ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 10,764
- 9,477
Ipo wapi Tanganyika?Tanganyika ipo ila imevalishwa koti la Tanzania, tena wengine wanaiita ' Tanzania bara'.
JokaKuu Nguruvi3 Kalamu Pascal Mayalla Chige zitto junior mtu chake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ipo wapi Tanganyika?Tanganyika ipo ila imevalishwa koti la Tanzania, tena wengine wanaiita ' Tanzania bara'.
JokaKuu Nguruvi3 Kalamu Pascal Mayalla Chige zitto junior mtu chake
Upo sahihi kabisa, kwa sababu Tanganyika haipo kisiasa tu lakini maeneo mengine yote, bado Tanganyika ipo, ni suala la muda tu!!Tanganyika ipo ila imevalishwa koti la Tanzania, tena wengine wanaiita ' Tanzania bara'.
JokaKuu Nguruvi3 Kalamu Pascal Mayalla Chige zitto junior mtu chake
Kwa sasa nchi ilipofika, we cant go back again."kila mtu abaki kwao akubaliane na faida na hasara za kuvunjika muungano"
lakini pia akubaliane na maisha baada ya Muungano.
Kila mtu atalinda mipaka yake, na kila mtu atalipia cha mwenzie atakachotumia, Wazanzibar wanatumia umeme kutoka bara ambao sasa watachagua waulipie au wawe na umeme wao, Wazanzibar wanafanya biashara bara sasa watachagua waje watafute vibali vya kuishi na kufanya biashara bara. Hizo ndio athari za kuvunjika muungano kwao na wakishindwa kulinda mipaka yao shauri yao, sisi tutalinda mipaka yetu.
Zanzibar haina uwezo wa kuendesha wizara zilizoko kwenye muungano.
Mf ili Zbar iwe na jeshi lake, itahitaji ndege angalau 5 za kivita. Hii ni zaidi ya bil 500. Itahitaji meli angalau mbili za kivita, hii ni zaidi ya bil 200.
Itahitaji rada za kijeshi, hii ni zaidi ya bil 50.
Hadi hapo tu, Zbar itahitaji zaidi ya trilioni 1, kujenga jeshi lake. Kwa uchumi wa Zbar, watahitaji miaka 100 kujenga jeshi lake lenye uwezo angalau wa kukabiliana na wanamgambo kama Alshababu.
Kimsingi, nje ya muungano Zbar is a failed state.
Hawa wazee wanaokaribia kurudi kwa Maulana wasithubutu kuharibu future ya watoto wao na wajukuu wao kwa kuvunja muungano!
Hili ndio jibu sahihi.Muungano usivunjwe tuwe na serikali moja tu..kwanini ccm wanalazimisha serikali 2.?
#MaendeleoHayanaChama
Hiyo moja itakuwa umezaji wa walio wachache hivyo kupoteza utawala wao wa ndani.Hili ndio jibu sahihi.
Sijui kwa nini watu hupenda mizungukoooo bila ya sababu.
Ni kitu gani kinachozuia kuwepo kwa serikali moja katika nchi moja?
Lengo tokea mwanzo wa kuungana lilikuwa ni hilo, la serikali moja baada ya kuondoa hofu zisizokuwa na sababu zilizokuwepo visiwani.
Sasa watu wanazungukazunguka tu na serikali tatu,. Tatu za nini?
Poa ila Muungano wa sasa unaipendelea Zanzibar.Taifa la watu wa Tanganyika. Taifa alilopewa baba wa Taifa hili hayati Mwl Julius Nyerere. Ilakutokana na vita baridi moja ya mashirika ya kijasusi yakaipa taarifa tanganyika kile siku za mbele kitatokea na kwa nn kile kisiwa lazima kiwe kama Taifa moja. Well nisiandike zaidi yahiki nimepata kukisikia.
Ila mission hii bado ni mbichi japo maana kuwepo kwa Znz nikufufuka kwa Tanganyika nakufa kwa znz nikuwepo kwa Taifa moja Tanzania.
End
Mkuu 'Proved', "utawala wa ndani" wa nini katika nchi moja ya watu wote walio sawa?Hiyo moja itakuwa umezaji wa walio wachache hivyo kupoteza utawala wao wa ndani.
CCM Zanzibar wanataka serikali 2 kwa kuwa zinawahakikishia kubaki madarakani bila kubeba gharama za kulinda madaraka hayo. Namaanisha jeshi, polisi na usalama wa taifa.Ifanyike kura ya maoni kuamua kuhusu kuendelea kuwepo kwa Tanganyika na Zanzibar/Pemba, kwenye muungano wa nchi hizi mbili au la!. Matokeo ya kura hiyo kwa taifa la Tanzania, yata -uimarisha muungano au kupata kibali cha kuzirudisha nchi mbili huru za awali, zitakazo jiunga kwenye Jumuia ya Afrika Mashariki yenye mfumo wa " Federation" kama zitaamua kufanya hivyo au kubaki kama zilivyokuwa kabla ya kuunganishwa kisanii.
Na wale ambao Makamu mkuu wao amesimikwa kuwa mkuu wa mashoga Africa, ulaya na Asia, wao wanatimiza matakwa ya nani?Hawa ccm ni punda tu wa kutimiza matakwa ya wakubwa
Kila kikundi kinajaribu kulinda maslahi yake. Si ishara nzuri!! ...Huu ndio wakati muafaka kwa wananchi kupewa mwanya wa kuwaamulia wanaoshindana kwenye kura ya maoni. Huko mbele ya safari kuna uwezekano wa kushuhudia yale yaliyompata Rais, Gotabaya Rajapaksa wa Sri lanka ambapo wananchi wamediriki kwenda Ikulu kufanya pikniki na kufurahia mema ya nchi angalau kwa muda mfupi.CCM Zanzibar wanataka serikali 2 kwa kuwa zinawahakikishia kubaki madarakani bila kubeba gharama za kulinda madaraka hayo. Namaanisha jeshi, polisi na usalama wa taifa.
CCM bara wanaogopa kusema wanataka serikali moja kwa sababu hawataki kuwakera wenzao wa Zanzibar.
Wapinzani Zanzibar wanataka 3 kwa kudhani ndiyo itawapa uwezekano wa kuingia madarakani
Hee! Kwahiyo babaako wa Taifa alikuwa mjinga na mpuuzi? Maana yeye ndie muasisi.Hawa watu wamejawa uchu wa madaraka..hawatufai kabisa.
Serikali 2 ni ujinga na upuuzi.
#MaendeleoHayanaChama
Na wale ambao Makamu mkuu wao amesimikwa kuwa mkuu wa mashoga Africa, ulaya na Asia, wao wanatimiza matakwa ya nani?
Wewe mbona hujajitahidi watu wasijue kuwa ni mbaguzi wa kikabila!