Je, ipo siku Taifa la Tanganyika litafufuka? Je, itakuwaje? Je, Zanzibar itakuwepo ama?

Je, ipo siku Taifa la Tanganyika litafufuka? Je, itakuwaje? Je, Zanzibar itakuwepo ama?

TumainiEl

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
6,782
Reaction score
12,716
Taifa la watu wa Tanganyika. Taifa alilopewa baba wa Taifa hili hayati Mwl Julius Nyerere. Ilakutokana na vita baridi moja ya mashirika ya kijasusi yakaipa taarifa tanganyika kile siku za mbele kitatokea na kwa nn kile kisiwa lazima kiwe kama Taifa moja. Well nisiandike zaidi yahiki nimepata kukisikia.

Ila mission hii bado ni mbichi japo maana kuwepo kwa Znz nikufufuka kwa Tanganyika nakufa kwa znz nikuwepo kwa Taifa moja Tanzania.

End
 
Zanzibar haina uwezo wa kuendesha wizara zilizoko kwenye muungano.

Mf ili Zbar iwe na jeshi lake, itahitaji ndege angalau 5 za kivita. Hii ni zaidi ya bil 500. Itahitaji meli angalau mbili za kivita, hii ni zaidi ya bil 200.

Itahitaji rada za kijeshi, hii ni zaidi ya bil 50.

Hadi hapo tu, Zbar itahitaji zaidi ya trilioni 1, kujenga jeshi lake. Kwa uchumi wa Zbar, watahitaji miaka 100 kujenga jeshi lake lenye uwezo angalau wa kukabiliana na wanamgambo kama Alshababu.

Kimsingi, nje ya muungano Zbar is a failed state.

Hawa wazee wanaokaribia kurudi kwa Maulana wasithubutu kuharibu future ya watoto wao na wajukuu wao kwa kuvunja muungano!
 
Mungu anijalie uzima ili niweze kuishuhudia hiyo siku. Binafsi sivutiwi kabisa na huu Muungano wa manung'uniko.
Majasusi waliibebesha Tanganyika minyororo ya kuunganishwa na nchi ya Zanzibar.Mwl.Nyerere na umahiri wake wa kuupenda Umoja wa Waafrika akashawishika kuwa bila kuungana Tanganyika na Zanzibar usalama wake ni mdogo.Hakufahamu kuwa kwa kuunganisha mataifa haya maskini kuna gharama kubwa.

Tunashuhudia jinsi Tanganyika inavyonyongwa na minyororo ya Muungano na kutusababishia kero zisizoisha.
Sisi wananchi wa Tanzania ya Tanganyika na Zanzibar tunataka kuandika Katiba Mpya itakayotuwezesha kuijenga Tanganyika imara na Zanzibar huru ili tuungane kwa Haki.
 
Taifa la watu wa Tanganyika. Taifa alilopewa baba wa Taifa hili hayati Mwl Julius Nyerere. Ilakutokana na vita baridi moja ya mashirika ya kijasusi yakaipa taarifa tanganyika kile siku za mbele kitatokea na kwa nn kile kisiwa lazima kiwe kama Taifa moja. Well nisiandike zaidi yahiki nimepata kukisikia.

Ila mission hii bado ni mbichi japo maana kuwepo kwa Znz nikufufuka kwa Tanganyika nakufa kwa znz nikuwepo kwa Taifa moja Tz.

End
Vita baridi kati ya mabepari na wajamaa ilishaisha baada ya wabepari kuusilimisha ujamaa kwa maji ya moto.. Kwahiyo ile hofu ya kueneza ujamaa kutokea visiwani kama entry point na gateway exit kuendelea mataifa ya Afrika Mashariki haipo tena!

Kitisho kingine kilikuwa ni Zanzibar kama itajitenga ni kujiunga na OIC.. Hii nayo kwa ujanja mwingi sana OIC ikabemendwa na hao hao mabepari sasa ni kama imebaki jina zaidi kuliko zile nguvu ilizokuwa nazo hapo

Walipomalizana na hilo likaja la ugaidi.. Na CIA kama master plan wakapiga matukio kadhaa visiwani kuuaminisha ulimwengu kuwa Zanzibar ikiachiwa itakuwa maingilio ya ugaidi toka nchi zilizokuwa zinaunga mkono imani kali

Kwasasa kinatengenezwa kitisho kingine almradi tu Zanzibar isijitenge na kuwa jamhuri huru bila attachment ya bara.. Kingplayer ni bepari mkuu anayejiita kiranja wa dunia. Hawa ccm ni punda tu wa kutimiza matakwa ya wakubwa

Kwasasa kinachogombewa zaidi ni kuikamata Afrika kati ya mmarekani na mchina.. Hivyo figisu za muungano bado sana kukoma
 
Zanzibar haina uwezo wa kuendesha wizara zilizoko kwenye muungano.

Mf ili Zbar iwe na jeshi lake, itahitaji ndege angalau 5 za kivita. Hii ni zaidi ya bil 500. Itahitaji meli angalau mbili za kivita, hii ni zaidi ya bil 200.

Itahitaji rada za kijeshi, hii ni zaidi ya bil 50.

Hadi hapo tu, Zbar itahitaji zaidi ya trilioni 1, kujenga jeshi lake. Kwa uchumi wa Zbar, watahitaji miaka 100 kujenga jeshi lake lenye uwezo angalau wa kukabiliana na wanamgambo kama Alshababu.

Kimsingi, nje ya muungano Zbar is a failed state.

Hawa wazee wanaokaribia kurudi kwa Maulana wasithubutu kuharibu future ya watoto wao na wajukuu wao kwa kuvunja muungano!
Muungano usivunjwe tuwe na serikali moja tu..kwanini ccm wanalazimisha serikali 2.?

#MaendeleoHayanaChama
 
Zanzibar wapewe nchi yao, Tanganyika ibaki Tanganyika. Kila mtu abaki kwao na akubaliane na faida au hasara zitakazotokea

Wabara hawaruhusiwi kumiliki ardhi visiwani, Wazenji wanaruhusiwa kumiliki ardhi, kulima bara bila shida yeyote.

Wazenji wamebarikiwa ubaguzi na ubinafdi na hii hufanya iwe ngumu wabara kufanya biashara zenji na matokeo yake ni wazenji ndio hunufaika sana na bara.
Wazenji wengi wanavinasaba na oman + dubai, mitaji huja kutokea huko na wengi huja kuwekeza TZ big market bila vikwazo ila sasa kimbembe kinaanza mbara kwenda Zenji kuwekeza kama sio muarabu.
 
Taifa la watu wa Tanganyika. Taifa alilopewa baba wa Taifa hili hayati Mwl Julius Nyerere. Ilakutokana na vita baridi moja ya mashirika ya kijasusi yakaipa taarifa tanganyika kile siku za mbele kitatokea na kwa nn kile kisiwa lazima kiwe kama Taifa moja. Well nisiandike zaidi yahiki nimepata kukisikia.

Ila mission hii bado ni mbichi japo maana kuwepo kwa Znz nikufufuka kwa Tanganyika nakufa kwa znz nikuwepo kwa Taifa moja Tanzania.

End
Mbona hilo taifa limeonekana barabarani linatembea kama zombie?Changamoto ni aliyeliloga hataki kuukubaki ukweli kwamba "marehemu hajafa"!
 
Muungano usivunjwe tuwe na serikali moja tu..kwanini ccm wanalazimisha serikali 2.?

#MaendeleoHayanaChama
That is by the necessity of design. Embu fikiria ukachomoe tairi moja kwenye IST iwe na matairi matatu uone itatembeaje...
 
Mkuu, kaangalie kwanza kinachoendelea Sri lanka urudi ku comment tena...

"kila mtu abaki kwao akubaliane na faida na hasara za kuvunjika muungano"
lakini pia akubaliane na maisha baada ya Muungano.

Kila mtu atalinda mipaka yake, na kila mtu atalipia cha mwenzie atakachotumia, Wazanzibar wanatumia umeme kutoka bara ambao sasa watachagua waulipie au wawe na umeme wao, Wazanzibar wanafanya biashara bara sasa watachagua waje watafute vibali vya kuishi na kufanya biashara bara. Hizo ndio athari za kuvunjika muungano kwao na wakishindwa kulinda mipaka yao shauri yao, sisi tutalinda mipaka yetu.
 
Back
Top Bottom