Je, ipo siku Taifa la Tanganyika litafufuka? Je, itakuwaje? Je, Zanzibar itakuwepo ama?

Mupo au hamsomi jamani
 
The man who see tomorrow Tanganyika ileeeee
 
Zanzibar haina uwezo wa kuendesha wizara zilizoko kwenye muungano.
Mwaka 1964 kabla ya huu muungano
Zanzibar ilikuwa na Ubalozi Misri, Uingereza na Marekani. Hizi balozi ziliendeshwa na Wizara za Tanganyika?
 
Zbar iwe na jeshi lake, itahitaji ndege angalau 5 za kivita. Hii ni zaidi ya bil 500. Itahitaji meli angalau mbili za kivita, hii ni zaidi ya bil 200.
Mwaka 1978 Zanzibar ilinunua Mig 27 kiasi kwa Deutsche velle wakalalamka udogo wa kisiwa hicho kuweka ndege za aina hiyo, ikaambiwa izipleke JMT kwa kuwa Jeshi ni la muungano. Ilipata wapi uwezo huo?

Tukisema kuna watu hawajui na hawajui kwamba hawajui unadhani tunaongopa? Huwa munalala uisngizi wa pono halafu unakurupuka unaandika hata hujanawa uso na kujsifia unajua kumbe zero.
 
Hiyo ni hela ya mboga kwa Oman. Usichukulie Zanzibar poa namna hiyo, nyuma yake kuna mataifa makubwa tajiri ya kiarabu. Zanzibar ikiachiwa huru tuu, soon inakuwa extended arm ya Oman na kujenga jeshi imara ni sekunde tu.
Mawazo ya kikoloni. Mkoloni mweusi anahakikisha mkoloni mweupe hachukui, ila mkoloni ni mkoloni tu awe mweupe, mweusi au njano. Hongera kwa kutetea hadhi yako ya kikoloni.
 
Kwani si muungano ukifa vifaa vya kijeshi vinapigwa pasu pasu
 
Ila hata yakitokea ya kutokea jina Tanzania ni zuri kutamka hata kusikiliza. Tanganyika? sijui?
 
πŸ™πŸ™πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…