Yaani tutaona aibu jina Tanganyika?Tanganyika itarudi ila itasalia na jina Tanzania ama likibadilishwa litakua Serengeti au Kilimanjaro
Muungano huu ni kielelezo cha upendo wa mshumaa,unawapa wengine nuru huku wenyewe ukiteketeaMungu anijalie uzima ili niweze kuishuhudia hiyo siku. Binafsi sivutiwi kabisa na huu Muungano wa manung'uniko.
Majasusi waliibebesha Tanganyika minyororo ya kuunganishwa na nchi ya Zanzibar.Mwl.Nyerere na umahiri wake wa kuupenda Umoja wa Waafrika akashawishika kuwa bila kuungana Tanganyika na Zanzibar usalama wake ni mdogo.Hakufahamu kuwa kwa kuunganisha mataifa haya maskini kuna gharama kubwa.Mungu anijalie uzima ili niweze kuishuhudia hiyo siku. Binafsi sivutiwi kabisa na huu Muungano wa manung'uniko.
Vita baridi kati ya mabepari na wajamaa ilishaisha baada ya wabepari kuusilimisha ujamaa kwa maji ya moto.. Kwahiyo ile hofu ya kueneza ujamaa kutokea visiwani kama entry point na gateway exit kuendelea mataifa ya Afrika Mashariki haipo tena!Taifa la watu wa Tanganyika. Taifa alilopewa baba wa Taifa hili hayati Mwl Julius Nyerere. Ilakutokana na vita baridi moja ya mashirika ya kijasusi yakaipa taarifa tanganyika kile siku za mbele kitatokea na kwa nn kile kisiwa lazima kiwe kama Taifa moja. Well nisiandike zaidi yahiki nimepata kukisikia.
Ila mission hii bado ni mbichi japo maana kuwepo kwa Znz nikufufuka kwa Tanganyika nakufa kwa znz nikuwepo kwa Taifa moja Tz.
End
Hawa watu wamejawa uchu wa madaraka..hawatufai kabisa.Adui wa Tanganyika ni CCM,na adui wa Zanzibar huru ni CCM.
Muungano usivunjwe tuwe na serikali moja tu..kwanini ccm wanalazimisha serikali 2.?Zanzibar haina uwezo wa kuendesha wizara zilizoko kwenye muungano.
Mf ili Zbar iwe na jeshi lake, itahitaji ndege angalau 5 za kivita. Hii ni zaidi ya bil 500. Itahitaji meli angalau mbili za kivita, hii ni zaidi ya bil 200.
Itahitaji rada za kijeshi, hii ni zaidi ya bil 50.
Hadi hapo tu, Zbar itahitaji zaidi ya trilioni 1, kujenga jeshi lake. Kwa uchumi wa Zbar, watahitaji miaka 100 kujenga jeshi lake lenye uwezo angalau wa kukabiliana na wanamgambo kama Alshababu.
Kimsingi, nje ya muungano Zbar is a failed state.
Hawa wazee wanaokaribia kurudi kwa Maulana wasithubutu kuharibu future ya watoto wao na wajukuu wao kwa kuvunja muungano!
Tanganyika ipo ila imevalishwa koti la Tanzania, tena wengine wanaiita ' Tanzania bara'.Tanganyika ilishaoza
Mbona hilo taifa limeonekana barabarani linatembea kama zombie?Changamoto ni aliyeliloga hataki kuukubaki ukweli kwamba "marehemu hajafa"!Taifa la watu wa Tanganyika. Taifa alilopewa baba wa Taifa hili hayati Mwl Julius Nyerere. Ilakutokana na vita baridi moja ya mashirika ya kijasusi yakaipa taarifa tanganyika kile siku za mbele kitatokea na kwa nn kile kisiwa lazima kiwe kama Taifa moja. Well nisiandike zaidi yahiki nimepata kukisikia.
Ila mission hii bado ni mbichi japo maana kuwepo kwa Znz nikufufuka kwa Tanganyika nakufa kwa znz nikuwepo kwa Taifa moja Tanzania.
End
That is by the necessity of design. Embu fikiria ukachomoe tairi moja kwenye IST iwe na matairi matatu uone itatembeaje...Muungano usivunjwe tuwe na serikali moja tu..kwanini ccm wanalazimisha serikali 2.?
#MaendeleoHayanaChama
Mkuu, kaangalie kwanza kinachoendelea Sri lanka urudi ku comment tena...Zanzibar wapewe nchi yao, Tanganyika ibaki Tanganyika. Kila mtu abaki kwao na akubaliane na faida au hasara zitakazotokea
Mkuu, kaangalie kwanza kinachoendelea Sri lanka urudi ku comment tena...