ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 6,096
- 16,390
Sasa utajulia wapi wakati ww ni mpumbavu na urokole umekujaa kichwani?Acheni unafiki nyie mazombi wa kidini Hamas wameweza lini kutengeneza RPG zile ni za kirusi mnawapaisha sana
Hizo RPG za kirusi tutajie jina lake.
Urusi atengeneze RPG dhaifu kiasi hicho? Hamas wangekuwa na Ant tank za kirusi si gaza yote ingekuwa imejaa mavyuma chakavu na hakuna kifaru hata kimoja ambacho kingerudi Israel.