Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 3,727
- 3,777
Wapi Qur’an imesema mwabuduni Mariawaislamu pia humwabudu Maria na hata kwenye Korani yao wamemtaja mara 34
Mimi Sina msaada na wewe ,KATAFUTE ,nishakufundisha sana ,ni muda sasa ukachunguze mwenyeweWapi Qur’an imesema mwabuduni Maria
Kuhusu kutajwa mara nyingi Nabii Musa ndiye katajwa mara nyingi zaidi je na yeye pia anaabudiwa kama ni hivyo lete uthibitisho
Je Qur’an imesema kuwa Maria ni wa kuabudiwa
Romani Katoliki hufundisha kuwa Maria ni mkuu kuliko wanawake wote Uislamu hufundisha Maria ni mkuu kuliko wanawake wote (angalia Koran sura 3:37–38,42)
Huna hoja yoyote zaidi ya porojo na propaganda tuMimi Sina msaada na wewe ,KATAFUTE ,nishakufundisha sana ,ni muda sasa ukachunguze mwenyewe
Mbona unarudia ulichoandika badala ya kuthibitisha ulichokiandika
Ukatoliki wa Kirumi unaamuru waumini wake kufunga kwa lazima wakati wa Kwaresma Uislamu unahitaji waumini wake kufunga kwa lazima wakati wa Ramadani
Nishakufundisha sana ,ni muda sasa ukatafuti UTOKE kwa dini ya uongoHuna hoja yoyote zaidi ya porojo na propaganda tu
Ukiwa ni mkweli lete ushahidi wa maandiko tuamini
Sasa hapo kuna uhusiano gani
RCC hubatiza watoto wachanga na kuwatangaza kwamba ni “wakatoliki” wakiwa watoto Uislamu hufundisha kama wewe umezaliwa na wazazi ambao ni Waislamu, basi wewe ni Mwiislamu
Bila hoja thabiti ni porojo tu unazotuletea kwa lengo la kupotosha lakini hautompotosha mtu yeyote katika sisi!!!Nishakufundisha sana ,ni muda sasa ukatafuti UTOKE kwa dini ya uongo
Mimi Sina msaada na wewe tena
| RCC iliuwa kwa wastani wa Wakristo 400,000 kwa mwaka wakati wa Mahakama ya Kisheria kipindi cha zama za giza | Islamu kwa sasa inaua wastani wa Wakristo 200,000 kila mwaka. Tarifa moja ililipoti kwamba: “kila dakika tatu Mkristo anateswa katika ulimwengu wa kiislam, na kwamba mwaka huu Wakristo zaidi ya 165,000 watauwawa kwa ajili ya imani yao, na wengi wao katika nchi za kiislamu” |
Sasa hapo kuna mfanano gani zaidi ya porojo tu na propaganda zako zisizofanikiwa 😃
RCC iliuwa kwa wastani wa Wakristo 400,000 kwa mwaka wakati wa Mahakama ya Kisheria kipindi cha zama za giza Islamu kwa sasa inaua wastani wa Wakristo 200,000 kila mwaka. Tarifa moja ililipoti kwamba: “kila dakika tatu Mkristo anateswa katika ulimwengu wa kiislam, na kwamba mwaka huu Wakristo zaidi ya 165,000 watauwawa kwa ajili ya imani yao, na wengi wao katika nchi za kiislamu”
| RCC ilitumia kanisa lao wenyewe kama vyumba vya mateso ya kutesa na kuua mamia ya mamilioni ya Wakristo wakati wa Mahakama ya Kisheria katika zama za giza | Islamu sio tu kwamba inawatesa Wakristo, sasa hivi hata wanayafanya makanisa ya Kikristo kama vyumba vya mateso. Taarifa kutoka Fox News, December 23, 2014 inasema: “Nchi za kiislamu zinageuza makanisa ya kikristo huko Iraq na Syria kuwa makaburi ya ndani na vyumba vya mateso. . |
Propaganda zisizofanikiwa!!!
RCC ilitumia kanisa lao wenyewe kama vyumba vya mateso ya kutesa na kuua mamia ya mamilioni ya Wakristo wakati wa Mahakama ya Kisheria katika zama za giza Islamu sio tu kwamba inawatesa Wakristo, sasa hivi hata wanayafanya makanisa ya Kikristo kama vyumba vya mateso. Taarifa kutoka Fox News, December 23, 2014 inasema: “Nchi za kiislamu zinageuza makanisa ya kikristo huko Iraq na Syria kuwa makaburi ya ndani na vyumba vya mateso. .
Nani anafanya mapenzi na mtoto mdogo
Makuhani wa Katoliki ni mapedofilia, yaan, watu wanaopenda kufanya mapenzi na watoto wadogo Mohammed alikuwa pedofilia, pia Waislamu wote wanaoamini imani za Koran za aya za kipedofilia, ni mapedofilia wanaofanya mapenzi na watoto wadogo