Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 3,727
- 3,777
Wapi Qur’an imesema mwabuduni Mariawaislamu pia humwabudu Maria na hata kwenye Korani yao wamemtaja mara 34
Kuhusu kutajwa mara nyingi Nabii Musa ndiye katajwa mara nyingi zaidi je na yeye pia anaabudiwa kama ni hivyo lete uthibitisho