HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 1,108
- 1,132
HawajitambuiMbona wenyewe kwa wenyewe tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HawajitambuiMbona wenyewe kwa wenyewe tena
☻☻😁😁kweli hawajitambuiHawajitambui
Vyovyote vile ujuavyo. Allah ndiyo lile jiwe kwa kukusaidiaNikuonyeshe Allah kivipi
Ah kama ni huo haina shida sio wa waislam maana hadi kuna kanisa la shetani![]()
Mosque of the Jinn - Wikipedia
en.wikipedia.org
Nisaidie kwa ushahidi wa maandikoVyovyote vile ujuavyo. Allah ndiyo lile jiwe kwa kukusaidia
Muhamad kabusu jiwe. Nimekuwekea hapo juu. Hivi wewe na utimamu wako unaweza kubusu jiwe?Nisaidie kwa ushahidi wa maandiko
Nimekwambia naomba maandiko sio kuwa hilo jiwe ni Allah na sio porojo zisizo na uthibitishoMuhamad kabusu jiwe. Nimekuwekea hapo juu. Hivi wewe na utimamu wako unaweza kubusu jiwe?
Hawajitambui
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣☻☻😁😁kweli hawajitambui
Kamuulize shekh wako niwapi amesema...mimi nilisha choka kuelimiza watu mnaofuata dini kishabiki kama nyumbuLini alisema
Sio Rehema, ni RehmaHii ina maanisha nini?
Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake
1. Quran inasema nini kuhusu kifo cha Yesu Kristo?Mimi nataka Uthibitisho wa suala hili
Wewe ni mwongo hakusema hivyo kama ni kweli ilete hiyo hadithiKamuulize shekh wako niwapi amesema...mimi nilisha choka kuelimiza watu mnaofuata dini kishabiki kama nyumbu
RCC hutumia ishara ya mwezi nusu katika majengo yao na machapisho yao; ishara ambayo ni ya kale ya kipagani na ya kibabeli iliyowakilisha ibada ya Baali, mungu juaWewe umesema Uislamu ni upagani kwa kuwa kuna alama hizo msikitini sasa ndio nataka uonyeshe maelezo ya Qur’an au hadith za Mtume zinazoamrisha kuweka hizo alama kama hamna basi watu watakuwa wameamua kuweka tu na haziusiani na Uislamu
RCC hutumia ishara ya mwezi nusu katika majengo yao na machapisho yao; ishara ambayo ni ya kale ya kipagani na ya kibabeli iliyowakilisha ibada ya Baali, mungu juaWewe umesema Uislamu ni upagani kwa kuwa kuna alama hizo msikitini sasa ndio nataka uonyeshe maelezo ya Qur’an au hadith za Mtume zinazoamrisha kuweka hizo alama kama hamna basi watu watakuwa wameamua kuweka tu na haziusiani na Uislamu
Wapi Qur’an inasema kristo ndio mwisho wa manabii1. Quran inasema nini kuhusu kifo cha Yesu Kristo?
2. Biblia inasema:
1 Yohana 2 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
²² Ni nani aliye mwongo ila yeye akanaye ya kuwa Yesu ni Kristo? Huyo ndiye mpinga Kristo, yeye amkanaye Baba na Mwana.
²³ Kila amkanaye Mwana, hanaye Baba; amkiriye Mwana anaye Baba pia.
Quran inasemaje kuhusu uungu wa Kristo?
3. Kristo ndio mwisho wa manabii, huyo Muhamad katoka wapi? Kristo katoka moja kwa moja mbinguni, amekuja kutufundisha yale ayatakayo Baba kwa ushahodi wa wazi (ametoka huko). Baada ys mjumbe wabinguni iweje tena atokee nabii mwingine ajifanye mjumbe wa Mungu ilhali amezaliwa hapa hapa mwanadamu?
NIENDELEE?
Nimekwambia nataka ushahidi wa maandiko na si porojoRCC hutumia ishara ya mwezi nusu katika majengo yao na machapisho yao; ishara ambayo ni ya kale ya kipagani na ya kibabeli iliyowakilisha ibada ya Baali, mungu jua
Islamu pia hutumia ishara ya mwezi nusu kwenye majengo na machapisho yao, kama walivyofanya wapagani wa kale wa kibabeli.
Endelea kusubiri meli airportNimekwambia nataka ushahidi wa maandiko na si porojo