Je, Injili Ilitabiri Ujio wa Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake)?

Je, Injili Ilitabiri Ujio wa Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake)?

Na vipi biblia inapoelezea mambo ya Adamu ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜„
Muulizeni Musa maana biblia ni mkusanyiko wa vitabu vilivyoandikwa na waisraeli, kitabu cha mwanzo kimeandikwa na MUSA.
 
Muulizeni Musa maana biblia ni mkusanyiko wa vitabu vilivyoandikwa na waisraeli, kitabu cha mwanzo kimeandikwa na MUSA.
Achana na mambo ya Musa kwanza!!!

Wewe umesema Qurโ€™an kuzungumzia masuala ya miaka 1500 kabla yake ni hadithi
Je biblia inapozungumzia masuala ya Adamu ni nini?
 
Achana na mambo ya Musa kwanza!!!

Wewe umesema Qurโ€™an kuzungumzia masuala ya miaka 1500 kabla yake ni hadithi
Je biblia inapozungumzia masuala ya Adamu ni nini?
Waislam wengi ni viazi. Aliyeandika biblia unamjua? Alitoa wapi alichokiandika? Nijibu kwanza hapo Ili nijue Kama akili unazo.
 
Hoja ni zilezile kwamba Yesu ni mwana wa MUNGU.
Allah ni mshkaji tu Ila nyinyi ndo mnamuita MUNGU.
Inapaswa useme Allah ni mshkaji wake nani wewe na wewe hiyo taarifa kuwa Allah ni mshkaji umeipata wapi

Vinginevyo ni uzushi wako tu!!!
 
Waislam wengi ni viazi. Aliyeandika biblia unamjua? Alitoa wapi alichokiandika? Nijibu kwanza hapo Ili nijue Kama akili unazo.
Jibu kwanza swali langu ndo tuingie kwenye mada nyingine!!! ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜„
 
Katika Uislamu unapotaja jina la Mtume yeyote wa Mwenyezi Mungu unatakiwa umuombee amani. Hii ni kwa Mitume wote akiwemo na Mtume Muhammad (Rehema na Amani ziwe juu yake).
Kama wako peponi kwanini uwaombee amani?
 
Attachments

  • Screenshot_20250228-192145.png
    Screenshot_20250228-192145.png
    190.6 KB · Views: 1
  • Screenshot_20250228-192221.png
    Screenshot_20250228-192221.png
    214.7 KB · Views: 1
  • Screenshot_20250228-192420.png
    Screenshot_20250228-192420.png
    221.9 KB · Views: 1
  • Screenshot_20250228-192732.png
    Screenshot_20250228-192732.png
    196.8 KB · Views: 1
  • Screenshot_20250228-192801.png
    Screenshot_20250228-192801.png
    198 KB · Views: 1
  • Screenshot_20250228-192606.png
    Screenshot_20250228-192606.png
    205 KB · Views: 1
Jibu kwanza swali langu ndo tuingie kwenye mada nyingine!!! ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜„
Swali lako linahitaji swali Ili liwe jibu, maana ukielezewa huelewi, akili yako inakutuma, biblia ni Kama Quran, mtume hajui kuandika Wala kusoma kwahyo ni Aya zilizoshuka๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Aya za uongo, ujanja ujanja tu. Eti Quran ni muunganiko wa injili,torati na cjui na upumbavu gani๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Jibu kwanza swali langu ndo tuingie kwenye mada nyingine!!! ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜„
Tuliza mawenge kiazi wa kiarabu, watu walipambana kuitafsiri biblia kutoka kiebrania mpaka kuandikwa Kwa lugha zote Duniani Ili mpumbavu, usisone Bali uelewe. Kusoma kuruani tu shida utaielewa?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Soma mathayo 11:25-28, mathayo 12:3-7,mathayo 16:14-17,isaya 7:12-16, mathayo 3:16:17, mathayo 17:
Maandiko yanayotakiwa ni yale ya yesu akikiri kuwa yeye ni mungu na akikiri kuwa yeye ni mmoja wa miungu watatu waliopo
Hayo maandiko uliyoleta sijaona hoja yoyote!!!
 
Maandiko yanayotakiwa ni yale ya yesu akikiri kuwa yeye ni mungu na akikiri kuwa yeye ni mmoja wa miungu watatu waliopo
Hayo maandiko uliyoleta sijaona hoja yoyote!!!
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Maandiko yanayotakiwa ni yale ya yesu akikiri kuwa yeye ni mungu na akikiri kuwa yeye ni mmoja wa miungu watatu waliopo
Hayo maandiko uliyoleta sijaona hoja yoyote!!!
Nionyeshe ushahidi mtume anasema ametolewa nyongo๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Endelea kutukana hivohivo
Maana hoja za maana umekosa ๐Ÿ˜ƒ ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜„
Kwani biblia ilikuwa kabla ya Adamu?
Fungua kichwa mkuu. Ndiyo maana nimekutumia vifungu vya bible vinavyotoa ushahidi kwamba Yesu ni mwana wa MUNGU, Ila bado umesema hakuna mstari Yesu amekiri yeye ni mwana wa MUNGU na wakati huo mstari upo. Unataka hoja gani wakati hoja zenyewe huzisomi, nikikuita kiazi nakuwa nimekutukana? Au shida ni ile ile?๐Ÿ˜‚
 
Nionyeshe ushahidi mtume anasema ametolewa nyongo๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

ุนูŽู†ู’ ุฃูŽู†ูŽุณู ุจู’ู†ู ู…ูŽุงู„ููƒูุŒ ุฃูŽู†ู‘ูŽ ุฑูŽุณููˆู„ูŽ ุงู„ู„ู‘ูŽู‡ู ุตู„ู‰ ุงู„ู„ู‡ ุนู„ูŠู‡ ูˆุณู„ู… ุฃูŽุชูŽุงู‡ู ุฌูุจู’ุฑููŠู„ู ูˆูŽู‡ููˆูŽ ูŠูŽู„ู’ุนูŽุจู ู…ูŽุนูŽ ุงู„ู’ุบูู„ู’ู…ูŽุงู†ู ููŽุฃูŽุฎูŽุฐูŽู‡ู ููŽุตูŽุฑูŽุนูŽู‡ู ููŽุดูŽู‚ู‘ูŽ ุนูŽู†ู’ ู‚ูŽู„ู’ุจูู‡ู ููŽุงุณู’ุชูŽุฎู’ุฑูŽุฌูŽ ุงู„ู’ู‚ูŽู„ู’ุจูŽ ููŽุงุณู’ุชูŽุฎู’ุฑูŽุฌูŽ ู…ูู†ู’ู‡ู ุนูŽู„ูŽู‚ูŽุฉู‹ ููŽู‚ูŽุงู„ูŽ ู‡ูŽุฐูŽุง ุญูŽุธู‘ู ุงู„ุดู‘ูŽูŠู’ุทูŽุงู†ู ู…ูู†ู’ูƒูŽ ุซูู…ู‘ูŽ ุบูŽุณูŽู„ูŽู‡ู ูููŠ ุทูŽุณู’ุชู ู…ูู†ู’ ุฐูŽู‡ูŽุจู ุจูู…ูŽุงุกู ุฒูŽู…ู’ุฒูŽู…ูŽ ุซูู…ู‘ูŽ ู„ูŽุฃูŽู…ูŽู‡ู ุซูู…ู‘ูŽ ุฃูŽุนูŽุงุฏูŽู‡ู ูููŠ ู…ูŽูƒูŽุงู†ูู‡ู ูˆูŽุฌูŽุงุกูŽ ุงู„ู’ุบูู„ู’ู…ูŽุงู†ู ูŠูŽุณู’ุนูŽูˆู’ู†ูŽ ุฅูู„ูŽู‰ ุฃูู…ู‘ูู‡ู - ูŠูŽุนู’ู†ููŠ ุธูุฆู’ุฑูŽู‡ู - ููŽู‚ูŽุงู„ููˆุง ุฅูู†ู‘ูŽ ู…ูุญูŽู…ู‘ูŽุฏู‹ุง ู‚ูŽุฏู’ ู‚ูุชูู„ูŽ ููŽุงุณู’ุชูŽู‚ู’ุจูŽู„ููˆู‡ู ูˆูŽู‡ููˆูŽ ู…ูู†ู’ุชูŽู‚ูŽุนู ุงู„ู„ู‘ูŽูˆู’ู†ู ู‚ูŽุงู„ูŽ ุฃูŽู†ูŽุณูŒ ูˆูŽู‚ูŽุฏู’ ูƒูู†ู’ุชู ุฃูŽุฑูŽู‰ ุฃูŽุซูŽุฑูŽ ุฐูŽู„ููƒูŽ ุงู„ู’ู…ูุฎู’ูŠูŽุทู ูููŠ ุตูŽุฏู’ุฑูู‡ู.
Imesimuliwa kutoka kwa Anas bin Malik kwamba Mtume wa Mwenyezi Mungu (Rehema na Amani ziwe juu yake) alikuja Jibril alipokuwa akicheza na watoto. Akamchukua na kumlaza chini, kisha akapasua kifua chake na kutoa moyo wake. Akatoa kutoka humo kipande kidogo na kusema: "Hii ni sehemu ya Shetani ndani yako." Kisha akaosha moyo wake katika bakuli la dhahabu kwa maji ya Zamzam, akaurudisha pamoja na kuufunga, kisha akamrejesha mahali pake. Watoto walikimbia kwa mama yake mlezi wakisema: "Muhammad ameuawa!" Wakaja kwake na kumkuta akiwa na rangi iliyobadilika. Anas alisema: "Nilikuwa naona athari ya mshono huo.
 
Fungua kichwa mkuu. Ndiyo maana nimekutumia vifungu vya bible vinavyotoa ushahidi kwamba Yesu ni mwana wa MUNGU, Ila bado umesema hakuna mstari Yesu amekiri yeye ni mwana wa MUNGU na wakati huo mstari upo. Unataka hoja gani wakati hoja zenyewe huzisomi, nikikuita kiazi nakuwa nimekutukana? Au shida ni ile ile?๐Ÿ˜‚
Onyesha mstari wa biblia unaosema yesu ni mungu wa tatu ๐Ÿ˜ƒ
 
ุนูŽู†ู’ ุฃูŽู†ูŽุณู ุจู’ู†ู ู…ูŽุงู„ููƒูุŒ ุฃูŽู†ู‘ูŽ ุฑูŽุณููˆู„ูŽ ุงู„ู„ู‘ูŽู‡ู ุตู„ู‰ ุงู„ู„ู‡ ุนู„ูŠู‡ ูˆุณู„ู… ุฃูŽุชูŽุงู‡ู ุฌูุจู’ุฑููŠู„ู ูˆูŽู‡ููˆูŽ ูŠูŽู„ู’ุนูŽุจู ู…ูŽุนูŽ ุงู„ู’ุบูู„ู’ู…ูŽุงู†ู ููŽุฃูŽุฎูŽุฐูŽู‡ู ููŽุตูŽุฑูŽุนูŽู‡ู ููŽุดูŽู‚ู‘ูŽ ุนูŽู†ู’ ู‚ูŽู„ู’ุจูู‡ู ููŽุงุณู’ุชูŽุฎู’ุฑูŽุฌูŽ ุงู„ู’ู‚ูŽู„ู’ุจูŽ ููŽุงุณู’ุชูŽุฎู’ุฑูŽุฌูŽ ู…ูู†ู’ู‡ู ุนูŽู„ูŽู‚ูŽุฉู‹ ููŽู‚ูŽุงู„ูŽ ู‡ูŽุฐูŽุง ุญูŽุธู‘ู ุงู„ุดู‘ูŽูŠู’ุทูŽุงู†ู ู…ูู†ู’ูƒูŽ ุซูู…ู‘ูŽ ุบูŽุณูŽู„ูŽู‡ู ูููŠ ุทูŽุณู’ุชู ู…ูู†ู’ ุฐูŽู‡ูŽุจู ุจูู…ูŽุงุกู ุฒูŽู…ู’ุฒูŽู…ูŽ ุซูู…ู‘ูŽ ู„ูŽุฃูŽู…ูŽู‡ู ุซูู…ู‘ูŽ ุฃูŽุนูŽุงุฏูŽู‡ู ูููŠ ู…ูŽูƒูŽุงู†ูู‡ู ูˆูŽุฌูŽุงุกูŽ ุงู„ู’ุบูู„ู’ู…ูŽุงู†ู ูŠูŽุณู’ุนูŽูˆู’ู†ูŽ ุฅูู„ูŽู‰ ุฃูู…ู‘ูู‡ู - ูŠูŽุนู’ู†ููŠ ุธูุฆู’ุฑูŽู‡ู - ููŽู‚ูŽุงู„ููˆุง ุฅูู†ู‘ูŽ ู…ูุญูŽู…ู‘ูŽุฏู‹ุง ู‚ูŽุฏู’ ู‚ูุชูู„ูŽ ููŽุงุณู’ุชูŽู‚ู’ุจูŽู„ููˆู‡ู ูˆูŽู‡ููˆูŽ ู…ูู†ู’ุชูŽู‚ูŽุนู ุงู„ู„ู‘ูŽูˆู’ู†ู ู‚ูŽุงู„ูŽ ุฃูŽู†ูŽุณูŒ ูˆูŽู‚ูŽุฏู’ ูƒูู†ู’ุชู ุฃูŽุฑูŽู‰ ุฃูŽุซูŽุฑูŽ ุฐูŽู„ููƒูŽ ุงู„ู’ู…ูุฎู’ูŠูŽุทู ูููŠ ุตูŽุฏู’ุฑูู‡ู.
Imesimuliwa kutoka kwa Anas bin Malik kwamba Mtume wa Mwenyezi Mungu (Rehema na Amani ziwe juu yake) alikuja Jibril alipokuwa akicheza na watoto. Akamchukua na kumlaza chini, kisha akapasua kifua chake na kutoa moyo wake. Akatoa kutoka humo kipande kidogo na kusema: "Hii ni sehemu ya Shetani ndani yako." Kisha akaosha moyo wake katika bakuli la dhahabu kwa maji ya Zamzam, akaurudisha pamoja na kuufunga, kisha akamrejesha mahali pake. Watoto walikimbia kwa mama yake mlezi wakisema: "Muhammad ameuawa!" Wakaja kwake na kumkuta akiwa na rangi iliyobadilika. Anas alisema: "Nilikuwa naona athari ya mshono huo.
Hii hadithi ni Sahih au dhaifu?
 
1. Pomponius Mela (Karne ya 1 BK) โ€“ De Chorographia

Reference: Mela, Pomponius. "De Chorographia." (Karne ya 1 BK)

Pomponius Mela, mwanajiografia wa Kirumi, aliandika kuhusu Waarabu wa Arabia Deserta na akasema walikuwa watu waliotokana na uzao wa Ismail.

Kulingana na maelezo yake, Waarabu wa kaskazini mwa Arabia walihusiana na kabila la Adnani, ambalo linahusiana na Ismail (A.S.).

2. Diodorus Siculus (Karne ya 1 KK) โ€“ Bibliotheca Historica

Reference: Diodorus Siculus. "Bibliotheca Historica" (Book 3, Chapter 44). Translated by C.H. Oldfather. (Loeb Classical Library)

Diodorus Siculus, mwanahistoria wa Kigiriki wa karne ya 1 KK, aliandika kuhusu historia ya dunia na akataja kwamba Waarabu wa Arabia Deserta walitokana na Ismail (A.S.).

Aliandika kuhusu Makka na kusema kuwa ilikuwa sehemu muhimu ya biashara iliyojulikana kwa Waarabu wa kale.

3. Strabo (Karne ya 1 BK) โ€“ Geography

Reference: Strabo. "Geography" (Book 16, Chapter 4). Translated by H.C. Hamilton & W. Falconer. (Loeb Classical Library)

Strabo, mwanajiografia na mwanahistoria wa Kigiriki, aliandika kuhusu Waarabu na akataja makabila yao, akisema kuwa walihusiana na maeneo ya Hijaz, hasa Makka.

Alielezea kuwa Waarabu wa kaskazini walikuwa na uhusiano wa moja kwa moja na familia ya Ismail, ingawa hakumtaja moja kwa moja.

4. Ptolemy (Karne ya 2 BK) โ€“ Geographia

Reference: Ptolemy. "Geographia" (Book 6, Chapter 7). Translated by J. Lennart Berggren & Alexander Jones.

Claudius Ptolemy, mwanajiografia wa Kigiriki, aliandika kuhusu maeneo ya Arabia na akataja makabila kadhaa ya Waarabu wa Kaskazini, ambao walihusiana na nasaba ya Ismail (A.S.).

Katika ramani zake za dunia ya kale, Ptolemy aliorodhesha Makka na maeneo ya karibu kama sehemu muhimu za kabila la Waarabu wa Adnani.

5. Theophanes the Confessor (Karne ya 9 BK) โ€“ Chronicle

Reference: Theophanes the Confessor. "Chronicle." Translated by Cyril Mango & Roger Scott.

Theophanes, mwanahistoria wa Byzantine, aliandika kuwa Waarabu walikuwa "watu wa Ismail", na alielezea kuwa Waarabu wa Kaskazini walihusiana na Makka.

Aliandika kuwa kabla ya Uislamu, Waarabu walikuwa na mila zao zilizoelekezwa kwenye maeneo matakatifu yaliyoanzishwa na nasaba ya Ismail.
Allah (s.w) azidi kukuongoza katika njia iliyonyooka na uzidi kutoa elimu yenye manufaa kwa wote wenye kuskiliza, INSHALLAH
 
Back
Top Bottom