Je, Injili Ilitabiri Ujio wa Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake)?

Mbona hakuna ushahidi wa Qur’an wala hadith ulioleta
Nishaeleza huko juu zaidi ya mara 5

Nakupa historia , Uislamu ni project ya Roman empire kuiteka Yerusalemu,ndio maana vita pale mashariki ya kati

Wakatoliki ndio walioanzisha Uislamu Ili kuwaweka waarabu ndani ya utawala mmoja wa kiimani, kabla waarabu walikuwa wakiabudu miungu yao mbalimbali kupitia masanamu Ili iwe rahisi kuwatawala, Majasusi wa Shirika la Jesuit vatican wakaanzisha dini mpya itwayo islam,itakayowaunganisha waarabu wote kiimani mwaka 600 BC.

Mapadre watano wa kikatoliki ndio walioandika kitabu cha Quran na kumtafuta mwanamke mfanyabiashara aitwae Bi Hadija na kumpa utajiri. Bi khadija ndie alimtafuta kijana aitwae Muhammad akamkabidhi kwa mapadre wa kikatoliki ndio waliomfunza Quran mapangoni.

Ndipo Uislamu ukaenea kwa kasi Sana Katika nchi za kiarabu ambazo zamani zilikuwa ni nchi za Kikristo ukavuka mpaka na kutaka kuingia nchi za Ulaya mashariki kutokea Uturuki Ili kwenda kuiteka Vatican, Majasusi wa Jesuit wakaingia tena vitani wakarudisha nyuma kupitia vita vya msalaba waarabu wakala Sana panga toka vatican wakarudi nyuma, rejea vita vya msalaba na ottoman empire.

Majuzi magaidi wa ISIS tokea iraq wakataka kuendeleza mpango ulioshindwa wa ottoman empire kuupenyesha utawala wa kiislamu Ulaya. Wakasambaratishwa na USA na NATO na kumuua Al baghad kiongozi wa ISIS.

Huku kundi la ISIL tawi la ISIS Syria likipelekwa kuzimu na ndege za Putin.
 
Qur’an Qur’an ndiyo iseme kuhusu hilo
 
Qur’an Qur’an ndiyo iseme kuhusu hilo
Quran ni kitabu cha hao hao wakatoliki ,

Nakupa historia

WAISLAMU wanasema Wakristo na Wayahudi wauwawe

Sera ile ile ya Roman Catholic

Nazi wa Katoliki waliwalazimisha Wayahudi kuwa Wakatoliki la sivyo wafe:

Chanzo kimoja kinasema: “Hitler pia alikuwa tayari kuzungumza na Askofu maoni yake juu ya swala la Wayahudi:

“Kwa upande wa Wayahudi, ninaendelea na sera ileile ambayo kanisa la Katoliki lilichukua kwa miaka mia tano, wakati lilipowaona Wayahudi kama watu wa Hatari na kuwasukumia katika mageto [ghettos] nk, kwa sababu lilijua jinsi Wayahudi walivyokuwa. Mimi siweki mashindano juu ya dini, lakini ninaona hatari kwa wawakilishi wa mashindano haya ya Kanisa na Serikali, na labda ninafanya Ukristo kuwa huduma kubwa.” —

(The Nazi Persecution of the Churches” by J.S. Conway, Pgs.25)
 
Na pia kajisema ni mwana wa Mungu, na Mungu, na kajisema ni Alfa na Omega yaani mwanzo na mwisho

Au unadhani sisi tunadokoa andiko moja moja
Kwa hiyo kila walioitwa wana wa mungu ni miungu?
 
Quran ni kitabu cha hao hao wakatoliki ,

Nakupa historia

WAISLAMU wanasema Wakristo na Wayahudi wauwawe

Sera ile ile ya Roman Catholic

Nazi wa Katoliki waliwalazimisha Wayahudi kuwa Wakatoliki la sivyo wafe:

Chanzo kimoja kinasema: “Hitler pia alikuwa tayari kuzungumza na Askofu maoni yake juu ya swala la Wayahudi:

“Kwa upande wa Wayahudi, ninaendelea na sera ileile ambayo kanisa la Katoliki lilichukua kwa miaka mia tano, wakati lilipowaona Wayahudi kama watu wa Hatari na kuwasukumia katika mageto [ghettos] nk, kwa sababu lilijua jinsi Wayahudi walivyokuwa. Mimi siweki mashindano juu ya dini, lakini ninaona hatari kwa wawakilishi wa mashindano haya ya Kanisa na Serikali, na labda ninafanya Ukristo kuwa huduma kubwa.” —

(The Nazi Persecution of the Churches” by J.S. Conway, Pgs.25)
Nataka Qur’an ithibitishe hayo
 
Kwa hiyo kila walioitwa wana wa mungu ni miungu?
Unaelewa maana ya Alfa na Omega?

Unajua mwenye mamlaka ya kusamehe dhambi ni Mungu pekee ?

Hizi Sifa nani anazo?

Naomba majibu ,ngoja nianze mtundo wa kukupiga maswali
 
Unamaanisha nini unaposema wa kwanza na wa mwisho

Halafu vipi kuhusu wana wa mungu wengine nao ni miungu au
 
Ushahidi umeshindwa kuuleta umeleta matusi tu 😃
Ukichaa siyo tusi. Waislam wengi ni vichaa Kama wewe😂 wanasema mbinguni Kuna kusenyentana😂😂 Mara ooo mbinguni lugha inayozungumzwa ni kiarabu😂😂😂 mmeshazoea porojo tu.
 
Back
Top Bottom