Lighton
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 1,424
- 2,333
Muulizeni Musa maana biblia ni mkusanyiko wa vitabu vilivyoandikwa na waisraeli, kitabu cha mwanzo kimeandikwa na MUSA.Na vipi biblia inapoelezea mambo ya Adamu ๐๐๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muulizeni Musa maana biblia ni mkusanyiko wa vitabu vilivyoandikwa na waisraeli, kitabu cha mwanzo kimeandikwa na MUSA.Na vipi biblia inapoelezea mambo ya Adamu ๐๐๐
Achana na mambo ya Musa kwanza!!!Muulizeni Musa maana biblia ni mkusanyiko wa vitabu vilivyoandikwa na waisraeli, kitabu cha mwanzo kimeandikwa na MUSA.
Hoja ni zilezile kwamba Yesu ni mwana wa MUNGU.Toa hoja wewe!!! ๐
Allah ni mshkaji tu Ila nyinyi ndo mnamuita MUNGU.Allah ni nani mbona unapagawa mapema kijana!!!
Waislam wengi ni viazi. Aliyeandika biblia unamjua? Alitoa wapi alichokiandika? Nijibu kwanza hapo Ili nijue Kama akili unazo.Achana na mambo ya Musa kwanza!!!
Wewe umesema Qurโan kuzungumzia masuala ya miaka 1500 kabla yake ni hadithi
Je biblia inapozungumzia masuala ya Adamu ni nini?
Inapaswa useme Allah ni mshkaji wake nani wewe na wewe hiyo taarifa kuwa Allah ni mshkaji umeipata wapiHoja ni zilezile kwamba Yesu ni mwana wa MUNGU.
Allah ni mshkaji tu Ila nyinyi ndo mnamuita MUNGU.
Jibu kwanza swali langu ndo tuingie kwenye mada nyingine!!! ๐๐๐Waislam wengi ni viazi. Aliyeandika biblia unamjua? Alitoa wapi alichokiandika? Nijibu kwanza hapo Ili nijue Kama akili unazo.
Kama wako peponi kwanini uwaombee amani?Katika Uislamu unapotaja jina la Mtume yeyote wa Mwenyezi Mungu unatakiwa umuombee amani. Hii ni kwa Mitume wote akiwemo na Mtume Muhammad (Rehema na Amani ziwe juu yake).
Soma mathayo 11:25-28, mathayo 12:3-7,mathayo 16:14-17,isaya 7:12-16, mathayo 3:16:17, mathayo 17:Toa hoja wewe!!! ๐
Toa hoja wewe!!! ๐
Swali lako linahitaji swali Ili liwe jibu, maana ukielezewa huelewi, akili yako inakutuma, biblia ni Kama Quran, mtume hajui kuandika Wala kusoma kwahyo ni Aya zilizoshuka๐๐ Aya za uongo, ujanja ujanja tu. Eti Quran ni muunganiko wa injili,torati na cjui na upumbavu gani๐๐Jibu kwanza swali langu ndo tuingie kwenye mada nyingine!!! ๐๐๐
Tuliza mawenge kiazi wa kiarabu, watu walipambana kuitafsiri biblia kutoka kiebrania mpaka kuandikwa Kwa lugha zote Duniani Ili mpumbavu, usisone Bali uelewe. Kusoma kuruani tu shida utaielewa?๐๐Jibu kwanza swali langu ndo tuingie kwenye mada nyingine!!! ๐๐๐
Maandiko yanayotakiwa ni yale ya yesu akikiri kuwa yeye ni mungu na akikiri kuwa yeye ni mmoja wa miungu watatu waliopoSoma mathayo 11:25-28, mathayo 12:3-7,mathayo 16:14-17,isaya 7:12-16, mathayo 3:16:17, mathayo 17:
๐๐๐๐Maandiko yanayotakiwa ni yale ya yesu akikiri kuwa yeye ni mungu na akikiri kuwa yeye ni mmoja wa miungu watatu waliopo
Hayo maandiko uliyoleta sijaona hoja yoyote!!!
Nionyeshe ushahidi mtume anasema ametolewa nyongo๐๐Maandiko yanayotakiwa ni yale ya yesu akikiri kuwa yeye ni mungu na akikiri kuwa yeye ni mmoja wa miungu watatu waliopo
Hayo maandiko uliyoleta sijaona hoja yoyote!!!
Endelea kutukana hivohivoTuliza mawenge kiazi wa kiarabu,
Fungua kichwa mkuu. Ndiyo maana nimekutumia vifungu vya bible vinavyotoa ushahidi kwamba Yesu ni mwana wa MUNGU, Ila bado umesema hakuna mstari Yesu amekiri yeye ni mwana wa MUNGU na wakati huo mstari upo. Unataka hoja gani wakati hoja zenyewe huzisomi, nikikuita kiazi nakuwa nimekutukana? Au shida ni ile ile?๐Endelea kutukana hivohivo
Maana hoja za maana umekosa ๐ ๐ ๐
Kwani biblia ilikuwa kabla ya Adamu?
Nionyeshe ushahidi mtume anasema ametolewa nyongo๐๐
Onyesha mstari wa biblia unaosema yesu ni mungu wa tatu ๐Fungua kichwa mkuu. Ndiyo maana nimekutumia vifungu vya bible vinavyotoa ushahidi kwamba Yesu ni mwana wa MUNGU, Ila bado umesema hakuna mstari Yesu amekiri yeye ni mwana wa MUNGU na wakati huo mstari upo. Unataka hoja gani wakati hoja zenyewe huzisomi, nikikuita kiazi nakuwa nimekutukana? Au shida ni ile ile?๐
Hii hadithi ni Sahih au dhaifu?ุนููู ุฃูููุณู ุจููู ู ูุงููููุ ุฃูููู ุฑูุณูููู ุงูููููู ุตูู ุงููู ุนููู ูุณูู ุฃูุชูุงูู ุฌูุจูุฑูููู ูููููู ููููุนูุจู ู ูุนู ุงููุบูููู ูุงูู ููุฃูุฎูุฐููู ููุตูุฑูุนููู ููุดูููู ุนููู ููููุจููู ููุงุณูุชูุฎูุฑูุฌู ุงููููููุจู ููุงุณูุชูุฎูุฑูุฌู ู ููููู ุนูููููุฉู ููููุงูู ููุฐูุง ุญูุธูู ุงูุดููููุทูุงูู ู ููููู ุซูู ูู ุบูุณููููู ููู ุทูุณูุชู ู ููู ุฐูููุจู ุจูู ูุงุกู ุฒูู ูุฒูู ู ุซูู ูู ููุฃูู ููู ุซูู ูู ุฃูุนูุงุฏููู ููู ู ูููุงูููู ููุฌูุงุกู ุงููุบูููู ูุงูู ููุณูุนููููู ุฅูููู ุฃูู ูููู - ููุนูููู ุธูุฆูุฑููู - ููููุงูููุง ุฅูููู ู ูุญูู ููุฏูุง ููุฏู ููุชููู ููุงุณูุชูููุจูููููู ูููููู ู ูููุชูููุนู ุงูููููููู ููุงูู ุฃูููุณู ููููุฏู ููููุชู ุฃูุฑูู ุฃูุซูุฑู ุฐููููู ุงููู ูุฎูููุทู ููู ุตูุฏูุฑููู.
Imesimuliwa kutoka kwa Anas bin Malik kwamba Mtume wa Mwenyezi Mungu (Rehema na Amani ziwe juu yake) alikuja Jibril alipokuwa akicheza na watoto. Akamchukua na kumlaza chini, kisha akapasua kifua chake na kutoa moyo wake. Akatoa kutoka humo kipande kidogo na kusema: "Hii ni sehemu ya Shetani ndani yako." Kisha akaosha moyo wake katika bakuli la dhahabu kwa maji ya Zamzam, akaurudisha pamoja na kuufunga, kisha akamrejesha mahali pake. Watoto walikimbia kwa mama yake mlezi wakisema: "Muhammad ameuawa!" Wakaja kwake na kumkuta akiwa na rangi iliyobadilika. Anas alisema: "Nilikuwa naona athari ya mshono huo.
Ni sahihHii hadithi ni Sahih au dhaifu?
Allah (s.w) azidi kukuongoza katika njia iliyonyooka na uzidi kutoa elimu yenye manufaa kwa wote wenye kuskiliza, INSHALLAH1. Pomponius Mela (Karne ya 1 BK) โ De Chorographia
Reference: Mela, Pomponius. "De Chorographia." (Karne ya 1 BK)
Pomponius Mela, mwanajiografia wa Kirumi, aliandika kuhusu Waarabu wa Arabia Deserta na akasema walikuwa watu waliotokana na uzao wa Ismail.
Kulingana na maelezo yake, Waarabu wa kaskazini mwa Arabia walihusiana na kabila la Adnani, ambalo linahusiana na Ismail (A.S.).
2. Diodorus Siculus (Karne ya 1 KK) โ Bibliotheca Historica
Reference: Diodorus Siculus. "Bibliotheca Historica" (Book 3, Chapter 44). Translated by C.H. Oldfather. (Loeb Classical Library)
Diodorus Siculus, mwanahistoria wa Kigiriki wa karne ya 1 KK, aliandika kuhusu historia ya dunia na akataja kwamba Waarabu wa Arabia Deserta walitokana na Ismail (A.S.).
Aliandika kuhusu Makka na kusema kuwa ilikuwa sehemu muhimu ya biashara iliyojulikana kwa Waarabu wa kale.
3. Strabo (Karne ya 1 BK) โ Geography
Reference: Strabo. "Geography" (Book 16, Chapter 4). Translated by H.C. Hamilton & W. Falconer. (Loeb Classical Library)
Strabo, mwanajiografia na mwanahistoria wa Kigiriki, aliandika kuhusu Waarabu na akataja makabila yao, akisema kuwa walihusiana na maeneo ya Hijaz, hasa Makka.
Alielezea kuwa Waarabu wa kaskazini walikuwa na uhusiano wa moja kwa moja na familia ya Ismail, ingawa hakumtaja moja kwa moja.
4. Ptolemy (Karne ya 2 BK) โ Geographia
Reference: Ptolemy. "Geographia" (Book 6, Chapter 7). Translated by J. Lennart Berggren & Alexander Jones.
Claudius Ptolemy, mwanajiografia wa Kigiriki, aliandika kuhusu maeneo ya Arabia na akataja makabila kadhaa ya Waarabu wa Kaskazini, ambao walihusiana na nasaba ya Ismail (A.S.).
Katika ramani zake za dunia ya kale, Ptolemy aliorodhesha Makka na maeneo ya karibu kama sehemu muhimu za kabila la Waarabu wa Adnani.
5. Theophanes the Confessor (Karne ya 9 BK) โ Chronicle
Reference: Theophanes the Confessor. "Chronicle." Translated by Cyril Mango & Roger Scott.
Theophanes, mwanahistoria wa Byzantine, aliandika kuwa Waarabu walikuwa "watu wa Ismail", na alielezea kuwa Waarabu wa Kaskazini walihusiana na Makka.
Aliandika kuwa kabla ya Uislamu, Waarabu walikuwa na mila zao zilizoelekezwa kwenye maeneo matakatifu yaliyoanzishwa na nasaba ya Ismail.