HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 1,108
- 1,132
Mimi nimefuatilia kwa akili zangu mwenyewe na kutambua hivyo na nimekuwa nikiona kwa Babu na Bibi yangu wakifunga pasipo kwaresima au ramadhani,ujinga wako unaleta uliandikiwa na kuaminishwa na ulicholishwa ili kukupumbaza na kukutawala.Kufunga sio TIBA🤣🤣🤣Kufunga ni Namna moja wapo ya Kutubu na kuomba Huruma yake MUNGU kwa sisi Wakosefu na Wadhambi. ( Nehemiah 9:1-3.)Tiba Mungu alitupa Miti shamba na zile dawa za kisunnah Shekhe, na pia majini yanayotoa utabiri wa kitabibu na tiba za matalasimu na makombe shekhe wangu
Tafuta maana ya "kufunga" kwa maana ya Uafrika na akili zako siyo kwa maana ya "uislam" na "ukristo" acha ujinga jitambue.
Hakuna ibada ya kufunga huo ni ujinga kuamini hivyo unaomba huruma ya Mungu kwa lipi kwahiyo kila mwaka unafanya makosa halafu unaomba huruma ya Mungu kwa kifunga,eti?!!