Je, Injili Ilitabiri Ujio wa Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake)?

Je, Injili Ilitabiri Ujio wa Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake)?

Katika historia, kumekuwa na mijadala kuhusu kama maandiko ya zamani yalitabiri ujio wa nabii wa mwisho. Watu wengi wamechunguza vitabu vya kale wakitafuta dalili zinazoelezea mtu atakayekuja na mwongozo wa kiroho kwa mataifa yote. Katika makala hii, tutaangalia aya mbalimbali kutoka Injili zinazoonyesha utabiri wa ujio wa Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake).

1.Kumbukumbu la  Torati 18:18 -  Nabii  kama Musa

"Nitawainulia nabii kutoka miongoni mwa ndugu zao, kama wewe, nami nitatia maneno yangu kinywani mwake, naye atawaambia yote nitakayomwamuru." (Kumbukumbu la Torati 18:18)

Katika aya hii, Mungu anamwambia Musa kwamba nabii mwingine kama yeye atainuliwa kwa watu. Wanazuoni wanaeleza kuwa nabii huyu:
Atakuwa kutoka kwa ndugu wa Waisraeli → Ikiwa Waisraeli wanahusiana na Isaka, basi ndugu zao wa karibu ni kizazi cha Ismaili, ambacho kilizaa Waarabu.

Atakuwa kama Musa → Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake) na Musa wote walikuwa manabii waliopokea sheria mpya na waliongoza jamii zao kwa mwongozo wa Mungu.

Atakuwa na maneno ya Mungu kinywani mwake → Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake) alipokea Qur’an kwa ufunuo wa Jibril, kama Musa alivyopewa Taurati.

2.Isaya 42:1-13 -  Nabii  kutoka Kedar

Katika sura hii ya Isaya, kuna maelezo kuhusu mtumishi wa Mungu ambaye atakuwa nuru kwa mataifa yote:

Isaya 42:1 – “Tazama, mtumishi wangu nimtegemezaye, mteule wangu ambaye nafsi yangu imependezwa naye; nimetia roho yangu juu yake, naye atawatolea mataifa hukumu.”
Huyu ni mtu ambaye Mungu amemchagua kwa kazi maalum.

Ataleta hukumu kwa mataifa yote, akimaanisha atakuwa na ujumbe wa kimataifa.

Isaya 42:11 – “Jangwa na miji yake na vipaze sauti zao, na vijiji anavyokaa Kedari; na wakaao katika miamba na waimbe, wapige kelele kutoka vilele vya milima.”

Kedar alikuwa mtoto wa Ismaili na kizazi chake waliishi Arabia, ambapo Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake) alitokea.

3.  Isaya 21:13-17 - Ujumbe wa Arabia na Parani

Katika sura hii ya Isaya, kuna utabiri wa matukio yatakayotokea katika Arabia:

Isaya 21:13 – "Ufunuo juu ya Arabia. Mtapiga kambi nyikani, enyi watu wa Dedani."

Hii inaonyesha kuwa Arabia ni eneo la tukio kubwa la kiroho.

Isaya 21:14 – “Mleteeni mwenye kiu maji, enyi wenyeji wa Tema, mleteeni mkimbizi chakula chake.”

Tema ni sehemu ya Hijaz, ambako mji wa Madina upo.

Hii inahusiana na jinsi wakazi wa Madina walivyompokea Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake) na kumpa hifadhi.

4.  Yohana 14:16, 16:7-14 - Msaidizi (Parakletos)  na Uthibitisho wa Ahmad Kwenye Qur’an

Yesu alisema:

Yohana 14:16 – “Nami nitamwomba Baba, naye atawapa Msaidizi mwingine, ili akae nanyi milele.” Yohana 16:7 – “Lakini mimi nawaambia iliyo kweli; yawafaa ninyi mimi niondoke, kwa maana nisipoondoka, huyo Msaidizi hatakuja kwenu; bali mimi nikienda, nitamtuma kwenu.”

Msaidizi huyu atafundisha ukweli wote (Yohana 16:13) → Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake) alikuja na Qur’an kama mwongozo wa mwisho.

Neno Parakletos (Παράκλητος) linaweza kuwa Periklytos, ambalo linamaanisha "Aliyesifiwa"
(kwa Kiarabu, Ahmad – jina jingine la Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake)).

Uthibitisho wa Ahmad Kwenye Qur’an

Katika Qur’an, Mtume Isa(amani iwe juu yake) alitabiri kuja kwa mtume baada yake aitwaye Ahmad:

Surah As-Saff 61:6 "Na (wakumbuke) Isa bin Maryamu aliposema: Enyi Wana wa Israili! Hakika mimi ni Mtume wa Mwenyezi Mungu kwenu, nikiwahakikishia yaliyokuwa kabla yangu katika Taurati, na nikitoa habari njema ya (ujio wa) Mtume atakayekuja baada yangu, jina lake ni Ahmad."

Ahmad ni jina lingine la Muhammad.

Yesu anatabiri nabii anayekuja baada yake, ambaye atakuwa na ujumbe wa Mungu.

5.Ufunuo 12:5 & 19:15 - Fimbo ya Chuma

Ufunuo 19:15 – "Na upanga mkali hutoka kinywani mwake ili aweke mataifa chini, naye atawachunga kwa fimbo ya chuma."

Hii inahusiana na Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake), ambaye atatawala kwa haki na nguvu za Mungu, na Qur’an inamtaja kama mtawala wa haki.

Hitimisho
Biblia ina maandiko ambayo, kwa muktadha wa tafsiri, yanaonyesha wazi dalili kuhusu ujio wa Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake). Aya kutoka Kumbukumbu la Torati, Isaya, Yohana, na Ufunuo zinaweza kueleweka kama utabiri wa ujio wa Muhammad, hasa kwa vile anapatikana katika maeneo ya Arabia, anahusiana na Kedar, na anaitwa Ahmad, jina lingine la Muhammad.
Hakuna mahala popote Muddy alipotabiriwa kuja kuwa mtume, yule utume alijipa mwenyewe kutokana na ujanja wake.
 
Ukristo Ndio ushetani wa Hali ya juu... wewe fikiria mtu ana shinda studio kuandika nyimbo, mtu hana kazi anategemea sadaka, Mwanaume anaenda kumsikiliza padri wa kike kavaa nguo za uchi nk nk nk

Ukristo ni dini ya shetani mlaaniwe 😂
Usiwe na hasira na kutokwa na povu hovyo, hivi kuna sheikh yeyote asiye mchawi? Viongozi wetu serikalini karibia wote wanaroga kupitia kwa masheikh na msaafu Iła sijapata kuona wala kusikia kiongozi anakwenda kwa padri kufanyiwa kafara la kuroga wenzake bali ni masheikh tu. Uislam bila shetani hauwezekani, Muddy aliwachezea sana akili.
 
Unaziaminije Satani Verse ?

Msomi wa PhD in Islamic History Salman Rushdie kathibitisha kuwa hizo ni Aya za Shetani.
Tutakuaminije wewe ngumbaru?

Hadi hii leo Rushdie anawaita mezani kama alikosea awathibitishie mshindane kwa hoja mnamkimbia.

Mara ya mwisho kawaalika wote ili awaambie ukweli, badala ya kwenda kimsikiliza mkamtuma kijana aliye mchoma kisu ili amuue.

Badala kumjibu mnamhukumu kumchinja na kama asingejificha na kulindwa na Uingereza mngesha mchinja na kufurahi.

Zakir Naik Mhubiri wa hiyo dini anaambiwa kila siku kwanini hutaki kufanya mdahalo na Rushidie hataki hata kujibu.

Naik ana degree ya udaktari wa binadamu na Qurani ameisoma kama gazeti tu na kukariri aya.

Rushdie ana PhD in Islamic History atawezaje kuongea naye.

Kwahiyo sisi tumwamini Mazinge na sio Rushdie mwenye Dini yake.

Sisi tunaamini hizo ni Satani Verses hadi mukae na kuongea na Rushdie na tupate mshindi na hamuwezi kuongea naye kwakuwa mnajua kabisa atawashinda na
Dini itakufa.

Kule pangoni Mwamedi aliambiwa na Shetani kuwa chukua hii dini yangu na ili watu wakuamini simulia stori za kwenye Torati, Zaburi na Injiri halafu waambie zimeharibiwa.

Pia waambie Manabii wote wa kwenye Biblia ni Waislamu.
Na kitabu cha kweli ni Qurani tu.
Halafu hakikisha unawashirikisha Majini kwenye hii Dini na uwape Sura moja kwanye hiki kitabu Sura ya Majini

Halafu waambie Hakuna Mungu ila Allah, na mtume wake ni Muhamadi tu. Hao wengine achana nao

Kabla hamjaongea hebu toeni majibu kwanini hamtaki kumjibu Salman Rushidie na mnataka kumwua tu ?
 
Mbona haujaleta ushahidi wowote wa uliyosema zaidi ya kubwabwaja
 
Mbona haujaleta ushahidi wowote wa uliyosema zaidi ya kubwabwaja
قُلْ مَن كَانَ عَدُوًّا لِّجِبْرِيلَ فَإِنَّهُ نَزَّلَهُ عَلَىٰ قَلْبِكَ بِإِذْنِ اللَّهِ مُصَدِّقًا لِّمَا بَيْنَ يَدَيْهِ وَهُدًى وَبُشْرَىٰ لِلْمُؤْمِنِينَ

[ AL - BAQARA - 97 ]
Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.
مَّا أَصَابَكَ مِنْ حَسَنَةٍ فَمِنَ اللَّهِ ۖ وَمَا أَصَابَكَ مِن سَيِّئَةٍ فَمِن نَّفْسِكَ ۚ وَأَرْسَلْنَاكَ لِلنَّاسِ رَسُولًا ۚ وَكَفَىٰ بِاللَّهِ شَهِيدًا

[ AN-NISAAI - 79 ]
Jema lilio kufikia limetokana na Mwenyezi Mungu. Na ovu lilio kusibu linatokana na nafsi yako.
Nasi tumekutuma kwa watu uwe ni Mtume. Na Mwenyezi Mungu ni shahidi wa kutosha.

وَأَنَّا ظَنَنَّا أَن لَّن نُّعْجِزَ اللَّهَ فِي الْأَرْضِ وَلَن نُّعْجِزَهُ هَرَبًا

(AL - JINN - 12)
Nasi tulijua kuwa hatutomshinda Mwenyezi Mungu duniani, wala hatuwezi kumponyoka kwa kukimbia.
 
Tolea maelezo sasa hizo aya ili ueleweke
 
Unataka uniaminishe hizo hadithi za mtume zilijiandika zenyewe😂 siwezi kuamini huo upuuzi😂.

Mtume aliwaambia waislam Yesu ni mwana mwa MUNGU, wakamletea chuki, walifanya attempt mbili za kumuua MUNGU akamuokoa, kwasababu alikuwa mfuasi wa kristo, na alimkiri Yesu kuwa Ni BWANA, wajuzi wa kiislamu wanasema ile Nguvu ya Roho mtakatifu iliyomjia mtume kipindi kile ndo imebeba umma wa kiislamu ambao wapo mpaka hii Leo.

Shida ni kwamba Kuna Mambo ya ukweli yalifichwa Kwenye Quran Kama secret code, ukiielewa lazima ubadilike, hazisomwi, Wala haziubiriwi, Kuna tamaduni nyingi, zimefanya waislam wengi wasiamke, Wachache waliamka.

Mkuu njoo nikupe madini natamani nishee nawewe hii elimu ambayo nimeifanyia research ya muda mrefu 😂
Nipo Tayari Kusikiliza Mkuu!
Mimi napenda Sana Kupata Elimu na Kujifunza!

ila ningependa Kukucorrect Kidogo Mtume hakuandika Kitabu Chochote wala hadithi yoyote..
Ningependa Ukasome Science ya Hadithi utawajua 'Alama wa Hadithi au MustalahulHadithi walikuwa Kina nani!
Na walianza Karne Ipi na Ni miaka mingapi Baada ya Kufa Mtume..
Asante!
 
Ukiwaambia ulishakuwa mwenzao wanadharau,,,ukiwapa habari ya vitabu wanavyotakiwa wavisome Kwa bidii wanazipinga,,na kibaya Zaidi wanapinga mpaka maneno ya AL HABIB AISHA mke WA mtume wao...ubarikiwe Khamis Kwa kuuona ukweli..
Maneno yapi ya Aisha yaliyopingwa?
 
Ukiwaambia ulishakuwa mwenzao wanadharau,,,ukiwapa habari ya vitabu wanavyotakiwa wavisome Kwa bidii wanazipinga,,na kibaya Zaidi wanapinga mpaka maneno ya AL HABIB AISHA mke WA mtume wao...ubarikiwe Khamis Kwa kuuona ukweli..
Au wewe ujitungie maneno halafu useme ya bi Aisha halafu tukukubalie tu
 
Kuna aliekwambia ni mtu mmoja?

Nabii issa hakusulubiwa kwa kuwa aliesulubiwa amelaaniwa na mungu

Ila Yesu amelaaniwa na mungu ndio maana akasulubiwa

Hasa watakuwaje mtu mmoja.?

Umekurupuka mkuu.
YESU Kristo alilaaniwa alipokuwa msalabani ni kweli kabisa...Sasa elimu hasa ya ukristo huanzia hapo...Na hofu yangu mindset yako haitaweza kuielewa hio elimu..ALIFANYIKA DHAMBI ILI TUSAMEHEWE DHAMBI..ALIFANYIKA LAANA ILI SISI NA WAYAHUDI TUTOKE KWENYE LAANA YA TORATI NA NYINGINE ZA DUNIA,,,,NA KWA KUPIGWA KWAKE SISI.......ADHABU YA AMANI YETU..........UKIMUELEWA PAULO MTUME UTAELEWA,,KAZI LENGO NA DHUMUNI LA YESU KRISTO MASIHI...YESU NI TOPIC UNAYOTAKIWA KUDEDICATE MDA WAKO KUISOMA KWA MUDA WA KUTOSHA..ILA LAZIMA USIWE KIPOFU MWENYE ELIMU YA UWONGO MTUPU YA uislam.
 
Sasa mungu analaaniwaje
 
Ukiwaambia ulishakuwa mwenzao wanadharau,,,ukiwapa habari ya vitabu wanavyotakiwa wavisome Kwa bidii wanazipinga,,na kibaya Zaidi wanapinga mpaka maneno ya AL HABIB AISHA mke WA mtume wao...ubarikiwe Khamis Kwa kuuona ukweli..

Nakwambia hakuna mtu anayeweza kuichana Quran kama mtu aliyekuwa mwislam akaichambua Quran akakutana na magumashi yote. Kwanza hawezi kubaki kwenye hiyo imani.
 
Sasa mungu analaaniwaje
Uliza ''Mwana WA MUNGU analaaniwaje""" ?? Kwa wanaoelewa elimu ndio huanzia hapa..lakini bahati mbaya wewe ni KIPOFU WA akili hutoweza kuielewa...Hapa ndio tuna mhitaji Mtume Paulo....ambae vipofu walikwisha fundishwa kumchukia.
 
Back
Top Bottom