Je, Injili Ilitabiri Ujio wa Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake)?

Je, Injili Ilitabiri Ujio wa Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake)?

Hizo alama hazina uhusiano wowote na uislam na kama kuna maandiko yoyote yanayoonyesha uhusiano huo valeted otherwise wewe ni muongo


Nakuuliza wewe kwa sababu ndiye uliyeleta hiyo hoja
Kwahiyo zinafanya nini kwenye misikiti?

Ni sawa masanamu na alama za freemason ziwekwe kwenye makanisa ,halafu isemwe hazina uhusihano wowote

Kijana toka nje ya box uwe free minded uone ,ujue uislamu ni uoagani
 
Kwahiyo zinafanya nini kwenye misikiti?

Ni sawa masanamu na alama za freemason ziwekwe kwenye makanisa ,halafu isemwe hazina uhusihano wowote

Kijana toka nje ya box uwe free minded uone ,ujue uislamu ni uoagani
Waulize walioweka hizo alama kwenye misikiti yao

Au wewe nikikuuliza sanamu zinafuata nini kanisani utanijibu
 
Waulize walioweka hizo alama kwenye misikiti yao

Au wewe nikikuuliza sanamu zinafuata nini kanisani utanijibu
Kwa hiyo mmeona wivu kwa sababu kuna makanisa yana sanamu na nyie mkaweka alama zenu za masanamu msikitini🤣🤣🤣

Logic za nyie watu ni kizungumkuti
 
Msikiti gani una alama ya sanamu
images (2).jpeg
 
Waulize walioweka hizo alama kwenye misikiti yao

Au wewe nikikuuliza sanamu zinafuata nini kanisani utanijibu
Kanisa gani ?

Ninaposali mm hakuna huo ujinga,kwahiyo wewe hujui kwanini hapo mecca misikiti Ina Nyota na mwezi alama za miungu ya kipagani
 
Kanisa gani ?

Ninaposali mm hakuna huo ujinga,kwahiyo wewe hujui kwanini hapo mecca misikiti Ina Nyota na mwezi alama za miungu ya kipagani
Nimekwambia husianisha hizo alama kuwa zinahusiana na Uislamu kupitia maandiko vinginevyo wewe ni muongo
 
Nimekwambia husianisha hizo alama kuwa zinahusiana na Uislamu kupitia maandiko vinginevyo wewe ni muongo
Kwahiyo hizo alama za wapagani zimejiweka tu

Yaani hizo cults symbols unazikataa wakati zimejaa misikitini,

Nilitegemea useme hapa zipo misikitini kwasababu moja ,mbili tatu,

Kumbe hujui zipo sababu gani
 
Kwahiyo hizo alama za wapagani zimejiweka tu

Yaani hizo cults symbols unazikataa wakati zimejaa misikitini,

Nilitegemea useme hapa zipo misikitini kwasababu moja ,mbili tatu,

Kumbe hujui zipo sababu gani
Wewe umesema Uislamu ni upagani kwa kuwa kuna alama hizo msikitini sasa ndio nataka uonyeshe maelezo ya Qur’an au hadith za Mtume zinazoamrisha kuweka hizo alama kama hamna basi watu watakuwa wameamua kuweka tu na haziusiani na Uislamu
 
Katika historia, kumekuwa na mijadala kuhusu kama maandiko ya zamani yalitabiri ujio wa nabii wa mwisho. Watu wengi wamechunguza vitabu vya kale wakitafuta dalili zinazoelezea mtu atakayekuja na mwongozo wa kiroho kwa mataifa yote. Katika makala hii, tutaangalia aya mbalimbali kutoka Injili zinazoonyesha utabiri wa ujio wa Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake).

1.Kumbukumbu la  Torati 18:18 -  Nabii  kama Musa

"Nitawainulia nabii kutoka miongoni mwa ndugu zao, kama wewe, nami nitatia maneno yangu kinywani mwake, naye atawaambia yote nitakayomwamuru." (Kumbukumbu la Torati 18:18)

Katika aya hii, Mungu anamwambia Musa kwamba nabii mwingine kama yeye atainuliwa kwa watu. Wanazuoni wanaeleza kuwa nabii huyu:
Atakuwa kutoka kwa ndugu wa Waisraeli → Ikiwa Waisraeli wanahusiana na Isaka, basi ndugu zao wa karibu ni kizazi cha Ismaili, ambacho kilizaa Waarabu.

Atakuwa kama Musa → Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake) na Musa wote walikuwa manabii waliopokea sheria mpya na waliongoza jamii zao kwa mwongozo wa Mungu.

Atakuwa na maneno ya Mungu kinywani mwake → Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake) alipokea Qur’an kwa ufunuo wa Jibril, kama Musa alivyopewa Taurati.


2.Isaya 42:1-13 -  Nabii  kutoka Kedar

Katika sura hii ya Isaya, kuna maelezo kuhusu mtumishi wa Mungu ambaye atakuwa nuru kwa mataifa yote:

Isaya 42:1 – “Tazama, mtumishi wangu nimtegemezaye, mteule wangu ambaye nafsi yangu imependezwa naye; nimetia roho yangu juu yake, naye atawatolea mataifa hukumu.”
Huyu ni mtu ambaye Mungu amemchagua kwa kazi maalum.

Ataleta hukumu kwa mataifa yote, akimaanisha atakuwa na ujumbe wa kimataifa.


Isaya 42:11 – “Jangwa na miji yake na vipaze sauti zao, na vijiji anavyokaa Kedari; na wakaao katika miamba na waimbe, wapige kelele kutoka vilele vya milima.”

Kedar alikuwa mtoto wa Ismaili na kizazi chake waliishi Arabia, ambapo Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake) alitokea.


3.  Isaya 21:13-17 - Ujumbe wa Arabia na Parani

Katika sura hii ya Isaya, kuna utabiri wa matukio yatakayotokea katika Arabia:

Isaya 21:13 – "Ufunuo juu ya Arabia. Mtapiga kambi nyikani, enyi watu wa Dedani."

Hii inaonyesha kuwa Arabia ni eneo la tukio kubwa la kiroho.


Isaya 21:14 – “Mleteeni mwenye kiu maji, enyi wenyeji wa Tema, mleteeni mkimbizi chakula chake.”

Tema ni sehemu ya Hijaz, ambako mji wa Madina upo.

Hii inahusiana na jinsi wakazi wa Madina walivyompokea Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake) na kumpa hifadhi.


4.  Yohana 14:16, 16:7-14 - Msaidizi (Parakletos)  na Uthibitisho wa Ahmad Kwenye Qur’an

Yesu alisema:

Yohana 14:16 – “Nami nitamwomba Baba, naye atawapa Msaidizi mwingine, ili akae nanyi milele.” Yohana 16:7 – “Lakini mimi nawaambia iliyo kweli; yawafaa ninyi mimi niondoke, kwa maana nisipoondoka, huyo Msaidizi hatakuja kwenu; bali mimi nikienda, nitamtuma kwenu.”

Msaidizi huyu atafundisha ukweli wote (Yohana 16:13) → Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake) alikuja na Qur’an kama mwongozo wa mwisho.

Neno Parakletos (Παράκλητος) linaweza kuwa Periklytos, ambalo linamaanisha "Aliyesifiwa"
(kwa Kiarabu, Ahmad – jina jingine la Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake)).


Uthibitisho wa Ahmad Kwenye Qur’an

Katika Qur’an, Mtume Isa(amani iwe juu yake) alitabiri kuja kwa mtume baada yake aitwaye Ahmad:

Surah As-Saff 61:6 "Na (wakumbuke) Isa bin Maryamu aliposema: Enyi Wana wa Israili! Hakika mimi ni Mtume wa Mwenyezi Mungu kwenu, nikiwahakikishia yaliyokuwa kabla yangu katika Taurati, na nikitoa habari njema ya (ujio wa) Mtume atakayekuja baada yangu, jina lake ni Ahmad."

Ahmad ni jina lingine la Muhammad.

Yesu anatabiri nabii anayekuja baada yake, ambaye atakuwa na ujumbe wa Mungu.


5.Ufunuo 12:5 & 19:15 - Fimbo ya Chuma

Ufunuo 19:15 – "Na upanga mkali hutoka kinywani mwake ili aweke mataifa chini, naye atawachunga kwa fimbo ya chuma."

Hii inahusiana na Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake), ambaye atatawala kwa haki na nguvu za Mungu, na Qur’an inamtaja kama mtawala wa haki.

Hitimisho
Biblia ina maandiko ambayo, kwa muktadha wa tafsiri, yanaonyesha wazi dalili kuhusu ujio wa Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake). Aya kutoka Kumbukumbu la Torati, Isaya, Yohana, na Ufunuo zinaweza kueleweka kama utabiri wa ujio wa Muhammad, hasa kwa vile anapatikana katika maeneo ya Arabia, anahusiana na Kedar, na anaitwa Ahmad, jina lingine la Muhammad.
Yohana 14 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹³ Nanyi mkiomba lo lote kwa jina langu, hilo nitalifanya, ili Baba atukuzwe ndani ya Mwana.
¹⁴ Mkiniomba neno lo lote kwa jina langu, nitalifanya.
¹⁵ Mkinipenda, mtazishika amri zangu.
¹⁶ Nami nitamwomba Baba, naye atawapa Msaidizi mwingine, ili akae nanyi hata milele;
¹⁷ ndiye Roho wa kweli; ambaye ulimwengu hauwezi kumpokea, kwa kuwa haumwoni wala haumtambui; bali ninyi mnamtambua, maana anakaa kwenu, naye atakuwa ndani yenu.

H
aya mwanazuoni tuambie, Yesu Kristo anasema atamuomba Baba yake naye atatupatia msaidizi, je mnasadiki kwamba Yesu ni mwana wa Mungu? Pia anasema tukiomba lolote kwa jina lake atafanya, je mnaomba kwa jina la Yesu? Mbaya zaidi anasema huyo msaidizi ulimwengu haumwoni wala kumtambua, kwa sababu anakaa ndani yetu, je huyo Muhamad anakaa ndani yenu? Tena Yesu Kristo anasema huyo msaidizi atakaa nasi milele, je Muhamad anaishi milele mpaka sasa?

Kifupi Quran ni uongo wa shetani kabisa.
 
Waislam wanaopaza kalele za kijinga walishajibiwa haya maswali miaka na miaka wakaelewa ila wakilala na kuamka wanaanza tena kuuliza same question waliyojibiwa and cha kushangaza wanahama kuuliza wengine ili kujaribu kawaharibu imani Christians.. so wapuuzwe tu stupid cult yao ya iblis Allah. Quran imejaa ujinga ujinga tu..ukiiamini unakuwa mjinga pia
 
Back
Top Bottom