Je, Injili Ilitabiri Ujio wa Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake)?

RCC hutumia ishara ya mwezi nusu katika majengo yao na machapisho yao; ishara ambayo ni ya kale ya kipagani na ya kibabeli iliyowakilisha ibada ya Baali, mungu jua Islamu pia hutumia ishara ya mwezi nusu kwenye majengo na machapisho yao, kama walivyofanya wapagani wa kale wa kibabeli.
 
RCC ina kila aina ya ishara za kipagani, na hata inakubali kuwa ni za kipaganiJina la mungu wa Islamu, allah, lilikuwa jina la mungu wa kipagani
Thibitisha kwa maandiko kuwa jina Allah ni jina la mungu wa kipagani ukishindwa wewe ni muongo wa wazi kabisa
 
RCC ina kila aina ya ishara za kipagani, na hata inakubali kuwa ni za kipaganiJina la mungu wa Islamu, allah, lilikuwa jina la mungu wa kipagani
Thibitisha kwa maandiko kuwa jina Allah ni jina la mungu wa kipagani ukishindwa wewe ni muongo wa wazi
Je kutumia ishara ya mwezi ni mafundisho ya uislam au ni mapendeleo ya watu binafsi
Na kama ni mafundisho ya Uislamu ni yapi hayo
 
Unaandika maandiko mengi ambayo huna ushahidi wa kuthibitisha hoja zako
Hujibu maswali unayoulizwa sasa sisi tutakuamini vipi hamisi 😃😀😄
 
RCC huabudu mungu baal au mungu jua wa kale wa kipagani ambaye ni mungu baalIslamu huabudu mungu jua wa kipagani, allah, yuleyule baal

 
Islam like Roman Catholic

They worshipping Idols

 
Paganism ndani ya Uislamu

Upagani ule ule wa Roma
 
Uislamu ni utamaduni wa waarabu wewe mswahili wa Matombo inakuhusu nini, wewe unatakiwa kuuenzi utamaduni wako kama mwafrika na kuachana na utumwa wa kifikra. Bure kabisa.
 
Sasa mnarejea injili ipi wakati mnasema tunayotumia sio original.nyie haya mnayatoa wapi,hamjielewi nyie
 
Malaika jibril inamaana alishindwa kujua kwamba mwamedi hajui kusoma mpk amminye mara zote hizo[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
We jamaa bna waraqa hakuwa Padre wala khadija hakuwa sista[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…