Je, Injili Ilitabiri Ujio wa Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake)?

Samahani bwana mkubwa. Naweza kupata hata kifungu kimoja cha Injili ya Issa bin Maryam toka kwenye quran kama hutajali?
 
Yaani Injili itabiri ujiu wa mtu aliyeleta ibada za ushirikana majini? Yaani inyili na mkuu wa Injili Yesu alipambana kuwafukuza majini aibuke mtu aseme majini ni ndugu zao na wanasali pamoja kweli hapo Kuna uhusiano? Mtu alichungulia fursa tuu na kuamua kujitangaza kuwa ameshushwa SUO MOTO
 
Maoni yako mkuu
 
Nikuulize wewe yesu ni nani?
Kingine cha kukusaidia wewe ni hivi wakati ISSA anazaliwa na mama yake chini ya mtende,,sauti ilitoka ardhini ikimwambia mama yake ISA aliezaa peke yake kama nyumbu kwamba achume tende kwenye mti ale!!!! Unajua sauti inayotokea chini ya ardhi ni ya nani??? Narudia tena ALLAH SUBHANA WATAALA NI NANI????
 
here we go
Uko vizuri sana
Lakini hapo kwenye kipengele cha 47 kaa kwa kutulia kabisaa
Kristo alitimiza yote
Hata hiyo Daniel uliyoiweka hapo ilitimia kwa Kristo
anza kuunganisha codes upya
tusiendelee kukaririshwa
 
Quran ni kitabu kilichokamilka, inakuaje baadhi yenu mnahangaika kuprove vitu kwa kuokoteza mambo ambayo baadhi ni dhahir mnakufuru.

Uislam umejitosheleza bila ukristo, ni ajabu kwa muislam kutojiamini na kuanza kujinasibisha na ukristo, kama wakristo wanavyoamini wamejitosheleza na Biblia.
 
kivipimtume wa Allah ajitaftie ujiko kwa mayahudi ilhali mayahudi ni watu walioghadhibikiwa na Allaah subhaanahu wa taalah. since walipelekewa manabii wengi sana na wakawakataa kiasi cha kuwatoa uhai baadhi yao.
Allah Hana uhusiano wowote wayahudi na hukuna documents yoyote ile inayoonyesha kuwa wayahudi walikuwa wanamwabudu Allah zaidi ya waarabu kutaka kuwahusia mitume na manabii wa kiyahudi na Mungu wao wanayemuita Allah
 
Nimemaanisha katika niliyoiandika mimi
 
Hapana haujitoshelezi kwakuwa haijulikani umetokea wapi zaidi ya mtu mmoja kusema alikuwa mapangoni kashushiwa kitabu
 
Samahani bwana mkubwa. Naweza kupata hata kifungu kimoja cha Injili ya Issa bin Maryam toka kwenye quran kama hutajali?
Injili ya asili iliyoteremshwa kwa Nabii Isa (عَلَیهِ‌السَّلام) haipo tena katika umbo lake la awali.Maandiko yaliyopo sasa yamepotoshwa na kubadilishwa na wanadamu kwa nyakati tofauti.
Aidha Qur’an ni kitabu kingine cha Allah kama ilivyokuwa Injil asilia.
 
Mwenyezi Mungu hana roho.
Labda unaweza kunielezea hiyo roho ipoje?
Acha uongo we maamuma.
Quran 4:171
Hakika Masihi Isa mwana wa Maryamu ni Mtume wa Mwenyezi Mungu, na neno lake tu alilo mpelekea Maryamu, na ni roho iliyo toka kwake. Basi Muaminini Mwenyezi Mungu na Mitume wake. Wala msiseme

Hiyo hapo Quran inasema Isa ninRoho ya Allah na ipo wazi kuwa Isa ndio allah kwani wewe ulivyo ni zao la Roho yako.
 
Blah blah na utumbo kama kawaida Yenu. Naomba Injili ya Issa bin Maryam ndani ya quran na sio hizo story zako.
 
Nakusaidia Kwa maswali mufti,,,Mumedai kwamba Mungu wenu Allah ni mmoja hajazaa na hawezi kuzaa....Swali linakuja hapa SURAT AL NAJM 53:16-21....
Mstari WA 21 anauliza '''Je ninyi mna watoto WA kiume na Yeye(Asw) ana watoto WA kike"""

Swali ni hili LATA UZZA NA MANATA ni mabinti WA Allah,,,,kama anadai hazai itakuwa anataga????
 
Yaani Injili itabiri ujiu wa mtu aliyeleta ibada za ushirikana majini?
Kati ya Uislam na ukristo dini ipi ina ibada za ushirikina kama sio ukristo?
Ukristo unamshirikisha Mungu kwa kumjaalia miungu wasaidizi wawili yaani mungu mwana na mungu roho mtakatifu.Ukristo una ibada za kishirikina za masanamu na kuomba kutumia watakatifu ili wawafikishie maombi yao kwa Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…