Je, Injili Ilitabiri Ujio wa Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake)?

Je, Injili Ilitabiri Ujio wa Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake)?

Je waislam huinamia sanamu?
FB_IMG_1741326038272.jpg
 
Ukatoliki wa Kirumi unaamuru waumini wake kufunga kwa lazima wakati wa KwaresmaUislamu unahitaji waumini wake kufunga kwa lazima wakati wa Ramadani
Toa ushahidi kuonyesha kuwa waislam wana mfungo wa lazima ili kuwaiga ukatoliki vinginevyo ni uongo!!!
 
RCC hufundisha kwamba Maria alikuwa bikira wala hakuguswa na mwanamume maisha yake yote

Uislamu hufundisha Maria alikuwa bikira wala hakuguswa na mwanamume maisha yake yote
Je hapo kuna uhusiano gani
 
Maandiko yote ulio nukuu hayana uhusiano wowote na Mohammed; Mohammed alileta imani ambayo sio ya Mungu wa mbinguni
 
Makundi ya Waislamu hutumia ishara ya salamu ya Kirumi kama inavyotumiwa na nazi wa Katoliki
 
Madogima ya kanisa katoliki yanapatikana kwenye Korani. Kama vile RCC inavyomwabudu Maria, waislamu pia humwabudu Maria na hata kwenye Korani yao wamemtaja mara 34. Kumbuka kuwa kanisa Katoliki humwita Yesu kuwa ni mwana wa Maria badala ya Mwana wa Mungu, na Korani pia humwita Yesu kama mwana wa Maria na kukataa kwamba sio Mwana wa Mungu, hata waislamu kama vile wakatoliki wanamwinua Maria kuwa “mkuu” kwa Yesu. Lakini uongo wa namna hii Yesu aliukemea pale aliposema:
Mathayo 22:41-46 “Na Mafarisayo walipokusanyika, Yesu aliwauliza, akisema, Mwaonaje katika habari za Kristo? 42 Ni mwana wa nani? Wakamwambia, Ni wa Daudi. 43 Akawauliza, Imekuwaje basi Daudi katika Roho kumwita Bwana, akisema, 44 Bwana alimwambia Bwana wangu, Uketi mkono wangu wa kuume, Hata niwawekapo adui zako Kuwa chini ya miguu yako? 45 Basi, Daudi akimwita Bwana, amekuwaje ni mwanawe? 46 Wala hakuweza mtu kumjibu neno; wala hakuthubutu mtu ye yote tangu siku ile kumwuliza neno tena.”

Wayahudi walikuwa ni vipofu, hata wasijue ya kuwa masihi sio mwana wa Daudi kiuhalisi, bali Mwana Mungu. Hii ni jinsi ileile kama kumzania Masihi kwamba ni mwana wa Maria badala ya Mwana wa Mungu.
 
Romani Katoliki hufundisha kuwa Maria ni mkuu kuliko wanawake woteUislamu hufundisha Maria ni mkuu kuliko wanawake wote (angalia Koran sura 3:37–38,42)
 
Back
Top Bottom