Je, Injili Ilitabiri Ujio wa Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake)?

Usiiamini Quran ni kitabu cha juzi tu
Kuwa cha juzi siyo tatizo,tatizo ukweli, muhammad hakujua kusoma na kuandika lakini alijua ukiwa yanapanda angani kifua kitabana kwa kukosa pumzi
Quran 6:125
KWA nini nisikiamini?
 
Hamna hoja hapo
Ukitaka tafsiri ya ya aya, Hadith na sura za Quran lazima ukasome Tafsir. Usiseme sina hoja,wewe kama wewe huwezi wala huna mamlaka ya kutafsiri. Ndiyo maana utasikia maulamaa wanasema hivi au vile,ukitaka kujua maana ya maandiko yenu tafuta vitabu vya tafsiri vya hawa watu mkuu .
1)Ibn- kathir
2)Al-Tabari
3)Al-Mizan.

Huku ndiyo utajua mpaka kwanini mnaruhusiwa kuoa watoto😏.
 
Wewe ni mwanazuoni ,unaujua uislamu
 
Hata biblia ni kitabu cha juzi tu
Hii ndio biblia iliyodumu miaka na miaka ,

Kwanza, mfumo wa maandishi ya alfabeti ulikuwepo tangu mwaka 1800 KK, ukijulikana kama Proto-Sinaitic. Mfumo huu wa maandishi uligunduliwa na Flinders Petrie mwanzoni mwa miaka ya 1900 na baadaye na watafiti kutoka Yale katika miaka ya 1990. Pia, k comb ya kale kutoka Lachish, Israeli, ilipatikana ikiwa na maandishi ya alfabeti, ikithibitisha kuwa maandishi yalikuwa yakitumika katika Kanaan tangu 1700 KK. Hii inaonyesha kuwa Musa alikuwa na uwezo wa kuandika sehemu za kihistoria na kisheria za Torati tayari ifikapo 1700–1800 KK.

Pili, Nakala za Bahari ya Chumvi (Dead Sea Scrolls), ambazo ni zaidi ya miaka elfu mbili, zinathibitisha kuwa Biblia ya Kiebrania imehifadhiwa kwa usahihi mkubwa. Karibu vitabu vyote vya Biblia vinapatikana katika maandiko haya ya kale. Kitabu cha Isaya, kilichopatikana kikiwa kamili, kinafanana kwa zaidi ya 95% na maandiko tunayotumia leo.

Mwanakiolojia mashuhuri wa Israeli, Yigael Yadin, aliandika katika kitabu chake The Message of the Scrolls uk. 83:
"Kinachoshangaza ni kwamba licha ya umri wao na ukweli kwamba hati hizi ziliandikwa kabla ya kusawazishwa kwa maandiko, kwa ujumla zinafanana sana na maandiko ya Kimasora tunayoyajua leo."

Pia, msomi wa Biblia Gleason Archer aliandika kuhusu Kitabu cha Isaya:
"Hata ingawa nakala mbili za Isaya zilizogunduliwa Qumran zilikuwa na tofauti ya zaidi ya miaka 1000 na maandiko yaliyokuwepo kabla, zilionekana kuwa na ulinganifu wa neno kwa neno kwa zaidi ya asilimia 95. Tofauti zilizopo ni za tahajia na makosa madogo ya kuandika."

Hii inaonyesha kuwa waandishi wa Biblia ya Kiebrania waliiga maandiko kwa uangalifu mkubwa kwa maelfu ya miaka. Kwa hivyo, Biblia haikupotoshwa kama mnavyodanganyana misikitini bali iliandikwa mapema na kuhifadhiwa kwa usahihi mkubwa.
FB_IMG_1740923930650.jpg
 
NILISHAKWAMBIA HUNA ELIMU ,NDIO MAANA MADA ZANGU HUWA UNAZIKIMBIA

Neno "YEHOVA" au "JEHOVAH" halitokani na Kigiriki, bali ni matokeo ya mabadiliko ya lugha kutoka Kiebrania hadi Kilatini na hatimaye Kingereza.

Asili ya jina hili ni kutoka kwenye Tetragrammaton (YHWH), ambalo ni jina takatifu la Mungu linalopatikana katika Biblia ya Kiebrania.

Katika Kiebrania cha zamani, herufi "YHWH" hazikuwa na vokali kwa sababu lugha hiyo awali iliandikwa bila vokali.

Baadaye, Wamasoreti (wasomi wa Kiyahudi wa karne ya 6-10 BK) waliongeza nukta za vokali kutoka kwa jina Adonai ili kusaidia kulitamka bila kulitaja kwa heshima.

Watafsiri wa Kilatini walichukua herufi hizo na kuzibadilisha kuwa "JHVH", kisha wakaongeza vokali kutoka "Adonai" na kupata "Jehovah" (Kiingereza) au "Yehova" (Kiswahili).

Mungu alijifunua kwa jina la YHWH (Yehova) kwa Waisraeli, kama inavyothibitishwa na Biblia yenyewe:

Kutoka 6:3 – "Nami nalijulikana kwa Ibrahimu, na Isaka, na Yakobo, kwa jina la Mungu Mwenyezi; bali kwa jina langu Yehova sikujulikana kwao."

Zaburi 83:18 – "Ili watu wajue ya kuwa wewe, ambaye jina lako ni Yehova, ndiwe peke yako Uliye juu, juu ya dunia yote."

Kwa hiyo, JEHOVAH / YEHOVA si jina la Kigiriki, bali ni tafsiri ya YHWH kutoka Kiebrania kupitia Kilatini.
Naona Sasa umeamua kubishana na historical language

Wayahudi hawakuwa na sababu ya kubadilisha jina la Mungu Kwa sababu hayo majina Mungu aliyataja Kwa lugha Yao in written and spoken

Waliobadilisha hayo majina ni wagiriki Ili wakupotezeni vizuri

The word "JEHOVAH" was formed by merging the three vowels (e, o, and a) of the word ELOAH, into the Romanized (Latinized) four letter version JHVH (i.e. JeHoVaH).This was an early concoction.

The word "YAHWEH" was formed by merging the vowels (a, and e) of the word HASHEM into the four letter version YHWH (i.e. YaHWeH). This was a more recent invention.

Nimeona hapo umesema YEHOVA inatokana na neno YAHWH ebu nenda ukasome vizuri

ELOAH ndio ilichakachuliwa na wagiriki wakapata JHVH alafu ndio YEHOVA

HASHEM nalo wakalichakachua wakapata YAHWH alafu ndio YAHWEH

Mungu hajawahi kujiita YEHOVA Wala YAHWEH hizo zote ni fix za Wazungu Ili muabudu Miungu Yao

Kilichofanyika hapo ni sawa na kilichofanyika katika jina la Yesu maana Yesu siku akishuka Duniani ukimwita Yesu atakushangaa na ukimuita Jesus pia atakushangaa maana hayo majina hayajui

Jina lake ni YEHOSHUA
Kuna herufi hapo wagiriki hawana ndio wakachakachua wakapata Jesus

YEHOSHUA
YE........S...U..

Kilichofanyika hapo hakina tofauti na walichofanya katika

ELOAH wakapata JEHOVAH

HASHEM wakapata YAHWEH

Hayo majina ya mwisho yote Mungu hayajui hayo ni majina ya Miungu ya kigiriki

Sina mda wa kubishana na wewe Mimi nakuelimisha tu
Nitabishana vipi na mtu ambaye hata jina la Mungu wake aliyemuumba hajui anaitwa nani

Sisi waislam tunajua kuwa nyinyi jina la Mungu hamlijui na ndio maana mkichinja mnyama au Ndege sisi hatuli
 
USHUHUDIAJI WA KIARKEOLOJIA UNATHIBITISHA KUWEPO KWA BELSHAZARI!!

Kwa muda mrefu, Belshazari hakujulikana katika historia, kwani waandishi wa kale kama Berossus (250 KK) walimtaja Nabonido kama mfalme wa mwisho wa Babeli. Hii ilisababisha wakosoaji wa karne ya 19 kutilia shaka usahihi wa simulizi la Belshazari katika Kitabu cha Danieli. Baadhi ya wasomi, akiwemo Lengerke, walidai kuwa Kitabu cha Danieli ni "hadithi ya kubuni" na "udanganyifu dhahiri," wakisema kuwa "hadithi nzima imepotoshwa na mwandishi, ambaye hakuwa shahidi wa matukio hayo wala hakuwa na ufahamu sahihi wa historia yake."

Madai haya yalitokana na uelewa wa wakati huo kwamba mfalme wa mwisho wa Babeli alikuwa Nabonido, na Belshazari hakuwa anajulikana nje ya Biblia. Hata hivyo, mwaka 1854, silinda nne za udongo zilipatikana katika magofu ya ziggurat huko Uru, Iraq, na J.E. Taylor. Ugunduzi wa Silinda za Nabonido ulithibitisha kuwa Belshazari alikuwa mtu halisi na mwana wa Mfalme Nabonido wa Babeli. Silinda hizi nne za udongo, zenye maandishi yanayofanana, zilipatikana katika msingi wa ziggurat huko Uru, Mesopotamia.

Silinda hizi ziliwekwa na Mfalme Nabonido na zinaeleza kuhusu ukarabati wa ziggurat hiyo. Aidha, maandishi yake yanamtaja na kumwombea mwana wa Nabonido, Belshazari, ambaye alikuwa mshirika wake katika utawala (co-regent). Ugunduzi huu ulithibitisha kuwa simulizi la Biblia kuhusu Belshazari ni sahihi.

Silinda hizi pia zinaeleza maana ya Danieli 5:16, ambapo Danieli anaahidiwa kuwa "mtawala wa tatu katika ufalme". Kwa kuwa Nabonido na Belshazari walitawala pamoja, Danieli angekuwa wa tatu kwa cheo katika utawala huo.

Biblia inasimulia kuwa Belshazari alikuwa mfalme wa mwisho wa Babeli. Katika simulizi hilo, alifanya karamu kubwa na kutumia vyombo vya dhahabu na fedha vilivyochukuliwa kutoka Hekalu la Yerusalemu. Katika karamu hiyo, Belshazari aliona mkono ukiandika maneno ukutani kwa Kiaramu, ambayo nabii Danieli alitafsiri kama hukumu kutoka kwa Mungu.

Ugunduzi mwingine wa kiarkeolojia unajumuisha barua ya kiuneiform kutoka mwaka wa saba wa utawala wa Nabonido, ambayo inamtaja mwanawe, Belshazari. Aidha, kibao kingine cha kiuneiform kinamtaja Belshazari kama mwana wa mfalme na mfalme mshirika. Orodha hizi zingine za kihistoria zilithibitisha kuwa Belshazari alikuwa mwana wa kwanza wa Nabonido na mfalme mshirika wa Babeli.

Silinda hizi zinachukuliwa kuwa moja ya ushahidi muhimu unaothibitisha usahihi wa kihistoria wa Biblia.
FB_IMG_1740924604062.jpg
 
Naona Sasa umeamua kubishana na historical language

Wayahudi hawakuwa na sababu ya kubadilisha jina la Mungu Kwa sababu hayo majina Mungu aliyataja Kwa lugha Yao in written and spoken

Waliobadilisha hayo majina ni wagiriki Ili wakupotezeni vizuri

The word "JEHOVAH" was formed by merging the three vowels (e, o, and a) of the word ELOAH, into the Romanized (Latinized) four letter version JHVH (i.e. JeHoVaH).This was an early concoction.

The word "YAHWEH" was formed by merging the vowels (a, and e) of the word HASHEM into the four letter version YHWH (i.e. YaHWeH). This was a more recent invention.

Nimeona hapo umesema YEHOVA inatokana na neno YAHWH ebu nenda ukasome vizuri

ELOAH ndio ilichakachuliwa na wagiriki wakapata JHVH alafu ndio YEHOVA

HASHEM nalo wakalichakachua wakapata YAHWH alafu ndio YAHWEH

Mungu hajawahi kujiita YEHOVA Wala YAHWEH hizo zote ni fix za Wazungu Ili muabudu Miungu Yao

Kilichofanyika hapo ni sawa na kilichofanyika katika jina la Yesu maana Yesu siku akishuka Duniani ukimwita Yesu atakushangaa na ukimuita Jesus pia atakushangaa maana hayo majina hayajui

Jina lake ni YEHOSHUA
Kuna herufi hapo wagiriki hawana ndio wakachakachua wakapata Jesus

YEHOSHUA
YE........S...U..

Kilichofanyika hapo hakina tofauti na walichofanya katika

ELOAH wakapata JEHOVAH

HASHEM wakapata YAHWEH

Hayo majina ya mwisho yote Mungu hayajui hayo ni majina ya Miungu ya kigiriki

Sina mda wa kubishana na wewe Mimi nakuelimisha tu
Nitabishana vipi na mtu ambaye hata jina la Mungu wake aliyemuumba hajui anaitwa nani

Sisi waislam tunajua kuwa nyinyi jina la Mungu hamlijui na ndio maana mkichinja mnyama au Ndege sisi hatuli
NILISHAKWAMBIA WEWE ELIMU HUNA ,NA NI WAISLAMU NDIO MLIVYO, MAANA HISTORIA HUWA INAWAUMBUA

Katika maandiko ya Kiebrania ya Biblia ya Kimasora (Tanakh), jina la Mungu linaonekana kama herufi nne YHWH (Tetragrammaton). Hili ni jina takatifu ambalo Wayahudi waliheshimu sana kiasi cha kuto litamka moja kwa moja, badala yake walitumia maneno kama Adonai (Bwana) au Hashem (Jina).

Jina YHWH halina irabu katika Kiebrania cha kale, kwa sababu maandishi ya Kiebrania ya awali hayakuwa na alama za vokali. Hii ilisababisha ugumu katika kutamka jina hilo baadaye. Wakati wa maendeleo ya lugha, Wasomaji wa Kimasora waliongeza alama za vokali ili kusaidia kutamka maandiko. Walichukua vokali za Adonai na kuzichanganya na YHWH, wakipata tamko Yehovah, ambalo baadaye lilichukuliwa na Wazungu kama Jehovah. Hata hivyo, tafiti nyingi zinaonyesha kuwa Yahweh linaweza kuwa tamko la awali zaidi la jina la Mungu katika Kiebrania.

Kuhusu neno Eloah, ni umoja wa neno Elohim, ambalo linamaanisha Mungu au miungu kulingana na muktadha. Ni kweli kuwa lugha zilivyoendelea, tafsiri mbalimbali zilikuja, lakini hakuna ushahidi wa moja kwa moja kuwa Wagiriki walibadilisha Eloah kuwa Jehovah, bali kilichotokea ni uingiliaji wa wasomi wa Kilatini katika kuandika jina hilo kwa njia wanayoweza kutamka.

Jina la Yesu pia limepitia mabadiliko ya lugha. Yehoshua lilikuwa jina la kawaida la Kiebrania, likimaanisha "YHWH anaokoa". Katika Kiyunani, Kiebrania kilipobadilishwa, walitumia Iēsous kwa sababu Kiyunani hakina sauti ya "sh". Baadaye, jina hilo lilipoingia katika Kilatini, likawa Jesus, na kutoka hapo likawa Yesu katika Kiswahili.

Kwa hiyo, hoja kwamba Mungu hajawahi kujiita Jehovah au Yahweh ni ufinyu wako wa elimu ya lugha na historia ,

Eti sababu ya historia ya majina haya kubadilika kutokana na lugha ,historia basi yameshakuwa ni ya kipagani, huo ni ufinyu wa elimu .

Ni tafsiri tofauti za neno lilelile katika lugha mbalimbali. Kwa hivyo, tofauti za matamshi ya majina ya Mungu zinatokana na mabadiliko ya lugha na historia .
 
Hapo onda muddy,ndio muarabu hao wote walio baki ni mitume walioletwa kwaajili ya wayahudi na ni wayahudi uzap wa ibrahimu,isaka na yakobo.
Kwani wayahudi siyo waarabu?.Ikiwa Ibrahim ndiye kiini cha watu hao na yeye alitokea Uarabuni huko unawezaje kuwaondoa kina Yakobo katika uarabu?.
 
Ukitaka tafsiri ya ya aya, Hadith na sura za Quran lazima ukasome Tafsir. Usiseme sina hoja,wewe kama wewe huwezi wala huna mamlaka ya kutafsiri. Ndiyo maana utasikia maulamaa wanasema hivi au vile,ukitaka kujua maana ya maandiko yenu tafuta vitabu vya tafsiri vya hawa watu mkuu .
1)Ibn- kathir
2)Al-Tabari
3)Al-Mizan.

Huku ndiyo utajua mpaka kwanini mnaruhusiwa kuoa watoto😏.
Hamna kitu
 
Hii ndio biblia iliyodumu miaka na miaka ,

Kwanza, mfumo wa maandishi ya alfabeti ulikuwepo tangu mwaka 1800 KK, ukijulikana kama Proto-Sinaitic. Mfumo huu wa maandishi uligunduliwa na Flinders Petrie mwanzoni mwa miaka ya 1900 na baadaye na watafiti kutoka Yale katika miaka ya 1990. Pia, k comb ya kale kutoka Lachish, Israeli, ilipatikana ikiwa na maandishi ya alfabeti, ikithibitisha kuwa maandishi yalikuwa yakitumika katika Kanaan tangu 1700 KK. Hii inaonyesha kuwa Musa alikuwa na uwezo wa kuandika sehemu za kihistoria na kisheria za Torati tayari ifikapo 1700–1800 KK.

Pili, Nakala za Bahari ya Chumvi (Dead Sea Scrolls), ambazo ni zaidi ya miaka elfu mbili, zinathibitisha kuwa Biblia ya Kiebrania imehifadhiwa kwa usahihi mkubwa. Karibu vitabu vyote vya Biblia vinapatikana katika maandiko haya ya kale. Kitabu cha Isaya, kilichopatikana kikiwa kamili, kinafanana kwa zaidi ya 95% na maandiko tunayotumia leo.

Mwanakiolojia mashuhuri wa Israeli, Yigael Yadin, aliandika katika kitabu chake The Message of the Scrolls uk. 83:
"Kinachoshangaza ni kwamba licha ya umri wao na ukweli kwamba hati hizi ziliandikwa kabla ya kusawazishwa kwa maandiko, kwa ujumla zinafanana sana na maandiko ya Kimasora tunayoyajua leo."

Pia, msomi wa Biblia Gleason Archer aliandika kuhusu Kitabu cha Isaya:
"Hata ingawa nakala mbili za Isaya zilizogunduliwa Qumran zilikuwa na tofauti ya zaidi ya miaka 1000 na maandiko yaliyokuwepo kabla, zilionekana kuwa na ulinganifu wa neno kwa neno kwa zaidi ya asilimia 95. Tofauti zilizopo ni za tahajia na makosa madogo ya kuandika."

Hii inaonyesha kuwa waandishi wa Biblia ya Kiebrania waliiga maandiko kwa uangalifu mkubwa kwa maelfu ya miaka. Kwa hivyo, Biblia haikupotoshwa kama mnavyodanganyana misikitini bali iliandikwa mapema na kuhifadhiwa kwa usahihi mkubwa.View attachment 3255952
Hiyo ni ya juzi tu nayo maana haikuwepo wakati wa Nuhu wala Ibrahim
 
Kwani wayahudi siyo waarabu?.Ikiwa Ibrahim ndiye kiini cha watu hao na yeye alitokea Uarabuni huko unawezaje kuwaondoa kina Yakobo katika uarabu?.
Ebu wasomeni waarabu hapa:
 
Wewe ni mwanazuoni ,unaujua uislamu
Sio mwanazuoni ila nina interest ya kutaka kujua kwa sababu uislamu umekuwa ukipotosha misingi ya ukristo kwenye mafundisho yake .

Pia nimegundua waislamu wengi hamna knowledge zaidi ya ile ya madrasa. Sio hivyo tu walimu wenu hawafundishi kweli kuhusu Mohamed, wengi hata hamjui alikufaje.

Katafute ukweli nao utakuweka huru,jifunze kuhusu dini yako japo msingi wake ni kupinga ukristo. Bahati mbaya ni kwamba msingi wa imani yenu ni dhaifu,tukianza kuuchambua na kuushambulia kama mnavyofanya dhidi yetu mtaishia kuvurugwa tu.
 
Naona Sasa umeamua kubishana na historical language

Wayahudi hawakuwa na sababu ya kubadilisha jina la Mungu Kwa sababu hayo majina Mungu aliyataja Kwa lugha Yao in written and spoken

Waliobadilisha hayo majina ni wagiriki Ili wakupotezeni vizuri

The word "JEHOVAH" was formed by merging the three vowels (e, o, and a) of the word ELOAH, into the Romanized (Latinized) four letter version JHVH (i.e. JeHoVaH).This was an early concoction.

The word "YAHWEH" was formed by merging the vowels (a, and e) of the word HASHEM into the four letter version YHWH (i.e. YaHWeH). This was a more recent invention.

Nimeona hapo umesema YEHOVA inatokana na neno YAHWH ebu nenda ukasome vizuri

ELOAH ndio ilichakachuliwa na wagiriki wakapata JHVH alafu ndio YEHOVA

HASHEM nalo wakalichakachua wakapata YAHWH alafu ndio YAHWEH

Mungu hajawahi kujiita YEHOVA Wala YAHWEH hizo zote ni fix za Wazungu Ili muabudu Miungu Yao

Kilichofanyika hapo ni sawa na kilichofanyika katika jina la Yesu maana Yesu siku akishuka Duniani ukimwita Yesu atakushangaa na ukimuita Jesus pia atakushangaa maana hayo majina hayajui

Jina lake ni YEHOSHUA
Kuna herufi hapo wagiriki hawana ndio wakachakachua wakapata Jesus

YEHOSHUA
YE........S...U..

Kilichofanyika hapo hakina tofauti na walichofanya katika

ELOAH wakapata JEHOVAH

HASHEM wakapata YAHWEH

Hayo majina ya mwisho yote Mungu hayajui hayo ni majina ya Miungu ya kigiriki

Sina mda wa kubishana na wewe Mimi nakuelimisha tu
Nitabishana vipi na mtu ambaye hata jina la Mungu wake aliyemuumba hajui anaitwa nani

Sisi waislam tunajua kuwa nyinyi jina la Mungu hamlijui na ndio maana mkichinja mnyama au Ndege sisi hatuli
Safi.
 
Sio mwanazuoni ila nina interest ya kutaka kujua kwa sababu uislamu umekuwa ukipotosha misingi ya ukristo kwenye mafundisho yake .

Pia nimegundua waislamu wengi hamna knowledge zaidi ya ile ya madrasa. Sio hivyo tu walimu wenu hawafundishi kweli kuhusu Mohamed, wengi hata hamjui alikufaje.

Katafute ukweli nao utakuweka huru,jifunze kuhusu dini yako japo msingi wake ni kupinga ukristo. Bahati mbaya ni kwamba msingi wa imani yenu ni dhaifu,tukianza kuuchambua na kuushambulia kama mnavyofanya dhidi yetu mtaishia kuvurugwa tu.
Mimi nilikuwa huko nikatoka ,sasa ni mkristo

Uislamu umejengwa kwa misingi dhaifu sana
 
Ebu wasomeni waarabu hapa:
Ibrahimu sio Muarabu ,, umedanganywa
 
Back
Top Bottom