,kuanza tangu Yerusalem

nanyi (mitume)ndinyi mashahidi wa mambo haya

na tazama,nawaletea juu yenu nguvu (Roho Mtakatifu ) ahadi ya Baba yangu(Mungu )
Lakini kaeni humu mjini hata mvikwe uweza utokao juu


Ndiyo huyo aliyekuwa anaongelewa kwenye Kumbukumbu la Torati 18:18
na hao mitume ndio walikuwa miongoni mwa ndugu zake

Sasa huyo Mohammad sijui anaingiaje hapo
 
Yesu alikufa na kufufka kama ilivyotabiliwa,na akapaambingunu..point of collection
Namshukuru Mungu kwa jina la Yesu natoa pepo. Kama Yesu hakufufuka hakuna sababu ya kumwamini lakini tunaomwamini Yesu sisi ni mashahidi pale tunapolitaja jina lake
 
Je Lengo la Muumba kuruhusu uwepo wa dini tofauti ambazo watu wa miaka ya mbele wanakuja kupata mkanganyiko ni nini?
Allah hajaruhusu mikanganyiko ndio maana kila Umma ukapewa mtume wake pale unapo ng'ang'ania kumfata Mtume ambea Muda wake umekwishi ndio twaiyona mikanganyiko hii.
 
Kama hakuna uhalali huo iweje utumie vitavu visivyo na uhalali kuhalalisha hoja yako.

Nadhani utakua na ugonjwa wa akili.
 
Kumbuka kuwa Yesu alipewa Injili na sio biblia

Ila Biblia kwa mujibu was maelezo yenu ni mkusanyiko wa vitabu vya mitume waliopita

Swali mlikusanya ili iweje?

Sheria za injili peke yake hazitoshi?

Ni hivi. Ukisema Injili ndiyo Maneno na Matendo ya Yesu Kristo mwenyewe aliyoyaongea na kuyatenda akiwa hapa duniani. Hakupewa wala kushushiwa kama Mtume wenu. Cha kufurahisha ni kwamba, injilo haikinzani na vitabu vya Agano la Kale, bali translation na simplification ya facts tu.
 
Unaweza kuweka mistari iliyomtabiria yesu ujio wake

Kutoka kwenye Bibkia naweza, uchoke tu mwenyewe maana iko mingi kweli, baada ya hapo nitakuwekea na mstari wa injili ambao Yesu mwenyewe alijitambulisha kuwa mimi ndimi niliyetabiriwa.

Ila uwe na hiyo biblia siyo nihangaike kuweka hapa halafu wewe unaenda kusoma kwenye Quran 🤣🤣. Hii itakuwa ni utani.
 
Hawezi kuutumia ukristo na biblia kumuelezea Muhammad Labda Uwe na akili ya mbuni... Waislam jikiteni kuutafuta ukweli mmoja mchungu ALLAH SUBHANA WATAALA NI NANI???? Mkijua ASW ni Nani mtajua pia aliemtuma Muhammad ni Nani?? **Aliewaletea jiwe La hajar al aswad ni Nani??
***Aliewadanganya kwamba majini ni ndugu zenu ni nani??
***Aliekuwa Mungu WA walioswali uchi kwenye msikiti wenu WA al Kaaba wenye jiwe mnalolisujudia Hadi Leo (na waswali uchi wakilibusu kulizunguka na kulisujudia kama Waislam WA Leo)) Asw ni Nani??
***Kwa nini Allah subhana ana majina karibu matano yanayofanana na majina ya makundi ya majini???Yeye Asw ana majina 99 na makundi ya majini yako 99???
 
Allah hajaruhusu mikanganyiko ndio maana kila Umma ukapewa mtume wake pale unapo ng'ang'ania kumfata Mtume ambea Muda wake umekwishi ndio twaiyona mikanganyiko hii.
Mjadala huu wa kwenye comments ukiufatilia vizuri inaona kua watu wameamini ila wameamini katika pande mbili tofauti, na kila mtu anatamani mwenzake atoke alipo aungane naye, wewe unavoona hili sio tatizo.?
 
Hakuna ushahidi wowote kuwa waarabu ni ndugu wa waisrael wala walitokana na Ishmael ni hisia tu na mbinu na waarabu kujinasubisha na wayahudi


Uislam na waislam wanahangaika sana. Ni imani inayoshindwa kusimama yenyewe na kujitegemea. Inatafuta kujiegemeza kwenye ukristo, wakati ukristo na wakristo hawana habari nao kwa sababu wana uhakika na wanachokiamini.

Ukweli ni kwamba, katika biblia hakuna mahali popote unapotajwa uislam wala Muhammad.

Mtu amehangaika kuokoteza okoteza habari ili kumpamba Mohamad na uislam.

Yesu hajawahi kuwa nabii. Yesu ni masiha, ni Neno aliyekuwepo kabla hata Ulimwengu kuwapo.

Yesu siyo Isa wa Waislam. Isa wa Waislam ni nabii. Yesu ni Kristo Masiha, Mungu Pamoja Nasi. Aliyepewa mamlaka yote, Duniani na Mbinguni.

Mt 28:18​

Yesu akaja kwao, akasema nao, akawaambia, Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani.

Tumwombe Mungu wa huruma, kwa neema zake, awafunulie wamtambue na kumpokea Mungu wa kweli, wamtambue Kristo katika ukweli wake.

Yn 14:6​

Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.

Yohana 14:8-9

Filipo akamwambia, Bwana, tuonyeshe Baba, na yatutosha. Yesu akamwambia, Mimi nimekuwa pamoja nanyi siku hizi zote, wewe usinijue, Filipo? yeye aliyeniona mimi amemwona Baba; nawe wasemaje basi, Utuonyeshe Baba?

Wala msidanganyike kuwa Allah anayeabudiwa na waislam ndiye Mungu anayeabudiwa na Wakristo.

Quran inasema kuwa Allah ni bingwa wa uongo, wakati biblia inasema bingwa wa uongo ni shetani:

Yhn 8:
44 Ninyi ni watoto wa baba yenu shetani; kwa hiyo mnapenda kufanya maovu kama yeye. Tangu mwanzo yeye alikuwa muuaji na hana uhusiano wo wote na mambo ya kweli; kwa maana hana asili ya kusema lililo kweli. Shetani anapodanganya anadhihirisha asili yake kwa kuwa yeye ni mwongo na ni baba wa uongo.

Quran 1539.
Akasema: Mola wangu Mlezi! Ilivyo kuwa umenipotosha na kunitia makosani, basi nahakikisha nitawazaini hapa duniani na nitawapoteza wote,
Katika aya hapo juu, Shetani anasema kuwa, Allah ndiye aliye mpotosha na kumfanya awe mbaya. Kumbe Allah ndie mwanzislishi wa upotoshaji/uongo? Ushaidi zaidi utaupata katia Surah na aya zifuatazo 3:54, 3:54, 7:123, 13:42, 14:46, 16:26, 16:45, 27:50, 40:45, 71:22 impf. act. 6:123, 6:123, 6:124, 8:30, 8:30, 8:30, 10:21, 12:102, 16:127, 27:70, 35:10 n.vb. 7:99, 7:99, 7:123, 10:21, 10:21, 12:31, 13:33, 13:42, 14:46, 14:46, 14:46, 27:50, 27:50, 27:51, 34:33, 35:10, 35:43, 35:43, 71:22 pcple. act. 3:54, 8:30
 
Kumbuka kuwa Yesu alipewa Injili na sio biblia

Ila Biblia kwa mujibu was maelezo yenu ni mkusanyiko wa vitabu vya mitume waliopita

Swali mlikusanya ili iweje?

Sheria za injili peke yake hazitoshi?
Alipewa injili na Nani??Nani alikwambia kuna Sheria za injili??
 
Kwa kutumia common sense za kawaida uislam unaongelea ukristo sababu ulifata baada yake.

This is very basic, au sio mkuu?
 
Injili ni uweza wa Mungu uletao wokovu kwa kila aaminiye. Injili haiwezi kutabiri upotofu. Mohamad ni mtume aliyetumwa na Ibilisi kuharibu Injili ya Kristo na kuwapotosha watu.
 
Mjadala huu wa kwenye comments ukiufatilia vizuri inaona kua watu wameamini ila wameamini katika pande mbili tofauti, na kila mtu anatamani mwenzake atoke alipo aungane naye, wewe unavoona hili sio tatizo.?
Ni tatizo lililo sababishwa na binadam wenyewe
 
Roho Mtakatifu ni nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…