Je, Injili Ilitabiri Ujio wa Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake)?

Mtaongea sana, ila ukweli ni👉 hakika dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni uislamu, na Muhammad ni Mtume wa Mwenyezi Mungu, na Issa/yesu sio Mungu bali ni Mtume wa Mwenyezi Mungu
 
Mimi nataka Uthibitisho wa suala hili
1. Quran inasema nini kuhusu kifo cha Yesu Kristo?
2. Biblia inasema:

1 Yohana 2 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
²² Ni nani aliye mwongo ila yeye akanaye ya kuwa Yesu ni Kristo? Huyo ndiye mpinga Kristo, yeye amkanaye Baba na Mwana.
²³ Kila amkanaye Mwana, hanaye Baba; amkiriye Mwana anaye Baba pia.

Quran inasemaje kuhusu uungu wa Kristo?

3. Kristo ndio mwisho wa manabii, huyo Muhamad katoka wapi? Kristo katoka moja kwa moja mbinguni, amekuja kutufundisha yale ayatakayo Baba kwa ushahodi wa wazi (ametoka huko). Baada ys mjumbe wabinguni iweje tena atokee nabii mwingine ajifanye mjumbe wa Mungu ilhali amezaliwa hapa hapa mwanadamu?

NIENDELEE?
 
Wewe umesema Uislamu ni upagani kwa kuwa kuna alama hizo msikitini sasa ndio nataka uonyeshe maelezo ya Qur’an au hadith za Mtume zinazoamrisha kuweka hizo alama kama hamna basi watu watakuwa wameamua kuweka tu na haziusiani na Uislamu
RCC hutumia ishara ya mwezi nusu katika majengo yao na machapisho yao; ishara ambayo ni ya kale ya kipagani na ya kibabeli iliyowakilisha ibada ya Baali, mungu jua

Islamu pia hutumia ishara ya mwezi nusu kwenye majengo na machapisho yao, kama walivyofanya wapagani wa kale wa kibabeli.
 
Attachments

  • 5620519_img20170709074357_jpeg889eadd01c5f2b7941b65bea48f585da.jpeg
    5620519_img20170709074357_jpeg889eadd01c5f2b7941b65bea48f585da.jpeg
    35.9 KB · Views: 1
Wewe umesema Uislamu ni upagani kwa kuwa kuna alama hizo msikitini sasa ndio nataka uonyeshe maelezo ya Qur’an au hadith za Mtume zinazoamrisha kuweka hizo alama kama hamna basi watu watakuwa wameamua kuweka tu na haziusiani na Uislamu
RCC hutumia ishara ya mwezi nusu katika majengo yao na machapisho yao; ishara ambayo ni ya kale ya kipagani na ya kibabeli iliyowakilisha ibada ya Baali, mungu jua

Islamu pia hutumia ishara ya mwezi nusu kwenye majengo na machapisho yao, kama walivyofanya wapagani wa kale wa kibabeli.
 
1. Quran inasema nini kuhusu kifo cha Yesu Kristo?
2. Biblia inasema:

1 Yohana 2 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
²² Ni nani aliye mwongo ila yeye akanaye ya kuwa Yesu ni Kristo? Huyo ndiye mpinga Kristo, yeye amkanaye Baba na Mwana.
²³ Kila amkanaye Mwana, hanaye Baba; amkiriye Mwana anaye Baba pia.

Quran inasemaje kuhusu uungu wa Kristo?

3. Kristo ndio mwisho wa manabii, huyo Muhamad katoka wapi? Kristo katoka moja kwa moja mbinguni, amekuja kutufundisha yale ayatakayo Baba kwa ushahodi wa wazi (ametoka huko). Baada ys mjumbe wabinguni iweje tena atokee nabii mwingine ajifanye mjumbe wa Mungu ilhali amezaliwa hapa hapa mwanadamu?

NIENDELEE?
Wapi Qur’an inasema kristo ndio mwisho wa manabii
 
RCC hutumia ishara ya mwezi nusu katika majengo yao na machapisho yao; ishara ambayo ni ya kale ya kipagani na ya kibabeli iliyowakilisha ibada ya Baali, mungu jua

Islamu pia hutumia ishara ya mwezi nusu kwenye majengo na machapisho yao, kama walivyofanya wapagani wa kale wa kibabeli.
Nimekwambia nataka ushahidi wa maandiko na si porojo
 
Back
Top Bottom